Hongera Nchemba kwa kumsamehe Mnyika

Kamsamehe wapi wakati ametoka kuomba mwongozo muda c mrefu?? na Naibu Spika kasema swala hilo analipeleka katika Kamati ya Maadili.
Namkubali sana Mnyika lakini Kwa hili tukubali kuwa Mnyika alichemka kumtuhumu Nchemba personally labda kama ulimi uliteleza kuwa alilenga kukituhumu chama (ccm).
Viongozi wetu wawe makini ktk kauli zao!!
Na yule Stella Manyanya aliyesema Chadema ndio waliomtesa Ulimboka aliambiwa alete ushahidi kuthibisha madai yake? hili ni Double stastard Bunge.
 
Teh teh teh teh hakiamungu. Hawa ndiyo vijana wa CDM. Hakunaga hoja ni mipasho tu kwa kwenda mbele.
 
Jumakidogo Heri ya wao kuliko wewe dume zima kazi ya kumsifia mwizi Lowasa kila siku hapa JF pimbi wewe.
 
Last edited by a moderator:
Knanuni ya Bunge ina sema Mbunge hataleta bungeni jambo lolote lislokuwa na ushahidi. Ina maana Mbunge akizungumza bungeni jambo lisilo na ushahidi anavunja kanuni ya bunge na anapaswa kuadhibiwa na bunge. Hapa mtu aliyezungumzia sio anayepaswa kumwadhibu au kumsamehe.
Nchemba hapo anaingiaje? Anawezaje kutoa adhabu au kusamehe wakati sio yeye anayezungumziwa kwa mujibu wa kanunui hii.
 
Mie nimewaambia zamani huyu kijana Mnyika ana matatizo ya kichwa, anaropoka hivyo bila ushahidi wala busara.

Big Up Mwigulu kwa kukasamehe, kakikua kataacha!
 
hajamsamehe sijui mnaosema0kasamehewa mna maana gani, hasamehewi ng'oo mpaka aombe msamaha na barua
yake inamfata na haki itachukua sheria maana hana ushahidi0 waalichokiropoka.
 
Yaani CCM kila kitu ovyo na kashifa za kipuuzi haziishi Mwigulu ametoa msamaha kwa Mh. Mnyika kwa misingi ipi! Kila siku maneno na skendo za ajabu zinazuka mara Mukama anataka kuachia ngazi. CCM acheni upuuzi timizeni ahadi zenu za mwaka 2005 na 2010 hapo tutaona nyie ni watu timamu sio kila siku maugomvi na skendo zisizokua na tija katika letu
 
Mheshimiwa Mwigulu Mchemba umeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kuamua kutoa msamaha kwa Mheshimiwa Mnyika kutoka na kauli yake aliyoitoa Bungeni. Hilo ni jambo jema kwani unatimiza sera madhubuti za CCM zinazohimiza kusamehemeana miongoni mwa wananachi pasipo kujali itikadi za siasa wala dini.

me cjaona io statement au kuisikia kutoka kwa mwigulu kua kamsamehe MNYIKA ktk kikao cha leo cha bunge labda ututhibitihie, au unajikombakomba kama mwigulu mwenyewe? ninachojua naibu spika kalipeleka suala hilo ktk chombo cha kushughulikia madai kama hayo hapo mjengon!
 
mwingulu hana kazi ndio maana anaweza kushinda hu JF na kutengeneza propaganda ili hali wenzake wapo wanajadili na kufukiria agenda yeye anawaza kutengeneza propaganda za kujisafisha na kuchafua wenzake inagawa hana uwezo huo.
 
Du mabo yapo mahakamani Jambazi anamsamehe POLISI kwa kumkamata sijawahi sikia huyo MWIGULU atakuwa kachemka angesubiri hiyo kamati ya Bunge ya Maadili
 
Mie nimewaambia zamani huyu kijana Mnyika ana matatizo ya kichwa, anaropoka hivyo bila ushahidi wala busara.

Big Up Mwigulu kwa kukasamehe, kakikua kataacha!
Hivi na wewe unajifanyaga kujuwa kwingi kumbe bichwa maji unafuata mkumbo tu, ni wapi Mwigulu Nchemba alipomsamehe Mnyika? swala la Mnyika limepelekwa kamati ya maadili ya Bunge na Mnyika ataitwa huko kwenye kamati hiyo pimbi wewe.
 
SCHIZOPHRENIA = "Mental disorder in which a person becomes unable to act or think in a rational way, often with delusions and withdrawal from social relationships"

Bigirita, hiyo ni kweli tupu!
 
Hivi na wewe unajifanyaga kujuwa kwingi kumbe bichwa maji unafuata mkumbo tu, ni wapi Mwigulu Nchemba alipomsamehe Mnyika? swala la Mnyika limepelekwa kamati ya maadili ya Bunge na Mnyika ataitwa huko kwenye kamati hiyo pimbi wewe.
Red: Sikuwa nalifahamu hili! ndo umenihabarisha leo.
 
Mpeni haki yake kwa kumpa BIG UP Mheshimiwa Mchemba kaonyesha uungwana uliotukuka. Mnyika hakuwa na ushahidi hivyo angeishia pabaya kwa vile alikurupuka. Nyie wana CDM muweke ushabiki pembeni na kukiri Mnyika aliteleza kwa kutoa kauli ambayo haikuwa na uhalisia

apewe bigup ya nini? epa=kagoda =ccm, na mwigulu ndiye mtunza fedha sasa hapo kama kamsamehe ujue kaona mbali kuwa chama cha mabwepande kingeumbuka, wamemshauri wAkubwa
 
Back
Top Bottom