Hongera "Dr. Slaa"

Mimi ningekua JK ningezikataa hongera zote na kuwaomba watu wampongeze Dr. Slaa instead. Sasa naiona sababu ya kukataa kukubali kujiuzulu kwa Balali, JK alijua akimfukuza angepata ujiko zaidi kuliko angekubali hiyo resignation and it has worked- Mr Misifa!. Bado tunaisubiri full unedited report ya Ernst and Young tujue uozo wote in deep.Hongera Dr Slaa,endelea kukamua hadi kieleweke.
 
Quote:-

"MWISHO NIMESOMA MARA GAVANA KAFA,,MAHUTUTI,,AMEZIDIWA..MWANAKIJIJI AKATUAMBIA ANAENDELEA VYEMA,,KAMA WATANZANIA TUOMBE MUNGU AILINDE KIUMBE HIKI,,,AWEZE KURUDI NC=HINI KUTUELEZA UCHAFU WA PALE BOT...AMIN MSIAMINI HUYU MTU NI MUHIMU KWA NCHII HII HIVI SAS AKULIKO HATA HUYO RAISI WETU ALIEMFUKUZA ,,ANAUWEZO WA KUTUFUNGULIA MENGI SANA PALE BOT NASI TUKAJUA KUMBE WAKO WENGI,,MUNGU AMLINDE BALALI,TUNAKUSUBIRI KWA HAMU TANZANIA"


Wa-Tanzania, tunahitaji kumuombea Gavana Balali, arudi bongo na kuweka mambo sawa, tujue mchawi ni nani, maana hizi za rais na kumfukuza something is not right, wale mlio karibu naye Gavna Balali, muombeni ajitokeze n kuweka mambo sawa, ili tumkome nyani, mwambieni ukweli kuwa asipojitokeza hawa viongozi wetu watajificha behind kimya chake na kujifanya wana akili sana, ajitokezee atupe ukweli mwizi ni nani kati ya viongozi wetu!

Binafsi I do not buy any of this kumfukuza thing na ku-appoint mpya all ni nothing but B/S, tunamsubiri Balali ajitokeze kuweka mambo sawa!
 
FMES,
Usitie wasiwasi, the truth will out. Tumwombee Mwenyezi Mungu azidi kumpa nguvu wakati anapoendelea na therapy yake. Unajua nini? It is no secret alipokuja RO mwezi uliopita alimpa mgonjwa "veiled threat" kwamba asirudi Bongo. They have messed with the wrong guy.
 
FMES,
Usitie wasiwasi, the truth will out. Tumwombee Mwenyezi Mungu azidi kumpa nguvu wakati anapoendelea na therapy yake. Unajua nini? It is no secret alipokuja RO mwezi uliopita alimpa mgonjwa "veiled threat" kwamba asirudi Bongo. They have messed with the wrong guy.

They have messed with an bonafide American Citizen and a CIA agent operating under the cover of WB/IMF eeeeeehhhhhh. Tutaona mengi mwaka huu.

Asha
 
MTAALAM:
Waandishi wa habari ni wazuri pale panapopatikana mlo yaani(BAHASHA),,ukiona wanapewa bahasha kwenye mikutano huo ndio msosi wao,,,tatizo wengi hawako commited,na hii ni hataai kubwa kwa jamii,,,tuombe mngu wabadilike
 
Kwa kweli wa kupongezwa ni Dr. Slaa tu! Hao kina JK na wengine hao ni kujikosha kwa wananchi tu, ukweli hawana lolote.
 
Back
Top Bottom