HONGERA Madame B KWA KUWA MISS CHITCHAT OCTOBER 2012!!!!

hongera sana Madame B kwa kutwaa taji. nakuhaidi kuwa bega kwa bega na wewe kwa muda wote mpaka hapo utakapomkabidhi mwingine. me sasa ni kama kaimu wako panapo tatizo usisite kumasiliana nami.
 
Last edited by a moderator:
wala hata sihitaji pole bali hongera make nimekuwa mshindi wa pili na zawadi nimezipata. pole ni kwa wale walioishia nusu fainali. btw asante kwa kura yako!

Yeah shem hii ndio fair play! Aliyekosa hapa ni WNS.
 
hongera sana Madame B kwa kutwaa taji. nakuhaidi kuwa bega kwa bega na wewe kwa muda wote mpaka hapo utakapomkabidhi mwingine. me sasa ni kama kaimu wako panapo tatizo usisite kumasiliana nami.

Asante sana Miss mwenzangu kwa kunisapoti.
Ni kweli sisi tayari ni Washindi kwa maana tulishatoka ktk kundi la wale 8,
Nakuahidi kuwa nawe bega kwa bega ktk kipindi hiki cha Hekaheka.
charminglady Hata nawe nakupongeza kwa kuwa Mshindi.
Tushirikiane ktk kutoa Huduma kwenye Jamii.
Panapo tatizo nitakujulisha Best.

Miss yaaaaa...!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hakika hakuna jukwaa lenye burudani kama hili, kutoka moyoni najivunia kuwa sehemu ya jukwaa hili! Baada ya dibaji hiyo sasa ladies & gentlemen bila kutaja jina wala ubaguzi wa majukwaa PIA MODS njooni tumpongeze MISS CHITCHAT OCT 2012, MADAME B!!

yule rehuzwe jr alitoa zawadi kweli?
 
Asante sana Miss mwenzangu kwa kunisapoti.
Ni kweli sisi tayari ni Washindi kwa maana tulishatoka ktk kundi la wale 8,
Nakuahidi kuwa nawe bega kwa bega ktk kipindi hiki cha Hekaheka.
charminglady Hata nawe nakupongeza kwa kuwa Mshindi.
Tushirikiane ktk kutoa Huduma kwenye Jamii.
Panapo tatizo nitakujulisha Best.

Miss yaaaaa...!!!!

habari yako bishostito je lundenga wa jf alikupa zawadi yako ya 5K kweli...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom