Hongera Nasary

Lengetes

New Member
Apr 4, 2012
3
0
Hongera kwa wana Arumeru Mashariki kwa kumpata mbunge kijana,hayo ni matokeo ya kampeni za kistaarabu zilizokuwa na ujumbe kuwa Tulianza na Mungu na Tutamaliza na Mungu,pia ni mafanikio ya kutojibizana na maneno ya kashfa toka vyama vingine.
 
Nadhani hongera zimetosha! Tuwekeze muda kujadili mada zingne kama jinsi ya kutatua kero lukuki za wananchi wake!
Kuna msemo huku kwetu "Mgeni siku ya kwanza,kesho mpe jembe akalime!"
huu si muda muafaka wa kumpa hongera nasari,bali pole ili ajue ana mzgo mkubwa mbele yake!
NI MTAZAMO WANGU TU!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom