Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,347
- 6,471
usimdaganye mwenzio....
Mimba inategemea na siku zake ila hamdanganyi ni ushauri ili hiyo kitu iwe special zaidi! Huyo mke mtarajia amekwisha vuka umri wa kudanganyika!!!!!!!!!
usimdaganye mwenzio....
....mie naona mimba ya kwenye honeymoon itaharibu mambo mengi...hebu soma ile thread ya Pape.... jamaa anafukuzwa kila siku..mamey anatapika...Mimba inategemea na siku zake ila hamdanganyi ni ushauri ili hiyo kitu iwe special zaidi! Huyo mke mtarajia amekwisha vuka umri wa kudanganyika!!!!!!!!!
....mie naona mimba ya kwenye honeymoon itaharibu mambo mengi...hebu soma ile thread ya Pape.... jamaa anafukuzwa kila siku..mamey anatapika...
ahhh vipi tena Mwanamayu kumbe wewe unamjua mke mtarajiwa....
kila ninapokuwa naye kwangu ni honeymoon, haijalishi ni wapi, tunakula nini, as far as tuko pamoja na tunapendana
hahaha i donno these ppl yakhe....Kuna haja ya honeymoon kama mmeisha kuwa na mtoto au mwenza wako ni mjamzito, mimba ya miezi mitatu?.....endapo kama u special wa u/honeymoon wanaoongelea baadhi yetu hapa ni kumtungua kwa mimba?
Kwahiyo Noname wapi kufanyia honeymoon inategemeana na uwezo wako, mahari ulipo, etc?hahaha i donno these ppl yakhe....
I thought the best thing about honeymoon is being together away from ppl... Be on your own completely...no telephones, no watches (like u should sleep early so u can get up early the next)....
Kwahiyo Noname wapi kufanyia honeymoon inategemeana na uwezo wako, mahari ulipo, etc?
honeymoon ni neno la kizungu .............lakini waswahili wana neno linaitwa fungate
fungate inakuwa kwa kawaida ni wiki moja ambayo maharusi wanapewa muda wa kurest...............kwa mila za watu wa mwambao fungate inafanywa katika chumba watakayo kaa maharusi hao, na hupewa mtu mzima mzee hivi wa kuwapikia, fulia, tayarisha chakula n.k
katika kipindi hichi maharusi hualikwa kwa chakula kwa jamaa na marafiki, na wao wanawajibika to look nice and relaxed tu.
ama huna uwezo wa kufanya honeymoon kwa definition ya kizungu waweza fanya fungate ya kiswahili...........raha jipe mwenyewe
kweli kabisa...inategemea uwezo wako..ila mahali inaweza kuwa popote!!! muhimu ni kuwa wawili....bila kusumbuliwa na watu....Kwahiyo Noname wapi kufanyia honeymoon inategemeana na uwezo wako, mahari ulipo, etc?
this is new to me.. thanks for sharing...honeymoon ni neno la kizungu .............lakini waswahili wana neno linaitwa fungate