Hongera kwa wapendwa wetu hawa..

usijali nimeiandaa hiyo
tarehe 1.2.2011 naitoa hahahah lol

ongeza maombi dear maana muda wakupanua familia umefika
laini TF bado hajatuli hahah lol

hapo nyuma nilimuona anaruka ruka sana lkn ameanza kutulia,,anahtji pia kanseling afu kuwa nae karibu atakumbuka wajibu wake,,,,hujaniambia khs dena
 
hapo nyuma nilimuona anaruka ruka sana lkn ameanza kutulia,,anahtji pia kanseling afu kuwa nae karibu atakumbuka wajibu wake,,,,hujaniambia khs dena

asante kwa ushauri dear
kwanzia leo nambana kifuani hatoki hahah lol

Dena mzima ila majukumu kidogo tuu..
Desidi aliniambia alikuwa anaumwa kidogo..
lakini sasa si mbaya sana.

mmhh naona Dena na BE na wao wako kwenye mambo ya divorce hahah lol
 
kwa siku chache zilizopita nimekuwa nikifurahishwa sana na hawa wataalum wa
mashahiri na Ngonjera (Old school way)

kweli kama ni vipaji wanavyo na wamebarikiwa ..

Ni vizuri kama tungewashukuru kwa kututoa stress za kazi na mara nyingine
watulaza bila mawazo mazito..

Hawa ndo ma GREAT THINKER wa POEM..
Magulumangu
Mzee Mwanakijiji

Klorokwin
Baba Ubaya

Kashaijabutenge
Miss Judith

MwanajamiiOne
Mohamed Shossi
Michelle

na hawa wafuatao wanajitoa/ jumuika kwa kasi ya ajabu
Teamo ,Asprin, Kaizea

Twa mshukuru Wise Lady kwa kutuburudisha kwa mstari mmoja mmoja hahah lol

kama wataaka kuona mambo zaidi ya hawa Great Thinker nenda kwenye hizi thread
1. Nimekipata Kigori, wenye wivu wajinyonge ..by Magulumangu
2. Akili sana karibu kutenguliwa.. by Mzee Mwanakijiji..

jamani kama kuna wengine naomba tuwa orodheshe hapo chini
ili tuwape heshma zao au kama we ni mmoja wa hao mabigwa wa poem
basi huu ndo muda wako wa ku shine.. .. asanteni

peace
AD.

dah! ndio maana naona maPM ya kinadada yamejaa leo kwenye inbox langu, kumbe niko kwenye top ten?
senks afrodenzi. chukua na hii basi speshel for you (husninyo haimuhusu kabisa hii).

pokea sifa mrembo , kwa sisi kutukumbuka
nitakutungia wimbo, taji lako kukuvika
nilikujua kitambo , wapenda kuburudika
youtube hana mambo, shairi lishakuteka.

tulia tukuliwaze, ulale bila maudhi
tulia tukuchombeze, TF akikubughudhi
matamu tukusemeze, uyaepuke maradhi
klorokwini zimeze , ziongeze yako hadhi.

ni mimi klorokwini a.k.a danzel washington wa kigamboni.
 
oohhh dear i dont know wht to say

I LOVE You tO..

mmhh ngoja nipumzike halafu ntakujibu vizuri zaidi kesho dear..
kweli nimeipenda sana hiyo poem ..
that s y i call u a great thinker dear..
thank u a lot ..
 
kaka am stanedi
 
hiyo i love u too nimeipenda lakini akiiona preta , hakyanani ntalala nje leo. dah! sleep well . acha namimi nikamtungue ndege kidogo.
 
kaka witney hustoni kanibadilikia bana! kwahiyo kazi kwishney
bado ni mapema kukata tamaa, tumsubirie lawayer uporoto1 aje na uzoefu wake, si unajua kwamba CV ya uporoto1 amewahi kusmamia kesi ya jamaa alieachana na mkewe kwasababu ya kuweka chumvi nyingi kwenye ugali na akafanikiwa kuwaunganisha.

nalog out kidogo lakini nitarejea baada ya lisaa limoja kama utakuwepo. tutahakikisha hii kesi inafanikiwa na witney yuston tunampatia engejmenti ring lake la shaba.
 
notedi wis senks......yule wangu tu si wanasemaga in ze laifu samutaim zelea bumpi roads
 
Asante sana mwaya kwa kumtaja
Husninyo samahani sana dear..
sinto kusahau siku nyingine..
hata hivyo pokea pogezi nyingi kutoka JF..
na asnte Elia kwa kutukumbusha

ooh! Ahsante mpenzi,
mmh nimeamua nijifunze na kuchora katuni mwenzio. Lol!
Maanake competition ya ushairi jf sitaiweza. Lol!
Wazo zuri dear?
 
dah! ndio maana naona maPM ya kinadada yamejaa leo kwenye inbox langu, kumbe niko kwenye top ten?
senks afrodenzi. chukua na hii basi speshel for you (husninyo haimuhusu kabisa hii).

pokea sifa mrembo , kwa sisi kutukumbuka
nitakutungia wimbo, taji lako kukuvika
nilikujua kitambo , wapenda kuburudika
youtube hana mambo, shairi lishakuteka.

tulia tukuliwaze, ulale bila maudhi
tulia tukuchombeze, TF akikubughudhi
matamu tukusemeze, uyaepuke maradhi
klorokwini zimeze , ziongeze yako hadhi.

ni mimi klorokwini a.k.a danzel washington wa kigamboni.

ha ha ha ha ha!
Halafu wewe si nilikupa hela ukitunga ushairi unitaje jina jamani?
Nikakwambia na jina lako nalo liishie na nyo kama langu.
Sikupeleki tena studio na shopping manzese nishahairisha.
 
ha ha ha ha ha!
Halafu wewe si nilikupa hela ukitunga ushairi unitaje jina jamani?
Nikakwambia na jina lako nalo liishie na nyo kama langu.
Sikupeleki tena studio na shopping manzese nishahairisha.
hehehee leo niko bizee, hata lab usije. yaani AD kanipaisha kinomi. napokea ma request tu.
 
hehehee leo niko bizee, hata lab usije. yaani AD kanipaisha kinomi. napokea ma request tu.

aaah!
Lab yenyewe tunaingia kwa foleni mi nishachoka.
Mods wamenipa ukatibu kata wa kata ya PM. Hizo requests kama ni via pm nitawamwagia tindikali.
 
Kweli wanastahili pongezi maana ushairi kipaji mwaya mie hata kuanza sijui vina, mizani nk
Sivijui big up woooooote malenga wetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom