masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,171
HawA maafisa waandamizi wa Wizara ya Nishati na Madini wanastahili pongezi kwa kuonyesha kibri ya Kitanzania ambaya kwa siku za hivi karibuni imekuwa nadra.
Prof Muhongo, Waziri wa Nishati na Madini, pamoja na Katibu Mkuu wake wameweza kuhimili majaribu ya kuhongwa na kuhongeka, na hivyo kutunza heshima zao na Watanzania kwa ujumla.
Makampuni makubwa kimataifa ya nishati na madini, huo kwao ni mchezo wa kila siku na wa kawaida.
Nawasikitikia tu wale wabunge na maofisa wa Seriikali waliotongozwa na kuhongeka na hatimaye sasa wanaonekana hawana faida mbele ya umma wa Kitanzania.
Nabaki najiuliza je? Wangekuwepo bado wale machalii wawili Ngeleja na Jairo, leo hali ingekuwaje?