Hongera Mange for a lovely baby Kenzo

Status
Not open for further replies.

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Last Thursday Mange kimambi alipata mtoto wa kiume kwa jina la Kenzo hongereni sana for a handsome baby boy...

IMG_6525.JPG IMG_6534.JPG IMG_6489.JPG IMG_6480.JPG
 
<!-- google_ad_section_end -->

sikujua kumbe hata kachanga ni handsome, I only new beautiful...baby boy or baby girl.
kweli lugha inakua.
 
Kule U-Turn haijawekwa? At least sasa MK atapumzika na kulea mtoto - maana bulogu ilikuwa inampeleka pabaya!
 
Watu mbona wako obsessed sana na huyu mdada?

Mdada mwenyewe ndiye social climber aliyeji prostitute kwa kutoa ten social climbers commandments.

Watu wanadaka kila kinachotolewa, huyu dada na JD wako mstari wa mbele kujipromote out there, kwa hiyo it is more about wao wanavyoji toa out here on the web kuliko watu wanavyowafuatilia.

I doubt kwamba kuna paparazzi walimfuata mpaka hospitalini, more like yeye mwenyewe katoa hizo picha.
 
Mdada mwenyewe ndiye social climber aliyeji prostitute kwa kutoa ten social climbers commandments.

Watu wanadaka kila kinachotolewa, huyu dada na JD wako mstari wa mbele kujipromote out there, kwa hiyo it is more about wao wanavyoji toa out here on the web kuliko watu wanavyowafuatilia.

I doubt kwamba kuna paparazzi walimfuata mpaka hospitalini, more like yeye mwenyewe katoa hizo picha.

Tatizo na watu na wenyewe wanam entertain na kumpaisha.....
 
hongera kwa kupata mtoto.








:eyebrows: hata hivyo huyo mange ndio nani kwa jamii ya watanzania?
naomba unijulishe.
 
Chuki mchukieni haki yake mpeni...Congrats Mange for Baby Kenzo Kimambi Lowrey.Mungu akukuze.:becky:
 
Kweli who is she karibu kila blog imeandika sijui kajifungua mtoto handsome sana oops hongera zake lakini so what. Kuna vitu vingine ni personal sio kujiweka weka kila mahali eti nimeolewa na mzungu so what?? nimejifungua mtoto so what??? Wajameni kueni basi duh..Endeleeni kuwatangaza hao wazungu kwa nguvu zote maana mnasaidia baadhi ya serikali za nchi kadhaa maana kuna wengine utakuta ni wanted here and there so watch out...kuna ile kitu inaitwa A,,,,most wanted...good luck gals!!
 
Alipandishwa chart na yule Wakili Magafu wa Imma Advocate baada ya kupigwa pale hotel Kilimanjaro Kempinski.

Baba yake alikuwa Mzee anayejiweza ila inasemekana kuwa mama alimegwa na kigogo mzito wa CCM.

Mzee kwa hasira akaamua kujiuwa na mama yake alifariki miaka michache iliyopita.

Alikuja kuzaa na Mutoto wa mujini wa Uk aitwaye Machozi sijui?

Baadaye akaja kuwa na huyo Muzungu. Alisoma Sheria na inasemwa darasani alikuwa akijiweza sana.

Ila bado aligawa uroda kushoto nakulia ingawa hakuitumia hii kufaulu mitihani.

Sasa hivi ni mmoja wa Maceleburiti wa Mujini Daresalaam, Tanzania. Anauza Nywele za bandia.

Angelifaa sana afanye kazi Wizara ya mambo ya nchi za nje kwani angelifanikisha mambo mengi sana.
 
Alikuwa mmoja waandaaji kwa miss Kinondoni ndo aliemzindua Nacy Sumari:smile-big:
Hongera Mange kwa cute baby:A S 8:
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom