Honestly, Isnt it Possible?? (Je ni Kweli haiwezekani kabisa??)

Tena ni bora watu wakatambua hili.Ngono na upendo ni vitu viwili tofauti!

Umesoma hiyo post ya Babu Asprin hapo juu?

Hakika JF ina vichwa.......Laiti wangekubali kuwakabidhi hii nchi.

Naamini kuna team hapa ambayo ingeweza kuendesha kila idara ya nchi hii bila kuhitaji consultant wa Kichina, Kihindi wala Mthungu!!

Babu DC!!
 
Sina la kusema, ngoja nimwombe mzee mmoja anisaidie kidogo,

And I proudly nominate you (Asprin, Babu ODM) to be the King wa mababu wote wa hili jukwaa tukufu!!

Babu DC!!
Retired Maj Gen (1947)
12th Sept 2012
Gadem!!

I ODM, me and myself Asprin is and/or am humbled in this nomination.....

Naamini nimesamehewa dhambi zote nlizotenda tangu nizaliwe mpaka kesho.
 
Na hizo unazopanga kutenda baada ya lunch na wk end hii itakuwaje?

Ndo maana naamini mama wa JF alikuwa na mayai yasiyohesabika...haachi kuzaa hata kama wengine ni bora wametoka tu kama akina .......!!

Mhhh....Ngoja niishie hapo. Vijana wanaweza kunipigia kura ya kuvua vyeo, na wakati huo sina pa kukimbilia!!

Hivi mzee mwenzangu...Hatuwezi kulazimisha mwezi wetu uandame ili tule siku kuu??

Babu DC!!
 
Mzee DC (Ulikataa jina la Babu wakati wa Babu wa Loliondo) Haya mapenzi anayozungumzia MJ1 hapa naona ni kujiumiza hivi kweli kwa zama hizi kuna mtu anampenda mwenzie kwa dhati hilo halipoooooooooo!!!! Kataa ukubali huo ndo ukweli...

MJ1 anazungumzia kuumizwa (I guess) maana yaweza kuwa kampenda mtu kwa dhati na jamaa kaonyesha mapenzi kweli kweli akaja kumtenda sio kuambiwa live.....roho imemuuma zaidi.......................Mie siku hizi kiukweli sina mapenzi nina upendo tuu tena roho yangu na ubongo wangu havishirikiani kabisa kukomaa kwa mtu na kuona ananipenda HAKUNA MAPENZI SIKU HIZI BANA
twende taratibu Dena hapo kwenye RED unamaanisha hawa wanaokua sasa au hata sisi wa zamani lakini bado tupo mapenzini? maana hapo naona tu zama hizi, sasa sijui sisi hatupo kwenye sample?
 
Mzee mwenzangu kuna vitu labda huwa navitafsiri vibaya lakini nachelea kusema nitaishikilia tafsiri hiyo kama msimamo wangu kwenye mahusiano.

Naamini watu wanachanganya sana vitu vitatu katika mahusiano (hii ni kwa mujibu wa uelewa wangu finyu.). Mie naamini kuna Mapenzi, Mapendo (Upendo) na Kutamaniana. Kwangu mie ni vitu tofauti.

1. Mapenzi: Kwangu mie hii makitu inahusisha upendo na ngono ndani yake. Kwa mantiki hii kale ka maiwaifu kangu kanaangukia hapa. Nna mapenzi naye. Hata ikatokea kwa namna yoyote ile nimechepuka, hiyo itakuwa ni bahati mbaya na hakika kwake nitarudi tu. Hii inahusisha kupendana, kujaliana, kusikilizana, kuheshimiana, kuridhishana, kusameheana, kusaidiana na vitu kama hivyo.

2. Upendo: Huu ndio ule wa Agape sasa. Hauna uhusiano na ngono. Bahati nzuri kwenye upendo, hata yule uliye na mapenzi naye anaingia. Kwahiyo hapa wanaingia watu wengi sana, mke, marafiki, wazazi, watoto, majirani et el.

3. Matamanio: Hii ya kutamani ndio kama hiyo red hapo juu. Ni kutamaniana kuvuliana chupi na kubanjuka. Baada ya muda kila mtu anachukua time yake. Hisia zikirudi tena mnajikumbushia then kila mtu anachukua time. Hii inaweza sababishwa na tamaa za kimaumbile, sura, fedha, ulevi, misifa na vitu kama hivyo.

Hivi leo jumangapi vile?
kuna siku mtu alisema kama hiyo red imetokea ni kwamba hakuna blue, unaliongeleaje hili? binafsi siliafiki
 
Kuna love na lust. Love last longer but lust comes and go.

Mapenzi mengi uanzia kwenye lust. Mengine uishia hapo hapo. Meaning lust ikiisha uhusiano unakufa.

Watu walio in love ina maana wamefanikiwa ku move from lust to love...ingawa haina maana kuwa lust lazima ipotee...ingawa hupotea now and then. Hence kunaweza kuwa na love hata pale lust inapokuwa imeenda likizo.

Ndio maana waweza kuchitiwa lakini bado unapendwa saaana tu.

Love ni inner feeling and bond ambayo huwezi ku explain why and how. Lakini lust can be explained...ana mguu mzuri, ana macho ya kuita, ana 6 pack etc. hiyo ni lust which could or could not lead to love.
 
....
[

QUOTE=snowhite;4612372]wala si utani BAK,ni raha iliyoje maana unajikuta tu mambo yote yanaenda sawa!mi nikiwa sina furaha au amani mapenzini hata hela sijui pa kuitafuta![/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
rafiki yangu MwanajamiiOne, haya mapenzi yasikupeleke puta bwana............. take a very good break from them.............. siku inakuja mambo yako yatakuwa mazuri. wengi tumepita huko na sasa Tunamshukuru Mungu tu.
Mimi ni kati ya watu ambao kwa Haki ya Mungu naamini kuna mapenzi ya dhati, naona/nafeel ninavyopendwa na ninavyopenda. siku itakuja uta-feel the same. kwa hiyo nashawishika kuamini kuishi bila mapenzi haiwezekani
Stay blessed
 
Kuna love na lust. Love last longer but lust comes and go.

Mapenzi mengi uanzia kwenye lust. Mengine uishia hapo hapo. Meaning lust ikiisha uhusiano unakufa.

Watu walio in love ina maana wamefanikiwa ku move from lust to love...ingawa haina maana kuwa lust lazima ipotee...ingawa hupotea now and then. Hence kunaweza kuwa na love hata pale lust inapokuwa imeenda likizo.

Ndio maana waweza kuchitiwa lakini bado unapendwa saaana tu.

Love ni inner feeling and bond ambayo huwezi ku explain why and how. Lakini lust can be explained...ana mguu mzuri, ana macho ya kuita, ana 6 pack etc. hiyo ni lust which could or could not lead to love.
shikamoo nyumba kubwa
 
Last edited by a moderator:
Na hizo unazopanga kutenda baada ya lunch na wk end hii itakuwaje?

Ndo maana naamini mama wa JF alikuwa na mayai yasiyohesabika...haachi kuzaa hata kama wengine ni bora wametoka tu kama akina .......!!

Mhhh....Ngoja niishie hapo. Vijana wanaweza kunipigia kura ya kuvua vyeo, na wakati huo sina pa kukimbilia!!

Hivi mzee mwenzangu...Hatuwezi kulazimisha mwezi wetu uandame ili tule siku kuu??

Babu DC!!
Mzee mwenzangu umeshasahau formula yetu?

Kwamba ukikaa na watoto afu ushuzi ukakutoka kwa bahati mbaya, mtoto aliyekuwa karibu anapigwa kwenzi kwa kosa la "kuachia ushuzi hadharani". Tena na mkwala juu....

Kwa mustakabali huu basi mzee mwenzangu hakuna kulazimisha mwezi kuandama, ila tunatangaza kuwa mwezi umeandama. Sikukuu yetu leo.
 
kuna siku mtu alisema kama hiyo red imetokea ni kwamba hakuna blue, unaliongeleaje hili? binafsi siliafiki

Mdogo wangu FP,

Wanaume na wanawake ni viumbe tofauti kabisa kama siafu na kumbi kumbi....Ndo maana mtu anayecheat na hana heshima kwa mke wake, anaweza kufanya vituko hadi kila mtu akamshangaa...Mfano, kutembea na kila kiumbe cha kike, kutojali mahali alipo na aina ya mtu anayetembea naye...na hata kufikia kuleta mizoga home...

Anachoongea mzee mwenzangu Asprin (The King wa Ma-Babu wote wa MMU), ndicho kile kilichoko kwenye ule msahafu wa The Boss....Mtu anahakikisha hata sisimizi hamuoni au kusikikia kama kachepuka!!

Umeeelewa??

Kuna love na lust. Love last longer but lust comes and go.

Mapenzi mengi uanzia kwenye lust. Mengine uishia hapo hapo. Meaning lust ikiisha uhusiano unakufa.

Watu walio in love ina maana wamefanikiwa ku move from lust to love...ingawa haina maana kuwa lust lazima ipotee...ingawa hupotea now and then. Hence kunaweza kuwa na love hata pale lust inapokuwa imeenda likizo.

Ndio maana waweza kuchitiwa lakini bado unapendwa saaana tu
.

Love ni inner feeling and bond ambayo huwezi ku explain why and how. Lakini lust can be explained...ana mguu mzuri, ana macho ya kuita, ana 6 pack etc. hiyo ni lust which could or could not lead to love.

Nashukuru sana kwamba umesema wewe NK...na ukizingatia kuwa wewe ni SHE!

Tungesema sie tungetolewa macho....

Hivi tusemeje ili watu watuelewe.....Sex siyo mapenzi ingawa mapenzi yanaweza kujumuisha sex, na mapenzi siyo upendo!!

Nikikosa upendo nitakonda sana ila nikipata upendo naweza kuishi bila mapenzi as longer as mara moja maja nakata kiu kwa delicious dinner!! Na hapa msiniulize mpishi ni nani!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
kuna siku mtu alisema kama hiyo red imetokea ni kwamba hakuna blue, unaliongeleaje hili? binafsi siliafiki
Kitu kimoja nakuambia rafiki mkwe.... sawa yawezekana kuchepuka nje ikawa hakuna kuheshimiana. Lakini mkwe kuchepuka kwa masaa matatu kunaweza kuvunja heshima ya miaka 20? Ukiona mtu anachepuka kwa kisirisiri ili usijue au mwingine yeyote anayekuhusu asijue afu akakuambia, basi ujue anakuheshimu sana ila tamaa zimezidi upeo wa kutunza heshima
 
rafiki yangu MwanajamiiOne, haya mapenzi yasikupeleke puta bwana............. take a very good break from them.............. siku inakuja mambo yako yatakuwa mazuri. wengi tumepita huko na sasa Tunamshukuru Mungu tu.
Mimi ni kati ya watu ambao kwa Haki ya Mungu naamini kuna mapenzi ya dhati, naona/nafeel ninavyopendwa na ninavyopenda. siku itakuja uta-feel the same. kwa hiyo nashawishika kuamini kuishi bila mapenzi haiwezekani
Stay blessed

Poa FP,

Mie na mzee mwenzangu Asprin wakati tunaadhimisha siku kuu yetu...(tumejitangazia kuandama kwa mwezi), tunasema kusema kuwa tunaamini huwezi kuishi bila upendo ila unaweza kuishi bila mapenzi kama unapata dozi ya uhakika mara moja moja!!

Naomba nikamilishe kazi ya mwenye mali....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi is Chemistry given favourable conditions you will fall in love..., hata uwe nani.., (kwahio jibu la swali lako inawezekana kuishi bila mapenzi ) kama hautajiweka kwenye any favourable conditions (though hii sio guarantee kwamba hautaingia kwenye mapenzi)..

Cha maana is just live for the moment and cherish the moment.., no one knows about tomorrow.., kama mnapendana leo does not mean kesho mtapendana au kama mnagombana leo au unatendwa leo does not mean kwamba juzi hamkupendana..,
 
Nashukuru sana kwamba umesema wewe NK...na ukizingatia kuwa wewe ni SHE!

Tungesema sie tungetolewa macho....

Hivi tusemeje ili watu watuelewe.....Sex siyo mapenzi ingawa mapenzi yanaweza kujumuisha sex, na mapenzi siyo upendo!!

Nikikosa upendo nitakonda sana ila nikipata upendo naweza kuishi bila mapenzi as longer as mara moja maja nakata kiu kwa delicious dinner!! Na hapa msiniulize mpishi ni nani!

Babu DC!!
swali la kizushi babu, inawezekana (siyo kwako) kuwa na mapenzi nje ya bibi? hapa namaanisha yule ambaye anatoka nje, anaweza akapenda huko pia wakati bado anapenda nyumba kubwa? yaani siyo kama anafwata sex tu?
 
Poa FP,

Mie na mzee mwenzangu Asprin wakati tunaadhimisha siku kuu yetu...(tumejitangazia kuandama kwa mwezi), tunasema kusema kuwa tunaamini huwezi kuishi bila upendo ila unaweza kuishi bila mapenzi kama unapata dozi ya uhakika mara moja moja!!

Naomba nikamilishe kazi ya mwenye mali....

Babu DC!!

Au kwa kuweka hansard vizuri ni kuwa, ili maisha yawe matamu na ya kueleweka:

Mapenzi si Lazima, ila haiyumkiniki, UPENDO NI LAZIMA.

Kwa maneno mengine waweza jizuia usifanye mapenzi lakini huwezi jizuia kupenda wakati una wazazi, watoto, ndugu, jamaa, marafiki, majirani na binadamu wenzio wanakuzunguka. Hitler anaweza kuwa alikuwa Dikteta mbaya kupata kutokea duniani lakini kuna binadamu ALIOWAPENDA sana.
 
twende taratibu Dena hapo kwenye RED unamaanisha hawa wanaokua sasa au hata sisi wa zamani lakini bado tupo mapenzini? maana hapo naona tu zama hizi, sasa sijui sisi hatupo kwenye sample?

Ha ha ha wajameni nakwambia hata hao wazamani wana mapenzi ya kutoka wapi?? FP?? Huyo anakuacha nyumbani anakwenda kwa Halima anamwambia "I Love U" Yule mke wangu kanichosha mara ooohhh anataka kubadili mboga mara kimepanda kimeshuka..............

Wanacheat na ukishacheat hayo ni mapenzi au mazoea tu kuwa tumeoana na tuna watoto????

Ukishaingiza mtu wa tatu katika mapenzi hapo hakuna mapenzi hata kidogo hiyo ni tamaaa
 
Poa FP,

Mie na mzee mwenzangu Asprin wakati tunaadhimisha siku kuu yetu...(tumejitangazia kuandama kwa mwezi), tunasema kusema kuwa tunaamini huwezi kuishi bila upendo ila unaweza kuishi bila mapenzi kama unapata dozi ya uhakika mara moja moja!!

Naomba nikamilishe kazi ya mwenye mali....

Babu DC!!

FP amekusoma
 
Mdogo wangu FP,

Wanaume na wanawake ni viumbe tofauti kabisa kama siafu na kumbi kumbi....Ndo maana mtu anayecheat na hana heshima kwa mke wake, anaweza kufanya vituko hadi kila mtu akamshangaa...Mfano, kutembea na kila kiumbe cha kike, kutojali mahali alipo na aina ya mtu anayetembea naye...na hata kufikia kuleta mizoga home...

Anachoongea mzee mwenzangu Asprin (The King wa Ma-Babu wote wa MMU), ndicho kile kilichoko kwenye ule msahafu wa The Boss....Mtu anahakikisha hata sisimizi hamuoni au kusikikia kama kachepuka!!

Umeeelewa??

Nashukuru sana kwamba umesema wewe NK...na ukizingatia kuwa wewe ni SHE!

Tungesema sie tungetolewa macho....

Hivi tusemeje ili watu watuelewe.....Sex siyo mapenzi ingawa mapenzi yanaweza kujumuisha sex, na mapenzi siyo upendo!!

Nikikosa upendo nitakonda sana ila nikipata upendo naweza kuishi bila mapenzi as longer as mara moja maja nakata kiu kwa delicious dinner!! Na hapa msiniulize mpishi ni nani!

Babu DC!!

Hapa nimegonga like na kuondoka
 
Mbona inawezekana sana unaamua kuishi bila kupenda na bila kuwa na mpenzi yaani unaamua kutua mizigo miwili wa kupenda na wa mpenzi unajibakia singo hakika nakwambia utaishi maisha marefu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom