Hongera kwa wapendwa wetu hawa..

naweza kuona anavyo angaika itakuwa moja ya maombi yangu mlimani dear,,,lkn si bado wampenda ama?

hahahah lol
kuna thread naiiandaa na we utakuwemo humo..
tunahitaji maombi yako ntakushtua siku niki iweka hewani hahah lol

naona hayo maombi yanafanya kazi sana dear TF anahehe kama kuku sasa hahah lol
mie nampenda lakini si dhani kama ntaweza kuishi naye tena lol hahah
 
Babu ameenda shule,
Si kupiga vigelegele,
Kusoma huku na kule,
Kufanikiwa kwa mbele,
Shairi hili na lile,
Babu alilifanyile,
Kisha akafika pale,
Bila kupiga kelele,
babu akasonga mbele,
Tungo zimekwenda shule.
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

Dreamliner (Today)​
 
oohh dear
mie sijakutupa kabisa
ni wewe tu hauonekani kabisa.
i just hope u mzima wa afya na roho..
mostly i hope u will come back to me hahahh lol

aisee ile makitu BADO YANI...!
halafu sasa nilivyo desperate lol
 
hahahah lol
kuna thread naiiandaa na we utakuwemo humo..
tunahitaji maombi yako ntakushtua siku niki iweka hewani hahah lol

naona hayo maombi yanafanya kazi sana dear TF anahehe kama kuku sasa hahah lol
mie nampenda lakini si dhani kama ntaweza kuishi naye tena lol hahah

ha ha ha!niko mkao wa kuiona!kama ameanza kuhaha maombi yameanza kazi nataka nione mkiprosper,,,kuishi nae unaweza mpenzi maana moyo wako unakiri kumpenda bado na hicho ndicho kikubwa,,,haya nipe desi dena
 
oohh dear
mie sijakutupa kabisa
ni wewe tu hauonekani kabisa.
i just hope u mzima wa afya na roho..
mostly i hope u will come back to me hahahh lol
The Following User Says Thank You to afrodenzi For This Useful Post:

Dreamliner (Today)​

Vere vere Sooooon! Im ok kama chuma cha pua... Howar you Mum?
 
ha ha ha!niko mkao wa kuiona!kama ameanza kuhaha maombi yameanza kazi nataka nione mkiprosper,,,kuishi nae unaweza mpenzi maana moyo wako unakiri kumpenda bado na hicho ndicho kikubwa,,,haya nipe desi dena

Upo Mum? Habari ya ARK? Namuona PJ anakurushia makombora ya DOWANS.
 
aisee ile makitu BADO YANI...!
halafu sasa nilivyo desperate lol

Duuuhhh
unanitania..
walisema 7 working days..
lazima upate wiki hii..
ama siyo bado nina receipt nitafuatilia..
 
ha ha ha!niko mkao wa kuiona!kama ameanza kuhaha maombi yameanza kazi nataka nione mkiprosper,,,kuishi nae unaweza mpenzi maana moyo wako unakiri kumpenda bado na hicho ndicho kikubwa,,,haya nipe desi dena

usijali nimeiandaa hiyo
tarehe 1.2.2011 naitoa hahahah lol

ongeza maombi dear maana muda wakupanua familia umefika
laini TF bado hajatuli hahah lol
 
The Following User Says Thank You to afrodenzi For This Useful Post:

Dreamliner (Today)​

Vere vere Sooooon! Im ok kama chuma cha pua... Howar you Mum?

hahahahaha lol
hayo mautani yako ndo kitu nilicho ki miss dear
eti chuma cha pua hahaha lol

mie mzima kabisa
bado tunaendelea mdogo mdogo tu
kama unavyo elewa dear..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom