Hongera makongoro nyerere

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
Natoa pongezi kwa charless makongoro nyerere kuwa mmojawapo wa wagombea walioukwaa ubunge wa afrika mashariki.
 
Kama ulimskiliza kwa makini utaona kati ya waliogombea naye alistahili kupata. Maswali yote aliyajibu vizuri na kwa utulivu
 
nina was wasi sana na hawa wawakilishi wetu katika jumuiya ya A.M maana kimsingi wote wanamtazamo mmoja, toka lini wana ccm wakawa na uzalendo wa kweli , kama tunavyoona wanajumuiya wanavyotuchulia sasa , heshima ya Tanzania imeshuka sana as the result ya wawakilishi wa CCM ambao wanakwenda huko wakiwa hawajui maslai ya nani wayaweke mbele as Long as CC yao inayooongozwa na wakwere ndo inawaamlia wafanye nini na waseme nini .. anyway ... NIMESKITIKA SANA, ILA KILA LA KERI , MSITUANGUSHE TENA
 
Back
Top Bottom