Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,770
- 59,118
Babu azawadiwe kwani sherehe ni yake??Za binti hazihitaji ahadi....tayari mwenyewe anajua atapata!Sijaona mtu akiahidi dhwadi kwa birthday girl au japo kwa babu yake....nyie watu vipi?
Babu azawadiwe kwani sherehe ni yake??Za binti hazihitaji ahadi....tayari mwenyewe anajua atapata!Sijaona mtu akiahidi dhwadi kwa birthday girl au japo kwa babu yake....nyie watu vipi?
Asprin...............am speechless kweli... hivi ulishawahi kuwa mwandishi wa hadithi?? Am impressed kwa kweli kiasi kwamba nashindwa hata kukublast kwa kukosea miaka yangu.hivi umezeeka kiasi cha kusahau kuwa mjukuu wako is underage?? Still sweet 16 bana.....loh
Trully guys thank you so much you have been part of my life in a very special way........... thanx all
Unaonaje hako ka-Red ukakafuta halafu ukaweka RAHA halafu urudie kusoma??
Angalizo: (Babu asione)
We niachie huyu mjukuu tu, nakulipia Bili wiki nzima
Happy birthday mwanajamiione
Happy Birthday Mwanajamii1
Lady N...................aksante sana rafiki yangu ninamshukuru MUNGU na pia ninakushuruku kwa kuwa sehemu ya marafiki zangu. Ninakupenda na kukujali. Karibu tusherehekee pamoja.happy birthday :A S-baby:
happy bday dearest,,,,nakuombea baraka