Hongera Chadema Hongera Lusinde

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349

Tulisema mwana mkaidi hafaidi hadi siku ya iddtukaonekana wajinga. Mshahara wa dhambi ni mauti na mshahara wa matusi ni aibu.Hongera CHADEMA kufanya kampeni za kistaarabu na hongera Lusinde kwa kuwafukuzawapiga kura kwa mitusi yako ya nguoni. Halo halo!
 
Huyu Lusinde hata km asingetukana bado ushindi ulikuwa ni upande wetu tu, sema yeye alituongezea wapiga kura
 
LUSINDE HAKUJUA KUNA NDIZI(MIGOMBA) ISIYO YA KIJANI

250px-Red_banana_in_Tanzania_0196_Nevit.jpg
 
Huyu Lusinde hata km asingetukana bado ushindi ulikuwa ni upande wetu tu, sema yeye alituongezea wapiga kura
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom