HONGERA Madame B KWA KUWA MISS CHITCHAT OCTOBER 2012!!!!

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,135
13,254
Hakika hakuna jukwaa lenye burudani kama hili, kutoka moyoni najivunia kuwa sehemu ya jukwaa hili! Baada ya dibaji hiyo sasa ladies & gentlemen bila kutaja jina wala ubaguzi wa majukwaa PIA MODS njooni tumpongeze MISS CHITCHAT OCT 2012, MADAME B!!
 
Pamoja na ushindi wako kuwa mgumu na mizengwe, bado unapaswa kuwakilisha mwezi huu vizuri. Hongera xanaxana Madame B na ww pmj na Arushaone ndio mastelingi leo. vp ule mpango wa kuoana na MISTA ARUSHAONE ulidanja au kuna kwere? PAMOKO XANA.
 
Last edited by a moderator:
Congrats Madame B ! May your victory today incourage others to participate to the maximum level, just as you did tonight! Hurrreee! pongezi sana.
 
Last edited by a moderator:
Hakika hakuna jukwaa lenye burudani kama hili, kutoka moyoni najivunia kuwa sehemu ya jukwaa hili! Baada ya dibaji hiyo sasa ladies & gentlemen bila kutaja jina wala ubaguzi wa majukwaa PIA MODS njooni tumpongeze MISS CHITCHAT OCT 2012, MADAME B!!

Arushaone,
Nakushukuru kwa Kuwa Pamoko nami ktk huu mchuano.
Narudia tena Asante sana Arushaone,
Nitakuja nikulipe fadhila zako...
Lol!!
 
Last edited by a moderator:
Na lifuatalo ni ombi kwenu wote, huku kulikuwa na kambi mbalimbali za campaign ila sasa tuzivunje na tuendelee kuwa kitu kimoja kama kabla ya mchuano huu kuanza/kuwepo. Nampa pole sana Wakati ndio huu na nampongeza sana charminglady kwa kushika #2
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom