Honda crv

Nov 17, 2011
62
13
Ndugu yangu anatafuta Honda CRV, bajeti yake ni 7M. Aliyenayo ikiwa kwenye hali nzuri na akaona offer hii inamfaa anitaarifu jamani.
 
Mbona kimya jamani? Au offer za namna hii ndo huwa zinafuatiwa na comments za "kanunue bajaji?" ... Anyway, mwenye taarifa jamani..Pse!
 
Ukiona hivyo dada offer yako imewastua wengi, ki ukweli bei ya Honda CRV iko juu sana: kwa 7mln ukiipata hiyo ina walakini.
 
Dada sikushauri kabisa kabisa kununua honda crv wewe wasiliana na allyee akusaidie tafuta hata hata rav4 milango mitatu au hata nadia zinakufaa achana na crv ni bomuuuu kama subaru forester
 
Ndugu yangu anatafuta Honda CRV, bajeti yake ni 7M. Aliyenayo ikiwa kwenye hali nzuri na akaona offer hii inamfaa anitaarifu jamani.

hiyo hela yako unataka kuitupa tu dada,hiyo siyo gari.wasiliana na mtu anaitwa gadaf au allyee,nimember hapa jf kama hujui id ya alyee tafuta post moja ya jana japo siikumbuki vyema aliituma na heading buy cheap cars from japan,am not sure kama title nimeipatia,ila search tu humu utaipata
 
Oh jamani asanteni kwa kunifumbua macho! Mi nilijua ni moja wapo ya gari ngumu? But rav 4 milango mitatu sizipendi. Labda nihamishie interest kwenye escudo. Naombeni ushauri juu ya hii basi na kama its ok basi nigeuze tangazo lisomeke Escudo badala ya CRV
 
Dada sikushauri kabisa kabisa kununua honda crv wewe wasiliana na allyee akusaidie tafuta hata hata rav4 milango mitatu au hata nadia zinakufaa achana na crv ni bomuuuu kama subaru forester

hiyo hela yako unataka kuitupa tu dada,hiyo siyo gari.wasiliana na mtu anaitwa gadaf au allyee,nimember hapa jf kama hujui id ya alyee tafuta post moja ya jana japo siikumbuki vyema aliituma na heading buy cheap cars from japan,am not sure kama title nimeipatia,ila search tu humu utaipata

Ubaya wake ni nini hasa? au ni kutokana na kusikia kwa watu wengine?

Dada Kimario, ofa unayoizungumza haiendani na thamani halisi ya gari unalolitaka lililozima na ninahisi ni moja ya sababu inayopelekea wewe kutopata majibu. Sababu nyingine ni kwamba inawezekana kuwa hakuna mwenye kuuza gari la namna hiyo hapa kwenye jukwaa hili na/au labda pia hakuna wanachama wa hapa wenye kufahamu wauzaji wa gari hilo.

Dada Kimario, gari hilo mimi nilimiliki kwa miaka minne na kutembelea zaidi ya kilometa elfu sabini hapa hapa Bongo na bado nikaliuza mwaka 2010 kwa zaidi ya asilimia mia moja na hasini ya kiwango cha fedha unachokitoa wewe leo hii. Aliyelinunua ni mtu ambaye si kuwa namfahamu ila tumekuja kufahamiana vizuri katika miaka hii miwili na hakuna siku aliyelalamikia chombo nilichomuuzia
 
Oh jamani asanteni kwa kunifumbua macho! Mi nilijua ni moja wapo ya gari ngumu? But rav 4 milango mitatu sizipendi. Labda nihamishie interest kwenye escudo. Naombeni ushauri juu ya hii basi na kama its ok basi nigeuze tangazo lisomeke Escudo badala ya CRV

escudo ni gari nzuri ni kanyaga twende,lami na hata tope,spea zipo nyinyi
 
KUTOKANA NA USHAURI WA WALIO WENGI NAOMBA TUFUNGE MJADALA WA CRV, NA TUONGELEE ESCUDO JAMANI.

Mwenye nayo tafadhali.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom