Hongera airtel

anania

Member
Jul 2, 2010
83
8
Kwa upande wangu nimeamua kuwapongea Airtel kwa kuifanyia marekebisho mitambo yao.Kwani nilikuwa sipati kabisa UMTS ilikuwa EDGE tu.Siku za nyuma nikichagua UMTS ilikuwa haikamati mawimbi ila kuanzia jana mambo swafi sana.Nasomeka pande za Kigogo
 
Baada ya kuichakachua modem ya Tigo sasa natumia Airtel napata HSDPA,kwa muda mfupi niliotumia airtel mambo yamekuwa bambam sijui kwa baadaye kwani ''mgema akisifiwa tembo hulitia maji'',mimi naona kwa sasa Airtel wangepunguza bei za modem zao,pia Airtel hawana mpinzani kwa watumiaji wa Blackberry BIS
 
mitanado yote ina nguvu DAR tu. kote kulobaki ni mashaka tu.....
 
hawa jamaa wa mitandao cjui wana matatizo gani. Mf. Jiji la mwanza hakuna mtandao wenye nguvu tofauti na vodacom, na hao nao ni aeneo ya mjini 2
 
hawa jamaa wa mitandao cjui wana matatizo gani. Mf. Jiji la mwanza hakuna mtandao wenye nguvu tofauti na vodacom, na hao nao ni aeneo ya mjini 2

mkuu mbna airtel inakamua vibaya mno?tigo ndo hamna 3g r.city.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom