Hongera Jerry Muro. Sasa tuambie hili!

Bastola sawa...but pingu...mmmmmh!
Mimi ninaamini kuwa mwandishi yeyote wa habari za uchunguzi (investigative reporter) anaweza kumiliki kifaa chochote na kujifanya (impersonate) yeyote ili mradi apate kile anachokichunguza. Kwa hiyo sioni shida kwa Jerry kuwa na pingu
 
Sasa hapa unaharibu sifa yako ya uzalendo. Hii jozi ya pingu tujulishwe ilikuwa na kazi gani bana!

Uzalendo karibu utanishinda maana hii kitu kidogo inakwaza sana bana! Juzi kati kuna mwenenu kanitoa kitu kidogo kisha sijaweka stika ya "nenda kwa usalama".Hii stika ndo itaondosha ajali? ACHENI IZO BANA MNABOA SANA!
 
Mimi ninaamini kuwa mwandishi yeyote wa habari za uchunguzi (investigative reporter) anaweza kumiliki kifaa chochote na kujifanya (impersonate) yeyote ili mradi apate kile anachokichunguza. Kwa hiyo sioni shida kwa Jerry kuwa na pingu

Jerry Muro si investigative journalist wa kwanza nchini na duniani lakini hatujawahi kusikia hiki kituko popote pale. Kuwa investigative journalist si kuwa na vitu ambavyo katika hali ya kawaida watu hawatakiwi kuwa navyo. In this case bwana huyu alikuwa tayari ame-solicit rushwa akijiita ni mwanausalama. Tuwekewe bayana hili siyo kuishi kwa "ifs".
 
hivi pingu au bastola/bunduki/sime/mkuki kipi ni hatari zaidi , sioni tofauti ya pingu na kamba nene iayoweza kumfunga mtu kama pingu ilivyo

kipi kiuzwe na kipi kisiuzwe?

Nimependa fikra zako kwa namna ya maswali.
 
Hii post niyakinafiki na kwani hao walioweka sheria yakuuza walikua hawataki waandishi wa habari wazitumie? na mbona hujahoji kumiliki kwake silaha? au yeye ni chombo cha usalama?
 
Jerry Muro si investigative journalist wa kwanza nchini na duniani lakini hatujawahi kusikia hiki kituko popote pale. Kuwa investigative journalist si kuwa na vitu ambavyo katika hali ya kawaida watu hawatakiwi kuwa navyo. In this case bwana huyu alikuwa tayari ame-solicit rushwa akijiita ni mwanausalama. Tuwekewe bayana hili siyo kuishi kwa "ifs".

Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!
Ina maana wewe hujui kuwa nchini humu kuna kila kinachoshangaza?Ni mangapi yanafanyika maovu ambayo katika nchi nyingini haitaeleweka?Au tuanze kuyaorodhesha? Mwacheni Jerry naye aka enjoy "uhuru" uliojaa Tanzania kama wengine.Mbona hamuulizi mengine kama vile "utozaji na ukusanyaji pato" wa traffick.Hivi kazi ya traffick ni kuzuia ajali au ni kuchochea ajali ili wakusanye mapato? Hayo mapato huwa yanaishiaga wapi?Nieleweke ninapinga vikali irregularities zote na sitetei uovu.

Apart from his reporting chores, Jerry Muro also serve for an intelligence unit as an undercover security official. He was locked up at the center of troubles after going against Kova's orders who insisted of placing the police integrity before anything while Jerry defied him by continuing to air TV programs that in great way assassinated the police reputation. Kova then resolved to deal with Jerry's insubordination by fabricating bribe allegations in the hope that he would succeed to completely do away with him.
 
The caged bird has been let loose.Cant it sing now?Interesting revelation!

Wale askari wa usalama barabarani waliopipwa chabo kwa kamera ya jeri muro wakipokea mlungula live! hivi walishughulikiwaje?
 
Kwa nini hamuhoji uhalali wa duka la silaha kuuza pingu kwa wananchi na badala yake mnahoji Muro kumiliki pingu? Nadhani tungeanzia hapo kwanza, kwa nini mwananchi wa kawaida anaruhusiwa kumiliki pingu? Kama anamiliki silaha sioni ajabu kumiliki pingu kwani endapo atavamiwa na jambazi na akafanikiwa kumweka chini ya ulinzi itahitajika amfunge pingu ili aweze kumpeleka kwenye vyombo vya usalama kwa urahisi.
 
Kwanza nikupongeze Jerry Muro kwa kushinda kesi yako dhidi ya Jamhuri, na baadae kujipatia tuzo ya ubora wa kazi zako na kile kilichoitwa ujasiri wako katika kufichua maovu yaliyopo ndani ya jamii.

Sasa baada ya habari hizi njema, ni wakati muafaka sasa kuueleza umma wa watanzania matumizi ya zile pingu ulizokiri kuzimiliki na hata kutuonyesha stakabadhi ya manunuzi ya pingu hizo. Tunakuomba ufanye hivyo kwa sababu wewe Jerry Muro sasa umeingia kwenye rekodi za dunia kama mwandishi pekee wa habari duniani mwenye kumiliki kifaa ambacho ni vyombo vya ulinzi na usalama pekee ndiyo wana mamlaka ya kumiliki na matumizi. Au unataka kutuambia kwamba kazi zako za uandishi zinahitaji kujihami na wakati mwingine ku-effect arresting powers za wahalifu mbalimbali? Je, mamlaka hii umeipata wapi wakati hata Polisi waliostahili kukukasimu wamekukana na kukuchukulia hatua?

Bila majibu fasaha, sitashangaa siku nyingine nikisikia unamiliki mahakama (lakini siyo hii iliyokuachia huru katika mazingira ya utata) na hata magereza na vituo vyako vya polisi.

Muro please, come out clean!
[/QUOTE]
Hv unadhani wanaofundisha wote ni walimu?? au unaofanyanao kazi wote unawafahamu vizuri?? Kama sio basi usihoji sana kuhusu suala la kumiliki pingu maana hata huyo aliyepemebeni yako anaweza kuwa anamiliki pingu. Embu fikilia ni kwa nini mahakama imuachie huru pamoja na tuhuma za ''kusadikika'' ulizoandika. Si kila umuonaye anafanya kazi fulani kuwa limited na kazi hiyo, nyingine hupaswi kujua na ishia hapo hapo kuhoji.
 
Jambo usolijua siku zote ni usiku wa kiza... Poleni msiomjua huyu kijana ndio maana mnajikuta mnamtetea kwa saaan!! Tulipoona taarifa zake tulishika midomo kwa kujiuliza huu usafi wa kunyooshea wengine kidole ameupata wapi?? Soon jamaa wakamstukia kuwa ni mla mlungula mwenzao wakamtega kwenye njioa zao wakampata... tatizo papara za kumnasa zikaondoa maarifa ya kiintelijensia mtego ukateguka ukiwa premature!! Hayo tuyaache kama ni hakimu naye alivuta pia za kutosha la msingi kama jeri unaingia humu chagua njia moja... Safisha nyumba yako kabla ya kunyooshea wengine vidole. Kama unadhani huwezi wewe binafsi kuwa msafi kaa kimya na tafuta kazi nyingine ya kufanya. Huwezi ishi maisha ya kina Kubenea (kitaaluma) huku maisha yako ya kibinafsi unabaki kuendekeza ujana na starehe viwanja nk wakati ni vitu vinavyohitaji matumizi ya hali ya juu ambayo katika hali ya kawaida hayawezi tosheleza..

Najua wengi mtahitaji ufafanuzi wa baadhi ya mambo lakini sioni busara kuanika mambo ya mtu humu jamvini kwa sana nimerejea tu ushauri niliowahi kumopa Jerry (nimewahi kufanya nae kazi) ili pia niwasaidie wale wanaomtetea sana ili wajue upande wa pili kuna wasioyajua.
 
Siamin kama yeye ndo mwandish pekee dunian anaeweza kumilik Pingu,una uhakika gani mdau?
Kwanza nikupongeze Jerry Muro kwa kushinda kesi yako dhidi ya Jamhuri, na baadae kujipatia tuzo ya ubora wa kazi zako na kile kilichoitwa ujasiri wako katika kufichua maovu yaliyopo ndani ya jamii.

Sasa baada ya habari hizi njema, ni wakati muafaka sasa kuueleza umma wa watanzania matumizi ya zile pingu ulizokiri kuzimiliki na hata kutuonyesha stakabadhi ya manunuzi ya pingu hizo. Tunakuomba ufanye hivyo kwa sababu wewe Jerry Muro sasa umeingia kwenye rekodi za dunia kama mwandishi pekee wa habari duniani mwenye kumiliki kifaa ambacho ni vyombo vya ulinzi na usalama pekee ndiyo wana mamlaka ya kumiliki na matumizi. Au unataka kutuambia kwamba kazi zako za uandishi zinahitaji kujihami na wakati mwingine ku-effect arresting powers za wahalifu mbalimbali? Je, mamlaka hii umeipata wapi wakati hata Polisi waliostahili kukukasimu wamekukana na kukuchukulia hatua?

Bila majibu fasaha, sitashangaa siku nyingine nikisikia unamiliki mahakama (lakini siyo hii iliyokuachia huru katika mazingira ya utata) na hata magereza na vituo vyako vya polisi.

Muro please, come out clean!
 
Kwa nini hamuhoji uhalali wa duka la silaha kuuza pingu kwa wananchi na badala yake mnahoji Muro kumiliki pingu? Nadhani tungeanzia hapo kwanza, kwa nini mwananchi wa kawaida anaruhusiwa kumiliki pingu? Kama anamiliki silaha sioni ajabu kumiliki pingu kwani endapo atavamiwa na jambazi na akafanikiwa kumweka chini ya ulinzi itahitajika amfunge pingu ili aweze kumpeleka kwenye vyombo vya usalama kwa urahisi.

Siyo jukumu la raia kukamata majambazi. Huo utaalam wa kumweka jambazi chini ya ulinzi unaupata wapi kama siyo kutaka kuhatarisha maisha yako.
 
Jerry Muro si investigative journalist wa kwanza nchini na duniani lakini hatujawahi kusikia hiki kituko popote pale. Kuwa investigative journalist si kuwa na vitu ambavyo katika hali ya kawaida watu hawatakiwi kuwa navyo. In this case bwana huyu alikuwa tayari ame-solicit rushwa akijiita ni mwanausalama. Tuwekewe bayana hili siyo kuishi kwa "ifs".

Hapo kwenye red ya kwanza; hebu panua bongo zako ufukiri zaidi ndugu, hivi kama hujasikia kitu ina maana hakipo? Hapana vipo vitu vingi ambavyo hujasikia na hutasikia lakini vipo na vitaendelea kuwepo duniani.

Halafu nani kakwambia mtu wa kawaida hapaswi kuwa pingu na ... (hivyo vingine hukuvitaja), au yaleyale mawazo yako kwamba kama hijasikia kitu ina maana hakipo duniani. Pingu ni kitu cha kawaida kabisa ambacho mtu yeyote anaweza kuwa nacho tu, ndiyo maana hilo halikuwa kosa. Kamanda Kova kwa ujinga wake naye siku ile Muro alipokamatwa alionesha kana kwamba kuwa na pingu ni kosa, lakini kesho yake wajuzi na weledi wa kisheria walipomwambia kwamba pingu ni bidhaa tu kama nyanya akaufyata. Vipi wakuu au mmesahau? Haraka hivyo?
 
Kweli kabisa hata mimi najisikia kujua kwa nini amiliki pingu au bastola huku yeye ni mwandishi.Pia mazingira ya kuachiwa kwake bado yananipa shaka sana pamoja na kujifanya eti amewasamehe waliomsababishia,is it possible kuwasamehe kirahisi hivi au ndo mambo ya JAIRO ili hoja isiendelee na kugundua yaliyojificha?Binadamu tumeumbwa na hasira na kulipa kisasi ni sehemu ya character ya binadamu ndo maana mahakamani waliweka malipo kwa ajili ya mtu kuchafuliwa jina

Hata wewe unauwezo wa kuzimiliki ni defense mechanism
 
Jambo usolijua siku zote ni usiku wa kiza... Poleni msiomjua huyu kijana ndio maana mnajikuta mnamtetea kwa saaan!! Tulipoona taarifa zake tulishika midomo kwa kujiuliza huu usafi wa kunyooshea wengine kidole ameupata wapi?? Soon jamaa wakamstukia kuwa ni mla mlungula mwenzao wakamtega kwenye njioa zao wakampata... tatizo papara za kumnasa zikaondoa maarifa ya kiintelijensia mtego ukateguka ukiwa premature!! Hayo tuyaache kama ni hakimu naye alivuta pia za kutosha la msingi kama jeri unaingia humu chagua njia moja... Safisha nyumba yako kabla ya kunyooshea wengine vidole. Kama unadhani huwezi wewe binafsi kuwa msafi kaa kimya na tafuta kazi nyingine ya kufanya. Huwezi ishi maisha ya kina Kubenea (kitaaluma) huku maisha yako ya kibinafsi unabaki kuendekeza ujana na starehe viwanja nk wakati ni vitu vinavyohitaji matumizi ya hali ya juu ambayo katika hali ya kawaida hayawezi tosheleza..

Najua wengi mtahitaji ufafanuzi wa baadhi ya mambo lakini sioni busara kuanika mambo ya mtu humu jamvini kwa sana nimerejea tu ushauri niliowahi kumopa Jerry (nimewahi kufanya nae kazi) ili pia niwasaidie wale wanaomtetea sana ili wajue upande wa pili kuna wasioyajua.

Wengine hatumtetei Jerry bali tunapinga mfumo mzima uliotumika kumshtaki na kumhukumu Jerry ndani na nje ya vyombo vya haki.Wewe kama una uyajuayo kuhusu Crime buster Jerry, mwaga humu usafishe wanaotuhumu Polisi kwa kumfanyizia.Vinginevyo lawama zitaendelea tu.Tunazidi kukosa imani na askari siku hadi siku.Imefkia mahala mtu akiona askari anashtuka na kukimbia kama vile kakutana na jambazi.Hii ni mbaya sana
 
Back
Top Bottom