Hongera Mh. Msigwa kwa kuwaambia wabunge wenzako ukweli

Komba na hesabu wapi na wapi?

Ndio tatizo la kuchaguwa wabunge waliozoea mipasho tu, uwezo wa kufikiri ni mdogo saaana.
Jana nilimshangaa sa "Huyu kubwa Jinga", kaasa kwa mipasho, kamaliza kama mtu aliyetakiwa awe mirembe.

uchangiaji wake ulijaa zaidi ya 90% malalamiko, tena ya kuponda serikali. arafu anakwambia naunga mkono 100 kwa 100. ni heri tu angesama naunga mkono ingetosha, lakini 100 kwa 100 na malalamiko kibao.
 
Inakuwaje Mbunge unaunga hoja ya bajeti mkono kwa 100%,halafu katika mchango wako wote katika bajeti hiyo unailaumu serikali kwa kutozingatia mambo muhimu.Je huku sio kuwahadaa wananchi?

Tatizo hawakui, wamedumaa, bado wana mawazo ya miaka ya 70 na 80, mabadiliko ya wananchi wao kifikra hawaoni kabisa, bado wako kipindi kilee zidumu fikra za mwenyekiti, halafu wanakuwa wabishi, wanang'ang'ania wanawakilisha wananachi, wanafki wakubwa, another silly season,bure kabisa wabunge wa ccm
 
Ni dalili za woga na unafiki!
Content imejaa kupinga then conclusion unasema naunga mkono hoja!
Nini role ya speaker kunullify such conclusion!Au yuupo pale kusikiliza mipasho?
 
Walisha lainishwa na kutishiwa kwenye semina Elekezi, huoni wanavyolia matatizo ya majimbo yao lakini amri ni moja pitisheni bajeti hii. Kwa hiyo hawana ubavu wa kuikataa bajeti. haposasa machozi ya uchungu na kicheko cha uongo.
wabunge wa ccm hawana ubavu wa kupingana na serikali yao na hii ndio safi maana wanazidi kukizamisha chama chao cha magamba.
 
Wakati mwingine bunge ni mzigo kwa mlipa kodi,usanii wao wapambanishwe na wasanii maarufu Hollywood
 
Hekima ya CCM imekuwa upumbavu, ukosoe bajeti harafu uunge mkono mia kwa mia hata aliyekuchagua ni mpuuzi maana angekuwa na akili hata kidogo, angekufuta ubunge ifikapo 2015. Kanda ya ziwa ni moja tu mtaka msitake; kama jina limekwisha tumika kwa mtu mwingine, na hakuna namna ya kulitumia si uchukue jina lingine. Unaweza kulinganisha victoria na nyasa??? lazima uwe mwehu na mbakaji hivi.
 
Chadema bwana,zitto anaposema msichague chama chagueni mtu hiko ndicho anachomaanisha,huwa mnakazana chama first,madhara ya chama first ndicho hicho mnachokilalamikia sasa
 
Back
Top Bottom