Hongera Mh Rais; Umeonyesha kuwa unawajali wananchi wako

FF,

Badala ya kusahihisha kiswahili cha wakuja, toa walau pongezi kwa baba mkwe kwanza!!!!
Nashukuru mkuu

yaani yeye alichokiona ni kiswahili kukosewa,ikimaanisha kuwa kila thread iwekwapo yeye hasomi na kupata habari juu ya mada husika,anachokiangalia ni kiswahili tu
 
Viongozi wetu kwa ahadi hawawezekani. Inawezekana JK ana mawazo mazuri ila watekelezaji wa mawazo yake ni vimeo. Wale wa Mbagala na Gongo la mboto mpaka leo bado kuna ambao hawajapewa viwanja.
 
Kwani hukusikiaTV station yake (TBC) wakisema bila kumung'unya maneno kuwa alitokea kwenye mbuga za serengeti alikokuwa kwenye mapumziko? Hata dege lake lililomleta walilionyesha! Matanuzi yake akiwa injini ni serengeti sijui kulikoni?
 
Jk%20mafuriko.jpg

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na mmoja wa watu walioathirika na mafuriko katika eneo la Jangwani, Bonde la Msimbazi, Jijini Dar es Salaam, Zuwena Juma akiwa na mtoto wake, wakati alipotembelea kambi ya Mchikichini jana kuwapa pole watu walioathiriwa na mafuriko hayo na kupewa hifadhi katika kambi hiyo. (picha na Omar Fungo)
 
wakazi wa mabondeni hakuanza wakati wa kikwete wapo tangu enzi za Nyerere, awamu ya Mwinyi wakaongezeka, awamu yaMkapa wakaongezeka zaidi na Kikwete ndio yamemfika anabeba zigo utadhani makazi ya mabondeni yameanza awamu ya nne..... tutende haki.
sawa unachosema lkn hakina ukweli wowote MBU, ni serikali ileile
ya CCM haijabalika. Kwa hiyo serikali ililea tatizo kama inavyolea
matatizo mengine. Serikali ichukue hatua kali dhidi ya wakaidi wa
amri hali ya serikali. Kuna sehemu za kuchekeana lkn sio katika
hili, linakuja suala la mazingira ni muhimu kuwa na ziro uvumilivu
 
sawa unachosema lkn hakina ukweli wowote MBU, ni serikali ileile
ya CCM haijabalika. Kwa hiyo serikali ililea tatizo kama inavyolea
matatizo mengine. Serikali ichukue hatua kali dhidi ya wakaidi wa
amri hali ya serikali. Kuna sehemu za kuchekeana lkn sio katika
hili, linakuja suala la mazingira ni muhimu kuwa na ziro uvumilivu

pia nadhani serikali haina meno
tunaona hata pale China,serikali ikisha sema kuwa hapa no hakuna poa kutia kamasi,hakuna mambo ya haki za binadamu na mambo yao yanakwenda

lakini sisi hapa tunajifanya tunaelewa sana haki za binadamu mwisho wake ni maji kuja kuamua juu ya haki ya binadamu,haya wanaharakati wa haki za binadamu maji hayo yameua vipi hakuna uwezekano wa kuyashitaki maji kwanini hayafuati haki za binadamu?

kwa maana hiyo basi hakuna kumwangalia usoni mtu,watolewe hata kwa mtutu ndio mkiwachekea watarudi tena na haki za binadamu watakuja juu na kuwatetea

mimi naomba sheria za CHINA zitumike Tanzania kwa siku 10 tu tuone
 
tumpongeze kwa lipi? huo ni wajibu wake tena alichelewa kufika.
na huu ni wakati wa amri kuwatafutie pengine na kuwatoa kw anguvu
hakuna kuwachekea tena,mbio za makamba ziendelee
 
Back
Top Bottom