Hongera Gelard Hando

Mi nlishasema kitu cha ajabu hakihitaji kukijua kwa kura za kuibiana hela ya sms!!
Ajabu ni ajabu tu wakuu, ajabu ya kweli haihitaji mambo ya kura.
Akizaliwa mtoto hana kichwa hata msipompigia kura yoyote ni ajabu tu!!!
Labda tugeuze topic kua hatukuutangaza mlima wetu uingie kwenye mojawapo ya vivutio vikuu vya utalii!!!
 
Bora hatukushinda maana wangeandaa sherehe nchi nzima za kujipongeza!
Na zimamoto ndo imetucost!
 
Huyu jamaa kuna siku anafunguka kweli na siku zingine inakuwa kama kuna fyuzi imekatika, to day good analysis
 
Mkuu tunavuna tulichopanda. Haya ndiyo matunda ya kukosa vision na team work kwenye mambo ya kujenga nchi. Subiri watatoa visingizio vingi tu. Mara watanzania hawana simu, hawako kwenye mtandao, mara Wasouth wana fedha etc.

Mbona wameshatoa hivyo visingizio, hujamsikia waziri Maige juzi bungeni anasema sababu ya kushindwa kwa mlima kilimanjaro ni watatnzia wengi kutukuwa na access ya mtandao ndio maana walishindwa kupiga kura, bure kabisa.
 
Wadau wa kuhamasisha hawajaahidiwa 10% kama kawa; so kwa nn wahangaike na kitu ambacho hakina maslahi kwao
 
Back
Top Bottom