Hongera Captain Hilda Wendy Ringo

...Mkuu, hata alipokuwa First Officer, kwa maana ya Rubani Msaidizi, alikuwa anapaisha ndege kwa raha zake. Nilichotaka kujua ni lini alipanda cheo kuwa 'Full Captain'...

Nilmwona mkasi TV,mbona mwenyewe amesema bado hajawa full captain?...
 
...Mkuu, hata alipokuwa First Officer, kwa maana ya Rubani Msaidizi, alikuwa anapaisha ndege kwa raha zake. Nilichotaka kujua ni lini alipanda cheo kuwa 'Full Captain'...

Bado hajawa captain, alisema mwenyewe kwenye mkasi juzi j3
 
Back
Top Bottom