Nakupongeza Ester Wasira kwa kusema ukweli kwa vijana kuwa tusiwe waoga. Leo ingekuwa kura wewe umefunika.Awali ya yote nilikumisslead nikiamini kama unatokea familia ya Wasira basi ungekuwa na UCCM. Ninakiri hili kwani nimekukubari kwa mada ulizotoa kwenye kumbukumbu ya kumuenzi mwalimu Nyerere. Hongera sana kwa maneno yako.