Hongera ccm kwa kuigeuza Tanzania nchi ya omba omba

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
Japo Mimi si mkubwa sana kiumri lakini nakumbuka hadi miaka ya 80 hali ya kuomba omba haikuwa kama iliyopo leo hii. Uongozi wa awamu ya kwanza ulihimiza kujitegemea na kupinga ubinafsi.

Baadae neno "wafadhili' likashika kasi. Kujitegemea ikawa ni ujinga. Wasomi wetu nao wakawa hodari wa kujifunza na kufanya "fund raising" hata ikawa ni kozi nzima vyuoni (vinavyotambuliwa na vya uchochoroni).

Ikahamia kwa watu wa kawaida. Unakuta mtu mtu amepinda kidole kimoja basi kimekuwa kilema cha kumfanya omba omba. Unamkuta mtu barabarani na kikopo chake anaimba "mchango wa msikiti, mchango wa msikiti" n.k, n.k. Michango ya harusi kwa kadi nayo ikawa kama ibada (ndoa zimekuwapo tangu enzi na enzi na haikuhitajika michango)!

Sasa hivi kila shillingi mia tunayotumia (posho zikiwemo) zaidi ya 40 inatokana na wafadhili. Yaani tunaomba ili tulipe watu posho (kumbuka kiranja wa nchi keshatwambia kuwa asiposafiri kwenda kuomba tutakufa njaa)!

Sasa tumeletewa sera mpya na magamba: ya kugawa ardhi yetu (wanatuambia wanaikodisha) ili "wawekezaji" walime ili uwezo wao wa kutupa msaada use mkubwa zaidi!

Hongereni magamba, kwa hilo mmefanikiwa.
 
japo mimi si mkubwa sana kiumri lakini nakumbuka hadi miaka ya 80 hali ya kuomba omba haikuwa kama iliyopo leo hii. Uongozi wa awamu ya kwanza ulihimiza kujitegemea na kupinga ubinafsi.

Baadae neno "wafadhili' likashika kasi. Kujitegemea ikawa ni ujinga. Wasomi wetu nao wakawa hodari wa kujifunza na kufanya "fund raising" hata ikawa ni kozi nzima vyuoni (vinavyotambuliwa na vya uchochoroni).

Ikahamia kwa watu wa kawaida. Unakuta mtu mtu amepinda kidole kimoja basi kimekuwa kilema cha kumfanya omba omba. Unamkuta mtu barabarani na kikopo chake anaimba "mchango wa msikiti, mchango wa msikiti" n.k, n.k. Michango ya harusi kwa kadi nayo ikawa kama ibada (ndoa zimekuwapo tangu enzi na enzi na haikuhitajika michango)!

Sasa hivi kila shillingi mia tunayotumia (posho zikiwemo) zaidi ya 40 inatokana na wafadhili. Yaani tunaomba ili tulipe watu posho (kumbuka kiranja wa nchi keshatwambia kuwa asiposafiri kwenda kuomba tutakufa njaa)!

Sasa tumeletewa sera mpya na magamba: Ya kugawa ardhi yetu (wanatuambia wanaikodisha) ili "wawekezaji" walime ili uwezo wao wa kutupa msaada use mkubwa zaidi!

Hongereni magamba, kwa hilo mmefanikiwa.
ukicheka na kima utaambulia mabua!!!!!!!!! Haya weye
 
Mkuu, Mji wako ukiwa na njaa usikae ndani kimya, toka nje nenda kwa wenzako waeleze shida yako wanaweza kukusaidia. thats why mkuu wa kaya kiguu na njia kutafuta misaada.

ukisaidiwa na jirani yako unga na maharage kuna makosa gani hapo? same applies at country level.
 
Mkuu, Mji wako ukiwa na njaa usikae ndani kimya, toka nje nenda kwa wenzako
waeleze shida yako wanaweza kukusaidia. thats why mkuu wa kaya kiguu na njia kutafuta misaada.

ukisaidiwa na jirani yako unga na maharage kuna makosa gani hapo? same applies at country level.

Lakini kusaidia ni mara moja tu siyo kila siku... Siku wakitaka uwalipe na huna cha kuwalipa utatoa ****
 
kaka hayo maoni si yangu ila ni sera ya CCM ya maendeleo, nilitaka tu kuiweka katika lugha rahisi. ngoja tumtafute katibu wao mwenezi atufafanulie.
 
Samahani kwa kunielewa vibaya mkuu nilikuwa sikujibu wewe bali huyo anayeombaomba kila siku...
 
Japo Mimi si mkubwa sana kiumri lakini nakumbuka hadi miaka ya 80 hali ya kuomba omba haikuwa kama iliyopo leo hii. Uongozi wa awamu ya kwanza ulihimiza kujitegemea na kupinga ubinafsi.

Baadae neno "wafadhili' likashika kasi. Kujitegemea ikawa ni ujinga. Wasomi wetu nao wakawa hodari wa kujifunza na kufanya "fund raising" hata ikawa ni kozi nzima vyuoni (vinavyotambuliwa na vya uchochoroni).

Ikahamia kwa watu wa kawaida. Unakuta mtu mtu amepinda kidole kimoja basi kimekuwa kilema cha kumfanya omba omba. Unamkuta mtu barabarani na kikopo chake anaimba "mchango wa msikiti, mchango wa msikiti" n.k, n.k. Michango ya harusi kwa kadi nayo ikawa kama ibada (ndoa zimekuwapo tangu enzi na enzi na haikuhitajika michango)!

Sasa hivi kila shillingi mia tunayotumia (posho zikiwemo) zaidi ya 40 inatokana na wafadhili. Yaani tunaomba ili tulipe watu posho (kumbuka kiranja wa nchi keshatwambia kuwa asiposafiri kwenda kuomba tutakufa njaa)!

Sasa tumeletewa sera mpya na magamba: ya kugawa ardhi yetu (wanatuambia wanaikodisha) ili "wawekezaji" walime ili uwezo wao wa kutupa msaada use mkubwa zaidi!

Hongereni magamba, kwa hilo mmefanikiwa.

Kwahili naona bora Magamba kwani wanaomba omba wakiwa madarakani, sasa vipi Chadema ambayo imeanza kuomba omba nje hali ya kuwa haijaingia madarakani? Ni aibu kubwa kwani watakuwa wamesha anza kutoa ahadi kwa hao wanaoenda kuwaomba omba hali ya kuwa hata nchi hawajakabidhiwa. nakuomba uwashangae hao kwa nguvu zote
 
Wewe ni lazima utakuwa omba omba wa ukweli! Yaani unaona bora kuwa na omba omba alie na uwezo wa kujitegemea! Wewe hata mkeo utamtoa kwa yeyote atakaekupa kipande cha mkate
 
Back
Top Bottom