Elections 2010 Hongera Liutenant Colonel (Retired) Kikwete

Ni matumaini yangu wadau, kuwa kila mpenda amani na nchi hii anautakia ushindi wa Jakaya Kikwete mema, fanaka na matarajio mazuri kwa kipindi 2010 - 2015, hongera sana.
kumbuka kutimiza kila uliyoyanena, mungu na akusaidie.

'...mfalme daudi akalia sana, akararua nguo zake, akasema, imempasaje shujaa kufa afavyo mpumbavu?...'

Nami nakupa hongera kuwaua mashujaa wenzio. Thanks

Unamshusha cheo.... Ni Colonel Mstaafu wa JWTZ, sambamba na Mwenyekiti wake wa kampeni za CCM Kitaifa, Raia wa Somalia, Colonel Mstaafu wa JWTZ Abdulrahman Kinana, bila kumsahau Katibu Mkuu mwenye porojo nyingi, Luteni Mstaafu wa JWTZ, Yussuf Rajab Makamba....
 
Back
Top Bottom