Hongera mheshimiwa Mnyika, kumbe uliona mbali!

Heli umenena

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
wapo walio sema amewatusi, wapo waliompongeza, wapo waliomwona kiburi, pia tupo ambao hatuku mwelewa ila sasa ndio tunaona nini alikuwa ana maanisha. I appreeciate Mnyika
 
Wapuuzi wachache walibisha na kumpuuza Kamanda Mnyika, ila sasa tuona ufasaha na maana ya kauli ya kamanda Mnyika..na aliomba atoe ufafanuzi wa kauli yake wachache wakatumia mamlaka yao kuficha ukweli huu. Afichaye maradhi, kifo kitamuumbua na pia, penzi ni kikohozi kulificha uliwezi. Na kibaya zaidi "MUNGU AMFICHI MNAFIKI"
 
Kwa mimi sikioni ana chofanya mnyika jimboni kwake hivi alichaguliwa ili amshambulie raisi au awaletee maendeleo wana ubungo kama mna mpenda mwambieni atekeleze aliyo ahidi sio kumsifia au mnataka kumpiga mizinga.
 
Usiwe mshamba, maendeleo yanaletwa kukiwa na aman, km hakuna aman huwez leta maendeleo. Alichosema mnyika kilikuwa cha kweli. Sema tu we gamba mvivu wa kufikiria. Udhaifu alio usemea kila mtu leo anakir kwel kuwa president ana problem.
 
Kwa mimi sikioni ana chofanya mnyika jimboni kwake hivi alichaguliwa ili amshambulie raisi au awaletee maendeleo wana ubungo kama mna mpenda mwambieni atekeleze aliyo ahidi sio kumsifia au mnataka kumpiga mizinga.
Nani aliyekuambia hafanyi mambo jimboni kwake? Acha kumchafua mtu,Mh Mnyika aliongea ukweli! Kama nchi imewashinda iacheni,wanaojua wataongoza
 
wanaopinga ndo hao wapo kwnye kundi la udhaifu na upuuzi,kama hujui kusoma hata picha huoni sasa?
 
Mkuu ni lazima uwe na njia ya kujustify kuwa madarakani, kama watu wanaanza kupambana na wewe ni vizuri kuwafanya waanze kupambana wenyewe kwa wenyewe, otherwise wakiwa kitu kimoja watakushughulikia.

Watu wanaoona kuwa hali hii inatokana na udhaifu wa Kikwete huenda wanakosea, hii ni njia yake ya kutawala.
 
Kwa mimi sikioni ana chofanya mnyika jimboni kwake hivi alichaguliwa ili amshambulie raisi au awaletee maendeleo wana ubungo kama mna mpenda mwambieni atekeleze aliyo ahidi sio kumsifia au mnataka kumpiga mizinga.
kama unaona hakufai basi tubadilishane na huyu wa kwetu Mwingilu Nchemba,au tuwaombe wana Bunda Mnyika aende Bunda na yule mzee aliyekana watoto wake shauri ya kuitetea sisiem aje UBUNGO naomba jibu tuanze mchakato,
 
Mkuu ni lazima uwe na njia ya kujustify kuwa madarakani, kama watu wanaanza kupambana na wewe ni vizuri kuwafanya waanze kupambana wenyewe kwa wenyewe, otherwise wakiwa kitu kimoja watakushughulikia.

Watu wanaoona kuwa hali hii inatokana na udhaifu wa Kikwete huenda wanakosea, hii ni njia yake ya kutawala.
haya mawazo nayaunga mkono 100%
 
mnyika hakuwahi kuongea tu kipya uhusu udhaifu wa kiongozi alichosema mnyika wakati ule haikuwa maoni yake (opinion) ule ulikuwa ni ukweli (fact),na unajua ukweli unapaswa kujulikana na watu wote na usipojulikana kwa wote basa ni kwa sababu tu watu wengine ni wazembe wa kusoma hali ya mambo kama sio hivyo, watu hao ni sehemu ya tatizo ndio wale waliompinga mheshimiwa sana mnyika
 
wapo walio sema amewatusi, wapo waliompongeza, wapo waliomwona kiburi, pia tupo ambao hatuku mwelewa ila sasa ndio tunaona nini alikuwa ana maanisha. I appreeciate Mnyika

it is only honest people and trustworthy who can dare say real issues in real places. kudos Kamanda Mnyika...
tunasonga mbele...kitaeleweka to!
wanatugawa kwa dini zetu...hawatashinda kwani hawana hoja zenye nguvu kuweza kutuchanganya.
UDHAIFU, UZEMBE NA UPUUZI!!! we need now M4C...oops what about. ...V4C ile ya sawasawa?
all in all. .... .kamanda Mnyika upo juu...!
 
Back
Top Bottom