Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,352
- Thread starter
- #61
Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaa CPU bwana...........hii ni ile siku Babu ananilazimisha kusmile na kuomba nisimsehelee kwa bibi baada ya kumkuta akiharibu loh
Nice pic.
Aisee mjukuu kumbe we kambeya? ndo nini kuongea siri za babu hadharani?