Honestly JK: Wakina Brat unahitaji kweli kukutana nao?Unaweza kutuambia mliongea nini

lukule2009

Senior Member
Sep 23, 2009
132
11
Source:Majira

...Kabla ya maswali ya waandishi wa habari, Rais Kikwete alikuwa amezungumzia juu ya ziara yake iliyomchukua katika nchi tatu tofauti na kuhitimishia Marekani alipokutana na wacheza filamu, Brad Pitt na Angelina Julie wote wakijiita kwa pamoja Brangelina.

Hivi kweli Rais anahitaji kukutana na kila star hapa America kwa manufaa gani? kupiga picha... ?
 
sijaelewa?yaani JK alienda tena USA kinyemela na kukutana na hawa waigizaji filamu?mungu apishe mbali kama haya ni kweli basi hatuna rais TZ
 
Im totally disappointed with this mkwere.Muda mwingine anakuwa ni kama anajisahau kuwa yeye ni RAIS.He has hit the bottom,no way he could go below this.Aaagghh!
 
Kama Brangelina wanaongea kuleta vyandarua vya mamilioni ya dola, au kusaidia kinamama wajawazito wasife katika uzazi poa tu.

It's not like Muungwana anaweza kukaa chini na kutoa mkakati wa madini, au usuluhishi wa Zanzibar anyway.

Sasa between kuombeleza kwa hawa na kupembea Jamaica kipi bora. GT would approve that at least it is not Steven Seagal.
 
Ndio, alikuwa New York kuanzia Dec 3-5

Na mwisho wa Wiki anakwenda Copenhagen..akitoka huko atapita London...Huyo ndio Muungwana.Kuna Kikao cha NEC mwishoni mwa mwezi huu...Ngoja tusikie watakavyolipuana tena.
 
People are forgetting that he was the minister of foreign affairs for ten years. Maybe diplomacy is where his strengths lie and that's why he is concentrating more on that.Kama "Brangelina" wata tupa misaada mimi naona hamna neno sana. Tatizo ni kwamba hiyo safari ya Marekani Dec 3-5 inaelekea haikua ina julikana na wengi. Why kaenda kimya kimya?
 
Kuna vikao closed door kati ya JK, Mahiga na UN kuhusu mambo ya arms trade eastern congo.

Rais hawezi kurandaranda hivyo, tena kimya kimya, hata kama JK.
 
Nimefikiria amekutana na Da Brat...

71123078.jpg

kichwa cha habari kinatatanisha.
 
Source:Majira

...Kabla ya maswali ya waandishi wa habari, Rais Kikwete alikuwa amezungumzia juu ya ziara yake iliyomchukua katika nchi tatu tofauti na kuhitimishia Marekani alipokutana na wacheza filamu, Brad Pitt na Angelina Julie wote wakijiita kwa pamoja Brangelina.

Hivi kweli Rais anahitaji kukutana na kila star hapa America kwa manufaa gani? kupiga picha... ?
Hao Brangelina jinsia zao ni she au he?....
Labda ni rafiki zeke tokealalipokuwa waziri wa mabo yanje, inawezekana aliuzuria birthday ya mmoja wao au anawatafutia mchongo waku-ekti filamu wakina Kanumba au Rey!
 
Ah bana huenda anawatafutia nafasi za kuigiza filmu wauza sura wetu akina Richard,Kanumba,Kigosi na akina aunt ezekiel na akina Wema
 
Source:Majira

...Kabla ya maswali ya waandishi wa habari, Rais Kikwete alikuwa amezungumzia juu ya ziara yake iliyomchukua katika nchi tatu tofauti na kuhitimishia Marekani alipokutana na wacheza filamu, Brad Pitt na Angelina Julie wote wakijiita kwa pamoja Brangelina.

Hivi kweli Rais anahitaji kukutana na kila star hapa America kwa manufaa gani? kupiga picha... ?

Is this for real?
Ina maana ni kweli rais alionana na hawa akina Ray na Mainda wa Marekani akaja kutuhabarisha kupitia vyombo vya habari ..au waandishi wanamsingizia/.
 
Tuna raslimali za kutosha Tanzania,nyingine hatuzitumii ipasavyo huku nyingine tunazigawa kama njugu.Yet,kuna watu wanaunga mkono idea kuwa kama ameongea na hao Blangelina kuhusu 'misaada' then ni pouwa tu.Kweli Tz ni nchi ya kupitapita kupitisha bakuli kwa wacheza filamu???Kama hata vyandarua tunapewa msaada,then uwezo wetu ni upi sasa?Tunaacha kuangamiza mazalia ya mbu,tupo busy kujikinga na net ili hao mbu wasituume...Kuna tatizo kubwa sana hapa!
Sameway badala ya kukaa na kuangalia chanzo na solution ya matatizo yetu,mr prez yupo busy kusafiri kusaka misaada!Let alone hilo rundo la ujumbe anaokwenda nao...Jamani eeh,kama tunadhani hii misaada itakuja kutukwamua then tutaendelea kupiga marktime hapahapa tulipo evenworse kurudi nyuma zaidi.
 
Habari na zo zijua ni kwamba Kuna eneo la ekari kubwa huko Bagamoyo ambalo limetengwa kwa ajili ya Hollywood film company mabapo itajengwa studio moja kubwa ya Film na movie, ambayo itasimamiwa na Ruge Mutahaba , ili kutangaza Tanzania na kuinua vipaji vya wasanii wa tanzania .
Film zote za zitakazo kua zinatumai Kiswahili za Hollywood ,ambazo zilikuwa zina igiziwa Kenya zitapata furasa ya kutangaza Kiswahili fasaha cha tanzania na ku igiziwa vivutio mbali mbali vya Tanzania.
 
Source:Majira

...Kabla ya maswali ya waandishi wa habari, Rais Kikwete alikuwa amezungumzia juu ya ziara yake iliyomchukua katika nchi tatu tofauti na kuhitimishia Marekani alipokutana na wacheza filamu, Brad Pitt na Angelina Julie wote wakijiita kwa pamoja Brangelina.

Hivi kweli Rais anahitaji kukutana na kila star hapa America kwa manufaa gani? kupiga picha... ?

Sina hakika kama yupo right au hapana!! Hata hivyo, jambo moja nimegundua JK analo; nalo ni kuifanya TZ ifahamike kupitia ulimwengu wa burudani. Sio siri, huwezi kutangaza utalii wa nchi kama hii ambayo haijulikani kwa watu wa kawaida. Alifanya attempt ya kuwaleta Real Madrid, sijui ameishia wapi na ndoto hiyo( au labda ilikuwa nitoke vp). Budget iliyopita, ushuru umeondolewa kwenye kamera za kisasa za kuchukulia matukio ya filamu. Nahisi, ilikuwa ni proposal ya JK. Si ajabu anahisi film industry ikikua basi nchi itafahamika na kutangaza utalii itakuwa rahisi vilevile. Msisahau, Jamaica imefahamika kupitia muziki, Nigeria kupitia football n.k! Nahisi, JK anatamani sana wacheza filamu wa USA wafanyie filamu zao TZ, kwa dhana ile ile! Na lazima tukubali, hawa jama ni mastaa, hawawezi ku-pay attention kwa mtu kama Mangunga, huo ndo ukweli wenyewe. Don't forget, kutangaza utalii kwa nchi kama TZ ni ngumu ile mbaya, coz' mtu unalazimika kutangaza vitu viwili kwa wakati mmoja, nchi na vivutio. Mathalani, watu wanaijua South Africa, kwa hiyo wa2 wa tourism sector kule wanachohitaji kufanya ni kuwaambia tu walengwa wakienda SA watakuta nini. Hili kwa TZ ni tofauti!!! Lakini TZ unaposema una Mt. Kilimanjaro, walengwa watajiuliza hiyo TZ iko wapi!!! Sizani kama m2 wa kawaida, ambae ndo mtalii mwenyewe anaweza kuvutika kuja kupanda mt. K'njaro eti tu kv kuna theluji kileleni wakati hata TZ yenyewe haifahamu. Inawezekana aproach yake sio sahihi, lakini nahisi lengo lake ni zuri.
 
Next time i propose amuone Rambo,akienda denmark nako akatembelee mabanda ya ng'ombe kule apitie na italy amualike Del piero au mourinho nao waje watembelee Tanzania
 
Utalii ni pamoja na kutumia majina makubwa kimataifa, pengine alikuwa huki NY kwa lengo hilo. Hivyo tusi criticise sana labda as usual tusubiri tuone.
 
Sina hakika kama yupo right au hapana!! Hata hivyo, jambo moja nimegundua JK analo; nalo ni kuifanya TZ ifahamike kupitia ulimwengu wa burudani. Sio siri, huwezi kutangaza utalii wa nchi kama hii ambayo haijulikani kwa watu wa kawaida. Alifanya attempt ya kuwaleta Real Madrid, sijui ameishia wapi na ndoto hiyo( au labda ilikuwa nitoke vp). Budget iliyopita, ushuru umeondolewa kwenye kamera za kisasa za kuchukulia matukio ya filamu. Nahisi, ilikuwa ni proposal ya JK. Si ajabu anahisi film industry ikikua basi nchi itafahamika na kutangaza utalii itakuwa rahisi vilevile. Msisahau, Jamaica imefahamika kupitia muziki, Nigeria kupitia football n.k! Nahisi, JK anatamani sana wacheza filamu wa USA wafanyie filamu zao TZ, kwa dhana ile ile! Na lazima tukubali, hawa jama ni mastaa, hawawezi ku-pay attention kwa mtu kama Mangunga, huo ndo ukweli wenyewe. Don't forget, kutangaza utalii kwa nchi kama TZ ni ngumu ile mbaya, coz' mtu unalazimika kutangaza vitu viwili kwa wakati mmoja, nchi na vivutio. Mathalani, watu wanaijua South Africa, kwa hiyo wa2 wa tourism sector kule wanachohitaji kufanya ni kuwaambia tu walengwa wakienda SA watakuta nini. Hili kwa TZ ni tofauti!!! Lakini TZ unaposema una Mt. Kilimanjaro, walengwa watajiuliza hiyo TZ iko wapi!!! Sizani kama m2 wa kawaida, ambae ndo mtalii mwenyewe anaweza kuvutika kuja kupanda mt. K'njaro eti tu kv kuna theluji kileleni wakati hata TZ yenyewe haifahamu. Inawezekana aproach yake sio sahihi, lakini nahisi lengo lake ni zuri.
Mkuu umesahau.Tutatangazaje utalii wakati Loliondo wanyama wanachukuliwa wazimawazima?Nenda Saudia kuna zoo za nguvu za wanyama kutoka Tanzania.
 
sijaelewa?yaani JK alienda tena USA kinyemela na kukutana na hawa waigizaji filamu?mungu apishe mbali kama haya ni kweli basi hatuna rais TZ

Labda alienda kuonana na Dr. wake. Ndiyo maana amesema amechekiwa afya yake na yuko mswano, sasa mnafikiri alichekiwa wapi kama siyo USA. Jamaica na Cuba alienda kutalii, T&T alikuwa kwenye mkutano na US alienda kupimwa akili.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom