Hongera Bi. Elsie Kanza, mshauri wa Uchumi wa Rais Kikwete!

Sawa sawa tukimuuliza what is economics hajui pengine by the way tuseme ni mchumi kama unavyotaka tukubaliane na wewe nina maswali ya kumuuliza best advisor wako:-
a. Mbona Tanzania maskini wanaongezeka kila siku? Amemshauri nini Rais wake kama mshauri aliyeshinda tuzo bora ya kisiasa?
b. Unequal distribution of income inakuwa kila siku tunaomba atufafanulia ushauri wake kwa rais ulikuwa upi?
c. Bailout waliyoiandaa ya kugawa hela kama pipi mbona uchumi unaendelea kuyumba Tanzania zile hela zimeenda wapi na zimesaidia vipi uchumi wa Tanzania.
d. Mbona GDP ya nchi inaenda ikipungua na uchumi wetu unazidi kutegemea service sector kuliko uzalishaji?
e. Shillingi inaenda ikiporomoka anamshauri nini rais?

Mfikishie maswali yetu mchumi wenu aliyesoma Business Administration. By the way hizo modules za somo moja kuna vitu kama Econometrics, Policy Formulation, Quantitative Analysis, Financial Theory, Financial Engineering.

Hivyo ulivyovitaja vinafundishwa kwa vijana wa form five na six Tanzania katafute utaona hamna kitu hapo.

Kwa taarifa yako, mshauri siyo mtendaji. Basi kwa mantiki hiyo hayo maswali kamuulize Rais wako mwenye kuamua nini kifanyike baada ya kupatiwa ushauri unaotakiwa na ambaye ndiye anayeteua watendaji wote.
 
By the way hizo modules za somo moja kuna vitu kama Econometrics, Policy Formulation, Quantitative Analysis, Financial Theory, Financial Engineering.

Hivyo ulivyovitaja vinafundishwa kwa vijana wa form five na six Tanzania katafute utaona hamna kitu hapo.

Kwa nini uishie na hivyo tuu? Ongeza kutibu ukimwi, presha, upofu na ulemavu kwa dawa za mitishamba kama Babu wa Loliondo na kufufua wafu kama Mganga wa Selous.
 
Kwa taarifa yako, mshauri siyo mtendaji. Basi kwa mantiki hiyo hayo maswali kamuulize Rais wako mwenye kuamua nini kifanyike baada ya kupatiwa ushauri unaotakiwa na ambaye ndiye anayeteua watendaji wote.

Kama yeye ni mshauri na sio mtendaji anaendelea vp kukaa nafasi hio kama rais hafati ushauri wake? Unajua kwanini Larry Summers aliresign katika Economic Advisory team. Alitofautiana na wenzie akina Joe Stiglitz na Paul Krugman. Na hilo lilipelekea yeye asikubaliane na baadhi ya vitu katika ile stimulus package. Sasa hiyo ukichanganya na tuhuma za kwamba alipewa hela na institutions kulipelekea aresign katika Advisory team. Huo sasa ndio msimamo wa kisomi, mshauri wako bado anafanya nini serikalini kama rais hasikilizi ushauri wake?
 
Elsie S. Kanza (34) holds a B. Sc. (Cum Laude) in International Business Administration from the United States International University – Africa Branch (USIU-A) Nairobi Kenya (1993 – 1995), MSc. Finance from University of Strathclyde, Scotland UK (1996 – 1997) and an MA Development Economics from Centre for Development Economics, Williams College, Massachusetts USA (1999 - 2000).

uteuzi1.jpg

5471080529_03fb7697f6_z.jpg

_DSC0520.JPG
 
Hivyo vitu mama ili uwe Economists na sio mhasibu mkuu. Economics sio siasa No research no right to speak!

Narudia, umeishiwa hoja mkuu! Mdada ana IQ kubwa sana, na siyo tu anastahili hiyo tuzo, bali kazi ngumu aliyonayo ya kumshauri Rais wako kihiyo na serikali yake ya ma-bozo. Now, get over with it, will ya?
 
Kama wewe ulivyo na IQ kubwa kuona mshauri sio mtendaji sasa anafanya nini kumshauri Raisi. Nendeni huko !!!
 
Baada ya kupitia CV, picha na hoja za Wana-JF kuhusu Bibie Elsie Kanza naweza kuandika kwa kifupi kuwa amebobea ktk:
  • Preparation and management of Conferences, symposium, seminars, retreats zisizo na tija kiuchumi kwa TZ.
  • hotel and airline tickets booking
  • welfare of delegates participating in conferences, seminars e.t.c
Si bure mkulu wetu anasafiri sana kwa ajili ya uzoefu wa ''mshauri wa uchumi '' ktk masuala niliyoyaweka ktk bullets form hapo juu bila kufahamu kama makongamano, mikutano, seminar n.k anazohudhuria Mh. Rais zina tija kwa mustalabali wa kuunasua uchumi wetu mbovu.
 
Baada ya kupitia CV, picha na hoja za Wana-JF kuhusu Bibie Elsie Kanza naweza kuandika kwa kifupi kuwa amebobea ktk:

  • Preparation and management of Conferences, symposium, seminars, retreats zisizo na tija kiuchumi kwa TZ.
  • hotel and airline tickets bookings
  • welfare of delegates participating in conferences, seminars e.t.c
Si bure mkulu wetu anasafiri sana kwa ajili ya uzoefu wa ''mshauri wa uchumi '' ktk masuala niliyoyaweka ktk bullets form hapo juu bila kufahamu kama makongamano, mikutano, seminar n.k anazohudhuria Mh. Rais zina tija kwa mustalabali wa kuunasua uchumi wetu mbovu.

Si ndio maana mkuu wa nchi hajui kwanini Tanzania Maskini!!!
 
Si ndio maana mkuu wa nchi hajui kwanini Tanzania Maskini!!!

Kwani Mkuu Wa Nchi si "Mchumi" naye vilevile kutoka UDSM? Jee, kulikoni hudadisi uelewa wake wa "microeconomics", "macroeconomics", "econometrics", "Policy Formulation", "Quantitative Analysis", "Financial Theory", "Financial Engineering", and what not?
 
Hayo ndio mambo anayoweza kuyarukia Salva haraka haraka, nakubaliana kabisa na wale wote wanaoona tatizo hapo ndio shida ya dunia ya leo hakuna performers na kwa nchi yetu ndiyo zaidi.

Hayo ndiyo majina yaliyopelekwa na sisi wengine tulishalalamika kwamba hata uwakilishi wenyewe kwenye WEF japo ilifayika Tanzania uliwanyima vijana wa kitanzania wenye uwezo na stahiki nafasi wakapewa hao vilaza. Wamezoea kuwa eliminate watu wenye uwezo ili waonekane wao kuwa ndio the best, WEF hii iliyolalamikiwa kwa wizi na matumizi mabaya ajabu ya fedha, na tender zote kupewa wageni ndio mafanikio?

We surely have a problem, na huyu sidhani kama anatoa ushauri wowote, nadhani kazi zao ni kukaa ikulu. Mungu bariki mambo yetu, hatuoni wivu ila tunasema viwango vinavyowekwa ni vya chini sana. Nafurahi kuona young leaders humu wakisema kuwa wanajiona bora mara sabini ya hawa wachaguliwa, uchumi mbovu, mchafu kuliko wana flag mafanikio ya kupimwa na wakina salva waliokosa shule wenzao
 
Nampa benefit of doubt maana a. huyu dada sio mchumi, b. Uchumi wa Tanzania unaporomoka vibaya sana mpaka sasa unachechemea sasa advisor anafanya kazi gani? Na sijabadili direction ni kwamba kwanza huyu dada si mchumi nimesema toka mwanzoni kwani masters degree haidefine professional ya mtu ni either mtu awe na first degree ya field husika au awe amefanya research za kutosha. Masters degree ni kupanua tu mawazo but hakuna specialisation hapo.

Mchumi wa kweli wapo wengi na wanafaa mmoja wao ni yule dada anaitwa Grace Rubambe, Professa Amani, Professa Lipumba, Professa Leticia Rutashobya (ambaye alikuwa economic advisor wa mkapa). Hao ukisoma CV ni economist haswa (ijapokuwa sina uhakika sana na Prof Leticia) ambao wamesomea first degree in economics.
Hivi mwanamke akiwa na miaka 50+ bado anaweza kuitwa dada?
 
Elsie S. Kanza (34) holds a B. Sc. (Cum Laude) in International Business Administration from the United States International University – Africa Branch (USIU-A) Nairobi Kenya (1993 – 1995), MSc. Finance from University of Strathclyde, Scotland UK (1996 – 1997) and an MA Development Economics from Centre for Development Economics, Williams College, Massachusetts USA (1999 - 2000).

INA MAANA ALIMALIZA 1ST DEGREE AKIWA NA MIAKA 16??? HIYO NI KWELI?????
 
Hivi mwanamke akiwa na miaka 50+ bado anaweza kuitwa dada?

Anaitwa Miss Grace Rubambe kama katika hii organisation walivyomtaja:-

Ms. Grace Chimile Rubambey

Title: Independent Consultant and Microfinance Expert
Program: African Scholarship Program of the American Universities (ASPAU)
Degree: Bachelor's of Economics
Year Completed: 1969
Ms. Grace Chimile Rubambey is an economist and one of the leading rural and microfinance experts in Tanzania with more than 28 years experience at the Central Bank of Tanzania. In 2007, she left the Bank to become an independent consultant, providing consulting services in the areas of rural and microfinance as well as small and medium enterprises (SMEs).

Prior to becoming an independent consultant, Mrs. Rubambey served as Director in the Governor's Office of the Central Bank of Tanzania in 2006. Between 1998 and 2005, she established and managed the Bank's Directorate of Microfinance. As Director of Microfinance, she oversaw formulation of the legal, regulatory and supervisory framework for microfinance as well as the drafting of the National Microfinance Policy, which became the first such policy in Eastern and Southern Africa and has been recognized as one of the best in the microfinance industry.

Throughout her career, Ms. Rubambey held several management positions at the Central Bank of Tanzania, including Director of Banking, Director of Financial Markets, Director of Administration, and Director of Rural Finance. She also held positions with the Bank, including Manager of Economic Research and Statistics, Manager of Export Promotion; Senior Economist in the Foreign Department, and Senior Economist in the Department of Economic Research and Statistics. She was seconded by the Bank in 1984 to serve as the Secretary General of The African Rural and Agricultural Credit Association (AFRACA), a position she held for five years.

Ms. Rubambey is a member of multiple boards and committees, including the Tanzania National Economic Empowerment Council, Advisory Board of the President's Empowerment Fund, the Steering Committee on the Implementation of the SME Policy, Tanzania Investment Bank (TIB), and AFRACA Executive Committee and Advisory Group.

Ms. Rubambey earned a bachelor's degree in economics from Kent State University under AAI's African Scholarship Program of the American Universities (ASPAU) program. She went on to earn a master's in economics from Kent State University as well.
 
Elsie S. Kanza (34) holds a B. Sc. (Cum Laude) in International Business Administration from the United States International University – Africa Branch (USIU-A) Nairobi Kenya (1993 – 1995), MSc. Finance from University of Strathclyde, Scotland UK (1996 – 1997) and an MA Development Economics from Centre for Development Economics, Williams College, Massachusetts USA (1999 - 2000).

***** INA MIANA DEGREE YA KWANZA ALIMALIZA AKIWA NA MIAKA 16 TU??? ****
 
Elsie S. Kanza (34) holds a B. Sc. (Cum Laude) in International Business Administration from the United States International University – Africa Branch (USIU-A) Nairobi Kenya (1993 – 1995), MSc. Finance from University of Strathclyde, Scotland UK (1996 – 1997) and an MA Development Economics from Centre for Development Economics, Williams College, Massachusetts USA (1999 - 2000).

INA MAANA ALIMALIZA 1ST DEGREE AKIWA NA MIAKA 16??? HIYO NI KWELI?????

Ndio maana saa nyengine Tanzania matatizo matupu alimaliza degree ana miaka 16 alianza shule sijui ana miaka 3
 
Ndio maana saa nyengine Tanzania matatizo matupu alimaliza degree ana miaka 16 alianza shule sijui ana miaka 3

Kama ni sahihi kuwa alizaliwa mwaka 1977, basi kama alimaliza degree yake ya kwanza mwaka 1995, alikuwa na miaka 18 (na siyo miaka 16): which is not only very much possible, but goes to show how simply brilliant she may be.
 
Nchini mwetu mambo hayaendi sawa lakini wengi wanataka watu waelewe kuwa mambo yanaenda sawa hivyo kumsifia mtu ni jambo la kawaida ndio maaana mafisadi kina rostam waliamua kununua waandishi, haikutosha, wakanunua wahariri, haikutosha pia wakaamua kununua makampuni ya magazeti sasa magazeti yao yanaandika kila watakacho -wamefauru!!!!!!!!!!!!!na kuna watu wao wamelazimisha waajiriwe kila kona wanayoona ina maslahi yao.KUNA WATU WAMEAJIRIWA AIR PORT KWA AJIRI YA KUPITISHA MADAWA YA KULEVYA YA VIONGOZI HAWA.VILEVILE BANDARINI.MIGODINI NA KWINGINEKO
 
Back
Top Bottom