Hongera Dr. Mwakyembe, hongera TRC

Train zinakuwa katika miji yenye matatizo ya usafiri. Kwa Africa utaona miji kama Cairo na Alexandria, Jo'bag, captown, pretoria na durban. siyo kila mkoa.

Pia nauli ni mwafaka. Ukilinganisha na fo9leni zeni hasa jioni na asubuhi.
 
Naunga mkono hongera anazopewa mh mwakyembe, but guys worldwide hakuna biashara ya train inayotegemea abiria, bali biashara ya train inategemea usafirishaji wa mizigo kwani gharama za kuendesha train haziwezi kufidiwa kwa nauli za abiria bali nauli hizo huwa NI charges tu ambazo bila faida ya usafirishaji wa mizigo, hizo charges are nothing. So mapinduzi ya usafirishaji kwa njia ya train yatakuwa successfully kama tu mizigo mikubwa kutoka na kuingia bandarini na sehemu zingine za nchi zitaanza kutumia train kusafirishwa. Barabara za lami worldwide hazitumiki kusafirisha heavy cargo,ni Tanzania tu ambapo mafisadi wanamiliki malori na ndo wanalazimisha barabara zibebe mizigo mizito.
Unayojaribu kuiingiza hapa ni topic nyingine for another day, topic ambayo Dr. Mwakyembe alishawahi kuiongelea na bila shaka maelezo yako ni sehemu ya nukuu kutoka kwake.

Aina ya train inayozungumziwa hapa ni Metro Train for Metro Politan area (Dar es salaam).
 
watu wa humu wasahaulifu sana waliwahi leta mada ya kumlaan mwakyembe kuhusu usafir wa reli tukaambiana tusubir kwanza jamaa ndio bajeti yake ya kwanza tangu awe waziri mwaka ukigeuka ndio tumkumbushe ahadi zake,naona leo umesahau mnamsifia,anastahili pongezi nyingi ameweza kuthubutu,bravo mwakyembe,we salute u
 
Hili tunahitaji kutoa pongezi kwakweli.

Watu wa mfano huu wa Dr. Mwakyembe ndio tunawahitaji kubadilisha hili taifa, badala ya wale wanaoweka malori yao na na mambo mengine yenye maslahi binafsi kurudisha nyuma nchi.


Dr. tupo pamoja we are ready to provide more creative idea whenever needed maana tunahitaji watendaji kama wewe sio wapigazoga na wezi wa mali ya umma kwa kipindi hiki,

Hongera na Mungu akupe nguvu na uhai.
 
Kweli Mwakyembe chuma cha puwa kwanza alipothubutu kuwaondoa akina wale mafisadi akina Mgawe pale bandari nikaamini kweli Mwakyembe dume
 
Safi sana Mwakyembe wenye vijembe waseme lakini wewe chapa kazi! Sisi wananchi hatufagilii rangi za bendera za vyama vya siasa bali tunawaunga mkono wale wanaopigana kupambana na mafisadi na pia kutuhamasisha kuelekea kuboresha maisha yetu.
 
Mwakyembe alipoomba miezi sita ili treni iwe inafanyakazi, Clouds walimtukana sana, hasa Gerald Hando na PJ, leo eti wanamsifia.
Clouds acheni uzandiki na unafiki, NINAWACHUKIA

Kwa nn unawasikiliza! Achana nao hao jamaa wanafiki
 
kipekee niseme wazi kwamba huyu ndo kiongozi sahihi na amabaye tanzania ya kweli inawahitaji. sikusikia maneno kama mchakato wala upembuzi yakinifu ambayo viongozi wengi huwa wanayatumia kutuzingulia wananchi. long live mwakyembe wewe ndo kiongozi mwenye stahili yakuitwa mtetezi wa wanyonge maana kwa hili kweli umewatetea wanyonge........
 
Big up Mwakyembe endelea kupiga kazi.
Wamekukosa kwa sumu hawachelewi kukufukuzia na kitu chenye ncha kali.
Stay blessd!
 
Sitampongeza mwakyembe wala Serikali kwa sababu walichokifanya wamesukumwa kwa zaidi ya miaka 20. Wamechelewa kufanya. Pili siwapongezi kwa sababu wamefanya kitu ambacho kila mmoja anaweza kukifanya. Wamekopa na kutekelezea kazi hiyo. Zaidi wameongeza deni la Taifa kwa manufaa ya kisiasa.
 
Tunampongeza ndio but kaz bado, coz hizo tren waungwana mmeziona zikifanya kaz? Yani hivyo vichwa vya tren vikitembea kidogo tu vinazima coz ni vyazaman sana,sio afanye vitu kwa kulipualipua ilimrad aonekake ametimiza alichoahid, aongeze juhud zaid na tufike tunapopataka

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom