Hongera mheshimiwa Mnyika, kumbe uliona mbali!

Kumbe umekuwa kipofu kiasi hiki? Mbona huo ni ukweli mtupu si mashambulizi? Daah kweli upingwa siku zote!

Kwa mimi sikioni ana chofanya mnyika jimboni kwake hivi alichaguliwa ili amshambulie raisi au awaletee maendeleo wana ubungo kama mna mpenda mwambieni atekeleze aliyo ahidi sio kumsifia au mnataka kumpiga mizinga.
 
Well said kupitia Mh Mnyika ukweli umejulikana kwa watu wote!

mnyika hakuwahi kuongea tu kipya uhusu udhaifu wa kiongozi alichosema mnyika wakati ule haikuwa maoni yake (opinion) ule ulikuwa ni ukweli (fact),na unajua ukweli unapaswa kujulikana na watu wote na usipojulikana kwa wote basa ni kwa sababu tu watu wengine ni wazembe wa kusoma hali ya mambo kama sio hivyo, watu hao ni sehemu ya tatizo ndio wale waliompinga mheshimiwa sana mnyika
 
Nani aliyekuambia hafanyi mambo jimboni kwake? Acha kumchafua mtu,Mh Mnyika aliongea ukweli! Kama nchi imewashinda iacheni,wanaojua wataongoza

Kazi ya mbunge ni kiungo kati ya wananchi na serikali kuu hivyo yale yaliyo nje ya uwezo wa serikali ya mtaa (Local govt) mbunge anayachukua na kuyajengea hoja bungeni ili serikali iweze kuyafanyia maamuzi, nadhani kama kuna mambo hayajafanyika si kosa la Mnyika kwani yeye kuna mengi amefanya hata hili lililoletwa katika huu uzi ni kwa ajili ya wananchi wa jimbo lake na watz kwa ujumla. Tatizo wananchi tumechakachua kazi za wabunge kwa kuwa wabunge wa CCM wamezoesha wananchi kwamba ukimchagua mbunge atajenga barabara, ataleta maji etc wakati kuwa mbunge si kwamba unakuwa na fungu la kutengeneza yote bali ni link kati ya wananchi na serikali
 
Kwa mimi sikioni ana chofanya mnyika jimboni kwake hivi alichaguliwa ili amshambulie raisi au awaletee maendeleo wana ubungo kama mna mpenda mwambieni atekeleze aliyo ahidi sio kumsifia au mnataka kumpiga mizinga.

Kodi akusanye KIKWETE maendeleo alete mnyika maendeleo anzeni kuleta nyie mnaokusanya kodi.
 
tukienda mbali zaidi hatuwezi pia kusema tumefika hapa kwa sababu ya udhaifu wa watanzania? maana ndio waliomchagua Kikwete mara zote mbili kwa rais wao. kuna wasidizi tele wa rais akiwmo makamu wa rais tena dokta, waziri mkuu, rais wa zanzibar mawaziri n.k wananchi wa kawaida wengependa kujua hasa udhaifu wa rais unatokanana na nini? Mbona huyu mtu mmoja kabebeshwa mzigo wote? maana hata wala rushwa wanamlaumu, wezi nao! hata waislamu wenzake. mimi nafikiri kuna haja ya kufanya analysis kuhusu udhaifu wake na kama ni mtu asiyeambilika tujue. naona pia nchi hii imejaa wanafiki
 
Nani aliyekuambia hafanyi mambo jimboni kwake? Acha kumchafua mtu,Mh Mnyika aliongea ukweli! Kama nchi imewashinda iacheni,wanaojua wataongoza

Mimi ni mwananchi wa jimbo la Ubungo, namkubali mbunge wangu Mhe. J.J Mnyika. Bravo kamanda Mnyika.
 
Kwa mimi sikioni ana chofanya mnyika jimboni kwake hivi alichaguliwa ili amshambulie raisi au awaletee maendeleo wana ubungo kama mna mpenda mwambieni atekeleze aliyo ahidi sio kumsifia au mnataka kumpiga mizinga.
Kumkosoa Rais ni moja kati ya majukumu yake, kwani tukisema serikali si pamoja na rais?
 
Usiwe mshamba, maendeleo yanaletwa kukiwa na aman, km hakuna aman huwez leta maendeleo. Alichosema mnyika kilikuwa cha kweli. Sema tu we gamba mvivu wa kufikiria. Udhaifu alio usemea kila mtu leo anakir kwel kuwa president ana problem.

hivi aman gani sana ambayo watz tunayo amani hii ya kutumia dola. nyinyi mtaongea sana mmezomea kufanyiwa interview za kazi makanisani umeisha
 
Labda mzee Dhaifu keshakakamaa, tusubiri tuone atakavyoshuhulikia mambo ya Ponda na Fareed
 
Kwa mimi sikioni ana chofanya mnyika jimboni kwake hivi alichaguliwa ili amshambulie raisi au awaletee maendeleo wana ubungo kama mna mpenda mwambieni atekeleze aliyo ahidi sio kumsifia au mnataka kumpiga mizinga.

tulia! Hujui ulisemalo,kitoweo...
 
Back
Top Bottom