Hongera kwa wapendwa wetu hawa..

Mhhhh,
Heri mimi sijasema!!

Ahsante sana AD kwa kuwakumbuka waburudishaji...... Hongereni sana wote mnaotoa bila kinyongo!

babu najua uko busy na wajukuu...
nikaamua kujitolea..
hahaha lol

Hopeful unapata muda wa kupumzika..
usifanye kazi sana aee naomba ...
 
kwa siku chache zilizopita nimekuwa nikifurahishwa sana na hawa wataalum wa
mashahiri na Ngonjera (Old school way)

kweli kama ni vipaji wanavyo na wamebarikiwa ..

Ni vizuri kama tungewashukuru kwa kututoa stress za kazi na mara nyingine
watulaza bila mawazo mazito..

Hawa ndo ma GREAT THINKER wa POEM..
Magulumangu
Mzee Mwanakijiji

Klorokwin
Baba Ubaya

Kashaijabutenge
Miss Judith

MwanajamiiOne
Mohamed Shossi
Michelle


na hawa wafuatao wanajitoa/ jumuika kwa kasi ya ajabu
Teamo ,Asprin, Kaizea

Twa mshukuru Wise Lady kwa kutuburudisha kwa mstari mmoja mmoja hahah lol

kama wataaka kuona mambo zaidi ya hawa Great Thinker nenda kwenye hizi thread
1. Nimekipata Kigori, wenye wivu wajinyonge ..by Magulumangu
2. Akili sana karibu kutenguliwa.. by Mzee Mwanakijiji..


jamani kama kuna wengine naomba tuwa orodheshe hapo chini
ili tuwape heshma zao au kama we ni mmoja wa hao mabigwa wa poem
basi huu ndo muda wako wa ku shine.. .. asanteni

peace
AD.
I love your avatar... it has one of the most beautiful faces i have ever seen
 
Kwa kweli rafiki wiki hii Nuru Imekuangazia! hongera sana

Si umeona rafiki
Afro kanifanya rafiki,
Nami nakubali urafiki,
Urafiki wa kirafiki,
Urafiki uso na dhiki,
Wala mikiki mikiki,
Shida hazivumiliki,
Raha Tunazimiliki,
Gomvi hatuzipeleki,
Ubaya hatuuhakiki,
Wema tunaubariki,
Umoja bila mikiki.............
 
Afrodenzi ur right nadhani Husninyo anaweza chukua namba hapo!

Asante sana mwaya kwa kumtaja
Husninyo samahani sana dear..
sinto kusahau siku nyingine..
hata hivyo pokea pogezi nyingi kutoka JF..
na asnte Elia kwa kutukumbusha
 
Give love to receive love,
Embrace friends you will live,
When in love strieve,
Afrodenzi, from your heart you are brave,

THANK YOU.


hahahah lol
asante sana dear
sasa unanifanya na mie nijiskie special
mashairi yenyewe siwezi andika hahah lol
i appreciated ur kindness dear
 
Si umeona rafiki
Afro kanifanya rafiki,
Nami nakubali urafiki,
Urafiki wa kirafiki,
Urafiki uso na dhiki,
Wala mikiki mikiki,
Shida hazivumiliki,
Raha Tunazimiliki,
Gomvi hatuzipeleki,
Ubaya hatuuhakiki,
Wema tunaubariki,
Umoja bila mikiki.............


heshima, Busara na ubunifu unao dear..
yaani haijakuchukua hata dakika tano
umesha andika hayo yote..
kweli wastahili pongezi zaidi ya mara mbili kwa wiki..
 
Kweli kabisa, anayestahili kupongezwa na apongezwe,
Hongereni sana wapendwa.

Teamo, Asprin na Kaizer nawaandalieni zawadi, mtakuja kuichukua pale kwa Baba Sunday.

Mimi je LD? Kweli NABII hana heshima kwao.
 
nimepokea mpenzi asante,,,lkn mnaendeleaje na ze fainest?

mmhh dear mie na finest hakieleweki dear..
anada ananipenda huku bado anachakachua nje..
nimejaribu kumomba divorce hataki kutoa..

kila kijana akiongea na mimi anamtishia maisha..
mmmmhh sijui nimejiingiza kwenye balaa gani dear
hahahahahah lol
 
Si umeona rafiki
Afro kanifanya rafiki,
Nami nakubali urafiki,
Urafiki wa kirafiki,
Urafiki uso na dhiki,
Wala mikiki mikiki,
Shida hazivumiliki,
Raha Tunazimiliki,
Gomvi hatuzipeleki,
Ubaya hatuuhakiki,
Wema tunaubariki,
Umoja bila mikiki.............

Mzee umeenda shule lini? Tungo zinashuka kama uji na mgonjwa..
 
heshima, Busara na ubunifu unao dear..
yaani haijakuchukua hata dakika tano
umesha andika hayo yote..
kweli wastahili pongezi zaidi ya mara mbili kwa wiki..

Busara na ubunifu,
Watu huwa havikifu,
Hawapati chefuchefu,
Bali ni ufurahifu,
Kwenye moyo havikifu,
Vyaleta uchangamfu.
 
Mzee umeenda shule lini? Tungo zinashuka kama uji na mgonjwa..

Babu ameenda shule,
Si kupiga vigelegele,
Kusoma huku na kule,
Kufanikiwa kwa mbele,
Shairi hili na lile,
Babu alilifanyile,
Kisha akafika pale,
Bila kupiga kelele,
babu akasonga mbele,
Tungo zimekwenda shule.
 
mmhh dear mie na finest hakieleweki dear..
anada ananipenda huku bado anachakachua nje..
nimejaribu kumomba divorce hataki kutoa..

kila kijana akiongea na mimi anamtishia maisha..
mmmmhh sijui nimejiingiza kwenye balaa gani dear
hahahahahah lol

naweza kuona anavyo angaika itakuwa moja ya maombi yangu mlimani dear,,,lkn si bado wampenda ama?
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom