Hongera MwanajamiiOne!!

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,358
Mjukuu wangu wa kwanza, Mjukuu Mtiifu salamu.

Mimi babu yako, kwaniaba ya wanajamvi, wapwa na wajukuu wenzako wote nimekuja hapa hadharani kukupongeza kwa dhati na upendo mkuu kabisa.

Miaka zaidi ya 30 iliyopita, nakumbuka mama yako aliniandikia barua akanisihi nikamtembelee kwa kuwa anataka kunipa zawadi maalum. Sikupoteza muda, nilipanda lori na kwa muda wa siku tatu nikafika. Nakumbuka ilikuwa tarehe kama ya leo, nikamkuta ametoka kujifungua katoto ka kike kazuri kama malaika, keupe kama mwarabu, kana tabasamu kama Cleopatra.

Akanambia baba, zawadi nliyokuitia ndio hii: Akanikabidhi nikakubeba nikamwambia: Nakusihi huyu binti umwite Mwanajamii kwa kuwa atakuwa mtu muhimu katika jamii. Tena ili watu wasimchakachue, Mwite MwanajamiiOne!...........Mama yako alivyo mtii kama wewe hakupinga.

Ona jinsi maneno yanavyoumba. Hebu angalia ulivyo muhimu katika jamii. Mpole, Mnyenyekevu, Mtiifu,Mwenye upendo wa aina yake, Unayejali, Mkweli, Mshauri mzuri na mengine mengi lukuki. Wanajamvi ni mashahidi wangu kiasi kwamba usipoonekana hapa jamvini wanafungua thread za kuuliza ulipopotelea.

Mungu akujalie maisha marefu zaidi ili jamii iendelee kunufaika kwa uwepo wako.

:hug::hug::hug:HAPPY BIRTHDAY MwanajamiiOne!:hug::hug:

Heri ninakutakia, Mwanajamii Sikia,
Mungu atakujalia, Heri na baraka pia,
Uishi katika dunia, Watu wakifurahia,
Hongera zangu pokea, Hongera zetu pokea.

Endelea kung'ang'ana, Mazuri kuzingatia,
Usiku hata mchana, Mabaya kuyakimbia,
Yote mema yatafana, Dua ninakuombea,
Mungu na Akubariki, Ishi maisha marefu.

:drum::pray2::bange::violin::llama::peace::grouphug::horn::cheer2::hippie::A S-heart-2::lalala:

Na Babu Asprin A.k.a Big Braza ODM
Kaunta ya Juu King Staa Bar
Boko Basihaya.
CopyRight Reserved.

Wanaotaka kuserebuka na sisi katika siku hii spesho ya mjukuu waniPM kwa maelekezo zaidi.
 
:hand::hand::hand:..............Mungu Hana Kamati................:israel::israel::israel:

HAPPY BIRTHDAY MJUKUU MTUKUTU, sorry MTIIFU.

:violin::violin::msela::msela::msela::peace::peace::clap2::clap2:
 
Hivi hii thread iko kwenye jukwaa la Chit Chat....you have been warned!
 
MJONE my dear
Kila kitu babu alichonena hapo ni kweli tupu..
Kweli u mwerevu
na mwenye busara tele
Na zidi kukuombea
miaka mingi na yenye neema
Na wanaokuja wapate mafunzo kutoka kwako
HAPPY BIRTH DAY ..
 
Asprin...............am speechless kweli... hivi ulishawahi kuwa mwandishi wa hadithi?? Am impressed kwa kweli kiasi kwamba nashindwa hata kukublast kwa kukosea miaka yangu.hivi umezeeka kiasi cha kusahau kuwa mjukuu wako is underage?? Still sweet 16 bana.....loh

Trully guys thank you so much you have been part of my life in a very special way........... thanx all
 
:hand::hand::hand:..............Mungu Hana Kamati................:israel::israel::israel:

HAPPY BIRTHDAY MJUKUU MTUKUTU, sorry MTIIFU.

:violin::violin::msela::msela::msela::peace::peace::clap2::clap2:

Babu Mkagua ............huyu Babu Mkuu naanza kuamini ndie Andanenga maana hiki kipaji balaa.....Aksante Babu am getting younger and younger...................always 16 at heart and soul.
 
MJONE my dear
Kila kitu babu alichonena hapo ni kweli tupu..
Kweli u mwerevu
na mwenye busara tele
Na zidi kukuombea
miaka mingi na yenye neema
Na wanaokuja wapate mafunzo kutoka kwako
HAPPY BIRTH DAY ..

Hey you sweet thing taratibu mylove loh mnanifanya niionee aibu screen yangu. Thank you so much mydia....vipi umepona na Earthquake?? Love you
 
Mjukuu wangu wa kwanza, Mjukuu Mtiifu salamu.

Mimi babu yako, kwaniaba ya wanajamvi, wapwa na wajukuu wenzako wote nimekuja hapa hadharani kukupongeza kwa dhati na upendo mkuu kabisa.

Miaka zaidi ya 30 iliyopita, nakumbuka mama yako aliniandikia barua akanisihi nikamtembelee kwa kuwa anataka kunipa zawadi maalum. Sikupoteza muda, nilipanda lori na kwa muda wa siku tatu nikafika. Nakumbuka ilikuwa tarehe kama ya leo, nikamkuta ametoka kujifungua katoto ka kike kazuri kama malaika, keupe kama mwarabu, kana tabasamu kama Cleopatra.

Akanambia baba, zawadi nliyokuitia ndio hii: Akanikabidhi nikakubeba nikamwambia: Nakusihi huyu binti umwite Mwanajamii kwa kuwa atakuwa mtu muhimu katika jamii. Tena ili watu wasimchakachue, Mwite MwanajamiiOne!...........Mama yako alivyo mtii kama wewe hakupinga.

Ona jinsi maneno yanavyoumba. Hebu angalia ulivyo muhimu katika jamii. Mpole, Mnyenyekevu, Mtiifu,Mwenye upendo wa aina yake, Unayejali, Mkweli, Mshauri mzuri na mengine mengi lukuki. Wanajamvi ni mashahidi wangu kiasi kwamba usipoonekana hapa jamvini wanafungua thread za kuuliza ulipopotelea.

Mungu akujalie maisha marefu zaidi ili jamii iendelee kunufaika kwa uwepo wako.

:hug::hug::hug:HAPPY BIRTHDAY MwanajamiiOne!:hug::hug:

Heri ninakutakia, Mwanajamii Sikia,
Mungu atakujalia, Heri na baraka pia,
Uishi katika dunia, Watu wakifurahia,
Hongera zangu pokea, Hongera zetu pokea.

Endelea kung'ang'ana, Mazuri kuzingatia,
Usiku hata mchana, Mabaya kuyakimbia,
Yote mema yatafana, Dua ninakuombea,
Mungu na Akubariki, Ishi maisha marefu.

:drum::pray2::bange::violin::llama::peace::grouphug::horn::cheer2::hippie::A S-heart-2::lalala:

Na Babu Asprin A.k.a Big Braza ODM
Kaunta ya Juu King Staa Bar
Boko Basihaya.
CopyRight Reserved.

Wanaotaka kuserebuka na sisi katika siku hii spesho ya mjukuu waniPM kwa maelekezo zaidi.

Birthday zooooooooooooote ni kwenye Chit Chat

NAKUPA ONYO KALI

119311,xcitefun-birthday-card.jpg
 
Asprin...............am speechless kweli... hivi ulishawahi kuwa mwandishi wa hadithi?? Am impressed kwa kweli kiasi kwamba nashindwa hata kukublast kwa kukosea miaka yangu.hivi umezeeka kiasi cha kusahau kuwa mjukuu wako is underage?? Still sweet 16 bana.....loh

Trully guys thank you so much you have been part of my life in a very special way........... thanx all

Unaona sasa.........ningesema una miaka 16, birthday party yako kungekuwa na kunywa marunyag responsibly?

Halafu, hii birth date kuangukia kwaresma, halafu Jumapili, huoni kuwa ulipaswa kuwa kwenye kamati inayomsaidia babu wa Loliondo kuwatibia watu lukuki kule?

Au hii kuangukia jumapili, ukiondoa hiki ni kipindi cha kwaresma....je yaweza kuwa sababu ya ile mikutano ya walipa kodi wakuu kukutana?
 
Hey you sweet thing taratibu mylove loh mnanifanya niionee aibu screen yangu. Thank you so much mydia....vipi umepona na Earthquake?? Love you

My dear u deserve it
It's you day today
So set back ,relax and obsorve it ...
Bado tunaomboleza..
Lakini tutaongelea kesho mambo ya earthquake
Leo ni kuhusu wewe tu mpenzi..
 
Happy Birthday MJ1...I wish you many years to come mama...uzidi kua kabinti kazuri!Be blessed and stay blessed!
 
Sijaona mtu akiahidi dhwadi kwa birthday girl au japo kwa babu yake....nyie watu vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom