Hongera Mbu kwa kutudunga sindano za mahusiano mara 2000 na ushee..!!

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254

Familiar whine in my ear
You settle on my forearm
Prepare to pierce my skin with your proboscis
I raise my hand to strike

--Wait--!
What if I let you complete the cycle?
You might feed the songbird
Who cheers my day.

Your larvae might feed the minnow
Who feeds the fingerling
Who feeds the pike
Who feeds me.

You might be a meal
For the brown bat
Whose guano fertilizes
Tomatoes for my salad.

--SMACK NOT--!
Not today. ...
wewe si mbu kweli, bali chungu kilichojaa maono ya mahusiano baina ya wanadamu, Nitakusitiri!!

Ahsante kwa kuwa nasi, uzidi kutupatia nasaba zako kuhusiana na maisha yetu kama wanajamii. Hongera Sana Mbu!!

Leading poem by: Deborah Frontiera.

SteveD.
 
Keep it up Mbu, tumezoea uzoefu wako kwenye mambo ya familia.
Go Mbu,GOOOOooooooo!!!!
 
Hongera Mbu kwa kudunga mara 2000 bila kutuachia viparasite.

Eti Mbu, binadamu anaweza kuwa na malaria 1000 ? (sio mara 1000, namaanisha malaria 1000, ukienda hospitali kupima malaria unaweza kuambiwa una 1, 2, 6, 20, 200 etc.)
 
Mkuu Mbu, hongera kwa kufikia 2000. Huwa napenda kusoma maandiko yako, manake huwa unakuja kitofauti na ukweli, wakati huohuo mara nyingi hutuacha tukitabasamu.
 
Hongera sana Mbu. Michango yako hapa ukumbini imekuwa na thamani kubwa katika kudumisha majadiliano yetu mbali mbali. Wewe ni mmoja wa wachangiaji ambaye mimi hupenda sana kusoma michango yako ya kina pia iliyokwenda shule. Hongera sana kwa kutimiza jumbe 2,000.
 
Mkuu MBU hongera sana kwa hayo mabandiko 2000,uongeze maradufu! Wewe ni kati ya watu wanaochangamsha jukwaa hili kwa michango yako mbalimbali. Big up!
 
...:D malaria ni malaria tu, ukiwa nayo scanty, moja au 1000! ..ukizubaa nayo roho itaacha mwili wako...

hiyo count inategemeana wakishakutoboa kidole (finger/thumb prick,) kisha kwenye thick blood film examination ambako unaweza kuta 100-1000 parasites per ml, au thin smear slide ambako unaanza na scanty mpaka 4+ malaria parasites.

Kumbuka, hao wadudu wataonekana kwenye microscope ni toka kwenye tone moja tu la damu, ilhali mtu mzima mwilini una kiasi cha lita 5-6 za damu.
 
Mkuu MBU hongera sana kwa hayo mabandiko 2000,uongeze maradufu! Wewe ni kati ya watu wanaochangamsha jukwaa hili kwa michango yako mbalimbali. Big up!
Hongera sana Mbu. Michango yako hapa ukumbini imekuwa na thamani kubwa katika kudumisha majadiliano yetu mbali mbali. Wewe ni mmoja wa wachangiaji ambaye mimi hupenda sana kusoma michango yako ya kina pia iliyokwenda shule. Hongera sana kwa kutimiza jumbe 2,000.
Mkuu Mbu, hongera kwa kufikia 2000. Huwa napenda kusoma maandiko yako, manake huwa unakuja kitofauti na ukweli, wakati huohuo mara nyingi hutuacha tukitabasamu.
Hongera Mbu kwa kudunga mara 2000 bila kutuachia viparasite.
Eti Mbu, binadamu anaweza kuwa na malaria 1000 ? (sio mara 1000, namaanisha malaria 1000, ukienda hospitali kupima malaria unaweza kuambiwa una 1, 2, 6, 20, 200 etc.)
Keep it up Mbu, tumezoea uzoefu wako kwenye mambo ya familia.
Go Mbu,GOOOOooooooo!!!!
Hongera Mkuu
Hongera Mbu! Endelea kuongoza hili jahazi!
Mbu,
Hongera Mzee!

Familiar whine in my ear
You settle on my forearm
Prepare to pierce my skin with your proboscis
I raise my hand to strike

--Wait--!
What if I let you complete the cycle?
You might feed the songbird
Who cheers my day.

Your larvae might feed the minnow
Who feeds the fingerling
Who feeds the pike
Who feeds me.

You might be a meal
For the brown bat
Whose guano fertilizes
Tomatoes for my salad.

--SMACK NOT--!
Not today. ...
wewe si mbu kweli, bali chungu kilichojaa maono ya mahusiano baina ya wanadamu, Nitakusitiri!!

Ahsante kwa kuwa nasi, uzidi kutupatia nasaba zako kuhusiana na maisha yetu kama wanajamii. Hongera Sana Mbu!!

Leading poem by: Deborah Frontiera.

SteveD.

View attachment 4151

...ama humbled!

...speechless!

...kwani yangewezekana hayo bila nyie wanajamii?

tupo pamoja, idumu Jamii forum!
 
Hongera MASQUITO but hata mkishinda game zote nafasi yenu ni ya 4 tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom