Hongera lady jaydee............

Wewendio zuzu wa kufungulia mwaka, utakufa maskini kwa roho mbaya yako. Panapostahili kusifia msifie mwenzio wewe shida yako ni maji au brand name?? Kumjua mtu personally itakusaidia nini? Komment yako inaonyesha jinsi gani ulivo na roho mbaya hasa mwenzio anapofanikiwa.
Lugha chafu kama roho yako.
 
Hapa ni bongo ndugu yangu, soko lina matatizo yake. Tukubaliane kimsingi wamefanya poor branding strategy. Ili hiyo prdt iweze kufanikiwa ilitegemea sana branding ambayo ni poor na nyingine ni pricing ambayo najua hata compete na Uhai.


Tatizo la hapa kwetu fani ya mrktg imevamiwa song long mtu anajua ngeli basi anaqualify kuwa Mktg Mger. I bet the prdt will proove failure unless auze chini ya cost au agawe bure kwenye show zake.
 
Hao wenye hayo majina hatuwajua personally kwahiyo mtu hawezi kusema simpendi John Walker so sinunui brand yake..ila yeye kwavile anajulikana mtu atanunua kutokana na mapenzi binafsi kwa JayDee na sio kwakuhitaji kilichobrandiwa...kitu ambacho kitamnyima wateja wasiompenda!!

Hapo nimekusoma mkubwa, lakini ninachoamini kama bidhaa ikiwa bora na watumiaji wa kwanza wakaisifia, ni hakika kuwa atauza. Halafu kumbuka soko la Bongo halijakaa kibaguzi namna hiyo.

Kitu kingine unaweza kuona kuwa Jay Dee anakubalika Bongo kwa kiasi kikubwa, na hata wasiomkubali hawamchukii kivile ndio maana amendelea kusavaivu kwenye game kwa kipindi kirefu.

Muhimu kwake ni kuendelea kulinda jina lake ili hata wale wateja ambao wako sensitive na Branding wawe upande wake.
 
Hapo nimekusoma mkubwa, lakini ninachoamini kama bidhaa ikiwa bora na watumiaji wa kwanza wakaisifia, ni hakika kuwa atauza. Halafu kumbuka soko la Bongo halijakaa kibaguzi namna hiyo.

Kitu kingine unaweza kuona kuwa Jay Dee anakubalika Bongo kwa kiasi kikubwa, na hata wasiomkubali hawamchukii kivile ndio maana amendelea kusavaivu kwenye game kwa kipindi kirefu.

Muhimu kwake ni kuendelea kulinda jina lake ili hata wale wateja ambao wako sensitive na Branding wawe upande wake.

Jide anakubalika bongo sana na jina lake litateka soko la maji. Jide mjanja sana.
 
Hivi haya maji si yalipigwa chini na yakawa recalled... sababu ya kutokusajiliwa.....whats the latest..
 
Anajiandaa mapema ili akifulia kama Mr nice auze maji,, safi sana..ni mtazamo tu, tusitafutane.
 
Jamani eleweni nini kinazungumziwa hapa. Maji ni mali ya taifa sio mali ya mtu binafsi bana. Tengeneza juice ita majina unayotaka. Marekani huwezi kuona maji yana majina kama hayo akina Beyonce etc. Perfumes or Cologne ni mali binafsi si mali ya taifa eleweni hilo. Tembeeni North America yote na Europe muone kama kuna maji yana majina ya celebrity yeyote. Ni upuuzi wa serikali yetu inayoshindwa kujua lipi ni sahihi na lipi si sahihi.
 
Sijui kwa nini naanza kuhisi una chuki binafsi na Jide weye? Kwa hiyo unachotaka kutuambia kuwa all bottles water kwenye hizo Nchi ulizotutajia hapo yote chupa zao zimeandikwa simply 'Water' basi maana ni mali ya serikali?
Yaani kwamba huko hakuna 'Dew' ama 'Dasani' ama hata 'Atlas' ama tatizo lako wewe ni maji kuwa branded na jina la Wasanii??
Kama huko wanakubali maji kuwa branded majina ya biashara kama 'Dew' ama Dasani' ama 'Sky drops' kwa nini hapa kwetu tusianze na kubrand majina ya wasanii wetu kama wana uwezo wa kulipia gharama zake??
Ama wewe lazima jambo lianzie kwa wazungu ndio unaliona kipimo chako? Kuna ubaya gani tukianza sisi wao ndio wakaigiza??
Tupunguzeni hii infiriolity complex ya kupima kila tufanyacho kwa kigezo cha wazungu jamani.
 
Hongera sana JayDeee afadhali ya wewe unaona mbali kuliko yule anayejiona eti superstar kwa sababu kaolewa na MZUNGU na ana ka blog kanamtia wazimu na kutukana wenzie. BIG UP JIDEE wewe ni mfano wa kuigwa
Mkuu....Ni Nani tena huyo....
 
Back
Top Bottom