Hongera Lowassa, Sitta, Membe na wengine mfuate nyayo

Mtakumbuka kuwa hivi karibuni mh.Edward lowassa aliitisha mkutano na waandishi wa habari kijijini kwake Ngarash-Monduli,pamoja na mambo mengine alizungumzia masuala mbalimbali ikiwemo siasa,uchumi na jamii kwa ujumla,baada ya hotuba ile nilikaa nikaitafakari kwa kina nikajaribu kumlinganisha na wanasiasa wengine kama sitta,membe na wengine nikagundua mh lowassa ana uwezo mkubwa sana,anaonekana ana uelewa mkubwa sana kwenye maeneo aliyozungumzia tofauti na wanasiasa wengine kama sitta na Membe ambao wamekuwa wakipika majungu yasiyo na tija,Lowassa si sehemu ya baraza la mawazir la JK,Membe na Sitta ni miongoni mwa waziri wa JK ambao kwa sasa ni mzigo kwa serikali,hawamshauri Rais ipasavyo badala yake wamekuwa wakizungumza hovyo bila mpangalio,Lowassa ameonyesha ni wapi mambo hayaendi sawasawa amejaribu kutoa mifano mbali mbali ya nchi nyingine zilivyoathirika kwa uchumi na hatua mbalimbali zinazochukuliwa kukabliana na matatizo ya uchumi,Membe kwa nafasi ya uwazir wa mambo ya nnje ya nchi amepata nafasi ya kusafir nchi nyingi pamoja na mh rais lkn hatuoni jipya analokuja na vile vile mh Sitta,mh Membe na Sitta mtuambie mna lipi la kujivunia kwenye wizara mnazoziongoza au ni lipi mnajivunia mlilomshaur mh rais likazaa matunda? Lowassa amejaribu kuwaonyesha njia msipike majungu pokeeni mawazo yake kama changamoto,wazungu wana msemo usemao"ACTION SPEAKS LOUDER THAN WORDS" hatutaki maneno pigeni mzigo tuone,kufanya mikutano na kuonekana kwenye vyombo vya habari siyo maendeleo tunahitaji vitendo!
Hongera Mh Lowassa kwa kuonyesha njia...
Nawasilisha

umetumwa humu kumpigia kampeni FISADI.
 
Back
Top Bottom