Hongera mzee wa rula kwa kupata babygirl!!!!

A little girl from up above
Is sent from heaven for you to love
So cherish all the early years
And raise a glass to all the cheers

Hongera kwa kupata mtoto wa kike Mzee wa Rula

:A S-baby:
 
PC ya nini hospital wewe??? Hebu kaa na mama kwanza hayo ma PC yako shughulika nayo usiku

PC ndo nini?,...wait a minute:
PC=PRETTY CHICK!

Aisee, achana na hii maneno bana, msubiri mama apone... miezi3 sio mingi! .,
Si unakumbuka tokea jana nakukataza?
 
Umeona eh kiongozi, Huyu Mzee wa Rula atakua anajisevia mwenyewe badala ya kumpelekea mama mtoto!! Shavu lazima litoke kwa staili hii!!
Kama ni kitendawili kwa kiswahili cha mtaani "Umenuku" yaani umekosea, si nipo hospital na mama nampa kamtori mkuu,
 
PC ndo nini?,...wait a minute:
PC=PRETTY CHICK!

Aisee, achana na hii maneno bana, msubiri mama apone... miezi3 sio mingi! .,
Si unakumbuka tokea jana nakukataza?
Ushauri umezingatiwa mkuu lakini nilimean laptop ili kuweka mambo sawa.
 
Kama ni kitendawili kwa kiswahili cha mtaani "Umenuku" yaani umekosea, si nipo hospital na mama nampa kamtori mkuu,
Asee kiongozi, msalimie mama hapa....mwambie nawatakie afya njema yeye na mtoto!! halafu na wewe uache kudoea mtori na supu ya mzazi umesikia eh!
 
Safi sana
Congrats Mzee wa Rula
Congrats Mama Mzee wa Rula
Congrats Binti Mzee wa Rula

Thank You Almighty God
Nina wazo la kuomba WanaJF tumrushie vi-mchango huyo binti anunuliwe viwalo vyake, na kusaidia huduma zake zingine, akue aje kuwa mwanaJF baadae hata kama ni jero.
Coz haya ndio mazoea niliyokulia home na hata kazin kwangu sasa.

Ni wazo tu
 
Back
Top Bottom