Hongera Kikwete!!!!

akashube

JF-Expert Member
Dec 24, 2009
401
23
  • Hongera Kikwete kwa kutangazwa kuwa mshindi....Duh hapa Prof Lipumba kaniacha hoi, yaani hongera kwa kutangazwa na sio kushinda!!!!!!!Kweli Prof Yuko makini mno.
  • Nchi inaongozwa na aliyetangazwa sio aliyeshinda!!!!!!!!!
 
Uzuri Tanzania mwizi anaonekana mjanja badala ya mhalifu,utasikia''jamaa kapiga dili customs kalipa ushuru mdogo'' bila kujua madhara yake....sasa Rais nae kaiba kura watu wanampongeza
 
Safari_ni_Safari

Naomba uwache TUHUMA zisizo Kichwa wala miguu.

Nec ni CHOMBO MAKINI chini ya uongozi adilifu wa Jaji Mstaafu Lewis Makame.

Kitendo cha kuzua kuwa Rais ameiba kura ni kusema kuwa alishirikiana na NEC, taasisi yenye utashi na uadilifu mkubwa.

Aidha ni kusema kuwa Election Observers wa Ndani na Nje ni wazandiki. Mie ninachoona ni tabia ya kutokubali MATOKEO; na nawaasa kuwa na MOYO wa kukubali matokeo.

Dkt WPS amejitahidi, amepata 3.5 times ya Lipumba; na 22 Seats; that is REMARKABLE.

Sasa tuangalie yaliyo mbele yetu.

wewe ni makame lewis wa tume au huyo ni baba yako? Lazima usheherekee kwa fungu alilochukua. Ndiyo maan hata mbwa akishiba huwa mkali kumlinda bwana wake kama alivyokuwa mbwa NEC kumlinda bwana wake JiKE (JK).
 
Naona definition ya uadilifu ina maana tofauti kwako, mwizi ni mjanja katika jamii ya tanzania hasa pale anapofanikiwa kuiba bila kukamatwa!
Do you know anything about kagoda?
Blacks!
 
Mimi nawasilisha hoja OBJECTIVELY, nafahamu kuwa katika ukumbi huu ili mtu aonekane wa maana atukane NEC au Chochote kinachohusu Serikali au CCM. Mie nadhani ipo haja ya kuwasilisha hoja iwapo (a) inaongeza thamani, (b) iko objective na (c) sio matusi.

Kumbukeni kuwa kuna watu mbalimbali wana access na hii website na wanaona yaliyomo. Wasiwasi wangu ni madogo wanaokuwa; wanaona Watanzania wenye dhamana zao wana mtazamo RIGID na wanaporomosha matusi. Sasa JK amekuwa JiKE na ni Mume wa Jaji? Wadau, inalipa zaidi kukaa kimya kuliko kuongea pumba.

wewe ni makame lewis wa tume au huyo ni baba yako? Lazima usheherekee kwa fungu alilochukua. Ndiyo maan hata mbwa akishiba huwa mkali kumlinda bwana wake kama alivyokuwa mbwa NEC kumlinda bwana wake JiKE (JK).
 
Safari_ni_Safari

Naomba uwache TUHUMA zisizo Kichwa wala miguu.

Nec ni CHOMBO MAKINI chini ya uongozi adilifu wa Jaji Mstaafu Lewis Makame.

Kitendo cha kuzua kuwa Rais ameiba kura ni kusema kuwa alishirikiana na NEC, taasisi yenye utashi na uadilifu mkubwa.

Aidha ni kusema kuwa Election Observers wa Ndani na Nje ni wazandiki. Mie ninachoona ni tabia ya kutokubali MATOKEO; na nawaasa kuwa na MOYO wa kukubali matokeo.

Dkt WPS amejitahidi, amepata 3.5 times ya Lipumba; na 22 Seats; that is REMARKABLE.

Sasa tuangalie yaliyo mbele yetu.
Kusema NEC ni chombo kiadilifu hayo ni mawazo yako, lakini matendo yake wakati wa kuhesabu kura hasa za raisi imeonyesha kinyume cha hapo. Kurudia rudia maneno ambayo siyo sahihi kila mara ili baada ya muda watu waamini ni kweli ni mbinu ambayo inatumiwa na spin doctors kuvuruga ukweli. Nina imani kuwa wapo wengi kama mimi ambao wana mashaka na uadilifu wa nec. Hoja kama yangu zimeshatolewa na vyombo mbalimbali ambavyo vilikuwa vinafuatilia uchaguzi.
 
KWANINI NASEMA NEC NI TAASISI ADILIFU?

1. Kiongozi wake ni Jaji Mstaafu Lewis Makame. Ni mtu safi, hana upendeleo na amejaaliwa maadili ya hali ya juu kabisa.
2. Observers wa ndani na Nje wametoa ripoti zinazoipa sifa stahiki NEC. Hawajasema hata mara moja kuwa NEC ni wezi wa KURA. Spin Doctors ndio wamefanikiwa kuiteka Jamii hii kwa kuwafanya waamini kuwa NEC, CCM, na wasimamizi wa Uchaguzi ni Wachakachuaji.
3. Wagombea wengi, wakiwemo wale wa Urais wamekubali matokeo na kueleza kuwa uchaguzi ulikuwa HURU na HAKI.

NEC ina miongozo, sheria na taratibu za Uchaguzi; na hiyo inafuatwa kwa NUKTA.

NEC imekuwa ikikiri mapungufu yaliyojitokeza, na kuyafanyia kazi, UTENDAJI wa NEC umekuwa ukiboreka chaguzi hadi chaguzi.

NEC ina watumishi waliokula kiapo kutumikia Tume kwa uadilifu mkubwa na kulinda maslahi ya taifa.

Wacha niishie hapa.

Wadau, NEC ni chombo chetu; hakuna haja ya kuinyooshea vidole vya kuisuta kwa sababu TULIYEMTAKA sisi hakufanikiwa kupata kura za kutosha.
 
bwana makame rais kishatangazwa na leo anaapishwa, kwa maana hiyo hakuna budi kuachana na marumbano tena na kuangalia yajayo, NACHOKUOMBA BWANA MAKAME mwambie mheshimiwa huku uswahilini kwetu hali ni ngumu kwelkwel maisha magumu kupindukia vilevile bwana makame mkumbushe rais afanye kama alivyokuwa akifanya mwaka wa mwanzo wa urais wake kutembelea masoko ya uswahilini kama tandale na kwingineko labda itasaidia kujua hali zetu.. yawezekana hajui hii hali kwan wote mnaomzunguka hamu-ishi uswaz wala hamuendi magengeni nyie masupamarkiti tu kutokana na kipato chenu, si anawalipa vizuri kwa kuongopa kwamba watanzania wapo shwaaaari mkuu.
 
Hahahaha

Mzee Mimi ni MTZ wa Usweken, wala huyo Rais hanijui.

Michango yangu ililenga kuonyesha taswira nyengine ya mijadala

Huku ndio kupingana kwa hoja tunakozungumzia.
 
wewe ni makame lewis wa tume au huyo ni baba yako? Lazima usheherekee kwa fungu alilochukua. Ndiyo maan hata mbwa akishiba huwa mkali kumlinda bwana wake kama alivyokuwa mbwa NEC kumlinda bwana wake JiKE (JK).

Hovyo!!!!
 
Mimi nawasilisha hoja OBJECTIVELY, nafahamu kuwa katika ukumbi huu ili mtu aonekane wa maana atukane NEC au Chochote kinachohusu Serikali au CCM. Mie nadhani ipo haja ya kuwasilisha hoja iwapo (a) inaongeza thamani, (b) iko objective na (c) sio matusi.

Kumbukeni kuwa kuna watu mbalimbali wana access na hii website na wanaona yaliyomo. Wasiwasi wangu ni madogo wanaokuwa; wanaona Watanzania wenye dhamana zao wana mtazamo RIGID na wanaporomosha matusi. Sasa JK amekuwa JiKE na ni Mume wa Jaji? Wadau, inalipa zaidi kukaa kimya kuliko kuongea pumba.

wewe hujui BWANA wa kiwete ni SALMA? Ndo anaepanga Mkwere afanye nini kwa watanzania....kama makame yaani wewe au baba yako anawakuwa ni KISERENGETI BOYS Cha KIWETE...
 
Hahahaha

Mzee Mimi ni MTZ wa Usweken, wala huyo Rais hanijui.

Michango yangu ililenga kuonyesha taswira nyengine ya mijadala

I not sure that you r in sweeden enjoying the money your father or relative reaped from people of tanzania and still annoying them. Shame upon you. So yo mean you are discussing somthing you do not know. Again shame upon you. Also you thing been a judge will always tue. lie lie lie! you better keep quet cuz you you are just hearing what's going on in Tanzania. You didnt vote, you know nothing about voting in tz and you have nothing to discuss the issue. better go to bar and drink a little of what your father/relative of your sir name gave you to spend in sweeden. Please, you are talking to angry people who were deprived their right. ok!!!!!!!
 
Back
Top Bottom