[COLOR="Red" said:Rwabugiri;262558]Jamani tusipokuwa makini ya jirani zetu KUYU Vs LUO yanatunyemelea[/COLOR]!
Suala sio la ukabila.
Issue ni kuwa viongozi wa mambo ya ufugaji wawe na asili ya ufugaji. Viongozi wa uvuvi watoke kwenye jamii zenye asili ya kuvua.
Hii itasaidia viongozi hao kutodanganywa na wataalamu waliojaa theories.
Kama utaipitia hotuba ya Mudhihiri, Mnyaa na wengine - hoja ilikuwa ni Waraka uliotolewa na Wizara kujaa vipengere vya kukataza uvuvi huu na ule, sehemu za kufanyia uvuvi usiku na hata vifaa vya uvuvi. Kwa madai ya wabunge hao, kataza kataza hio itawaathiri wavuvi wadogo wadogo ambao kipato chao kinategemea moja kwa moja uvuvi huo kwa miaka kadha wa kadha.