Honda xr600

TM65TZ

Member
Jul 20, 2009
15
0
HONDA XR600 INAUZWA!(ARUSHA!)
pikipiki iko kwenye hali nzuri kweli.
Imetembea km 25.000 km tu tangu mpya yake 1993.zaidi ya miaka kumi ilikaa bila kutumia. Kila wakati ilifanya service sawa sawa na sasa hivi sprocket zote na mnyororo aina ya o-ringchain ni mpya, vile vile tairi ya nyuma ni mpya aina ya Dunlop Trailmax.Injini ni zima kabisa, haili oil, na tangu mpya yake hayabomolewa , ni BOMBA KUBWA, ambayo alitumia ni Mzungu Expat!(ushuru bado kulipa)Bei 4000.000 tsh ni makubaliano,kwa maelezo tafadhli piga simu 0764/472844
 

Attachments

  • photos.jpg
    photos.jpg
    74.9 KB · Views: 83
  • photos 1.jpg
    photos 1.jpg
    73.6 KB · Views: 82
Back
Top Bottom