Hongera Ndugai kwa mechi ya Simba na Yanga

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Nitoe pongezi kubwa sana kwa spika wa bunge mh Ndugai kuandaa mechi ya wabunge wapenzi wa Yanga na Simba kwani tumeshuhudia wabunge wa chama tawala na wa upinzani wakipeana mikono kwa raha na bashasha kubwa hivyo kupunguza chuki zilizokuwa zimejijenga.
 
Bi mdanga alikuwepo vipi hawakususia? Mh. Ndugai hajaandaa hiyo mechi tafuta kumbukumbu vyema hata records za kuandaa mechi za namna hii hana.
 
Yule kimbaumbau anaeendesha mambo kichawi kutokea hapo feri alikuwepo?
 
Sahihi. Lakin pia usichanye siasa na michezo maana michezo ni burudani. Siasa ni mfumo wote wa muendelezo wa utawala na maisha ya raia... Hivyo baasi naomba ulitambue hilo kuwa wembe ni ule ule when you going wrong we reprisal soon as possible
 
Bi mdanga alikuwepo vipi hawakususia? Mh. Ndugai hajaandaa hiyo mechi tafuta kumbukumbu vyema hata records za kuandaa mechi za namna hii hana.
Naona unakosa uelewa kwani wabunge wote wa jmt wapo chini ya uongozi wa spika hapa hatuhitaji kuingiza mambo ya itikadi tunazungumzia mshikamano wa kitaifa
 
Ni jambo jema ila kwa kweli halijakaa vizuri.

Bunge ni la kitaifa, na timu zipo nyingi hapa Tanzania. Sasa wengine wanaweza kuuliza (kwa haki kabisa kabisa!), kwa nini Yanga na Simba? Hivi Azam, Majimaji etc, wanajisikiaje?
 
Huo ni mwanzo tu kama kuna uhakika kama wapenzi wa majimaji na Azam wanaweza kucheza na kuvutia watazamaji hivyo wakaingia uwanjani na kupata kiingilio cha kutosha
 
Jibu zuri. Mi sidhan kama wabunge wa azam na majimaji wamekatazwa.nao wnaweza panga week ijayo mechi then bila shaka wataruhusiwa. Watu wana ulalamishi wa kijinga kweli. Na mitanzania ndivyo ilivyo.

Ndio uhuru wa kujieleza huo mkuu
 
Ukawa wamesaliti Kiapo chao cha kutoshirikiana na CCM kwny Mambo ya kijamii!
Mtoto hana Kiapo
 
Mlipotoa Maazimio mkayatangaza mlikuwa mnalijenga?
Hivi wewe mbona unazidi kujivua nguo?hili tatizo la waathirika wa tetemeko hujui kuwa ni muhimu kuliko huo ujinga unao ushabikia?Au nyinyi uvccm mlifurahia wenzetu kupatwa na hilo janga?
 
Ndio sababu wakati mnatoa Azimio la kutoshirikiana na CCM mlipaswa Mjue kuwa kuna Maswala ya kitaifa ushirikiano ni Muhimu na tulipokosoa Azimio lile nyinyi mkaliunga Mkono sasa Leo mnalikimbia!
Jitahidini kutoa Maazimio machache mnayoweza kuyasimamia
 
Mungu atawalaani nyie wote uvccm mnao furahia majanga yaliyo wakuta wananchi wenzetu wa kagera kisa kuendekeza itikadi na uchu na uroho wa kuitawala nchi.mungu atawalaani na kuwashushia mapigo makuu vichwani mwenu
 
Usihamishe Magoli! Nakumbushia Azimio la kutoshirikiana na CCM kwa nini haliheshimiwi? Kama halitekelezeki tangazeni kulifuta msione aibu
 
Usihamishe Magoli! Nakumbushia Azimio la kutoshirikiana na CCM kwa nini haliheshimiwi?
Uviccm mlaaniwe kwa kufurahia wenzetu wa kagera kupatwa na maafa kisa wapo chini ya cdm na mungu atawahukumu
 
Back
Top Bottom