Hon. Mbowe and Tundu Lissu: Pyschologically tortured and affected?

Yakuza

Senior Member
May 22, 2011
114
43
Comrades,


Have our true fighters Hon. Mbowe and Tundu Lissu been pyschologically tortured and affected after being remand prisoners?

One of the indicators of Hon. Mbowe's post-traumatic stress disorder was his positive and commendable reaction over this years Financial Budget, while his companions strongly negated!

I was expecting Hon. Mbowe and Tundu Lissu as they have always been, to join hands with Hon. Zitto and other Kigoma legislators over the allowances saga, but they seem to be:A S 114:..........:A S 114:


I guess the two beloved legislators, have are experiencing post-traumatic stress disorder, which is common to all remand/prisoners after their release.

If thats true, I suggest they should consult pyscho-social cancellors soonest otherwise we are going to miss their usual and noble contributions into the House!

 
Mbona wewe ndio iko psychologically affected kwa kumtaka Mbowe na Lissu wafikirie na kutenda utakavyo wewe?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Good observation, you are very right! I argue them to take into consideration this advice.
 
I don't understand your perspective, what did you expect from them?
Wafanye vile unavyofikiria wewe? But I respect your concept
 
Honestly, I wonder why is Hon. Zitto left alone?

Look, his Kigoma brothers and sisters felt mercy on him and decided to hug him, but the CDM colleagues and especially the Northerners are all quiet? I repeat, the Northerners! Where is Godbless Lema?, Where are others?

My friend, when it comes to the money issue.........forget!
 
Why only Mbowe and Lisu na siyo hao wengine wa CCM ambao wamekutwa na rusha na MPs wote wa CCM to join Zitto? jipange
 
zitto is a shadow finance minister and this is his time to shine.....
why should Lissu or mbowe talk on behalf of zitto??
 
Honestly, I wonder why is Hon. Zitto left alone?

Look, his Kigoma brothers and sisters felt mercy on him and decided to hug him, but the CDM colleagues and especially the Northerners are all quiet? I repeat, the Northerners! Where is Godbless Lema?, Where are others?

My friend, when it comes to the money issue.........forget!

My thread is not in the Northern nor money dimension. However, I can't stop you from urguing in that direction! How am I and in what capacity to stop you? Please, proceed......
 
Mbowe mpeni haki yake. Alishazungumzia suala hilo na kumuunga mkono Zitto Kabwe. Kama mlitaka mengine basi myaweke wazi ila mlango mlioingilia si sahihi .....
 
Why are all other CDM MPs silent over the allowances debate?

Hon. Zitto made a bold decison, why haven't other CDM MPs joined him?

CDM is faking politics!
 
Nadhani wadau wengi kuna wakati mnaluka point za muhimu. Mh. Mbowe alikwisha tangaza kuwa hili swala la sitting allowance si la zitto peke yake bali ni la kichama hivyo Zitto anawajibika kulisemea kama waziri kivuli wa fedha na uchumi. Sasa wabunge wengine hawana la kusema maana walikaa nadhani ijumaa ama jmosi wakakubaliana kuhusu hlo kama chama.

Kuhusu Mbowe kusupport budget anaweza akatoa mchango wake kama mtanzania wa kawaida bila ya kufanya analysis lkn baada ya analysis kufanywa na wataalam nadhani amejuwa ukweli wa lugha ya mafuta iliyotumia na waziri usika kufikisha ujumbe wa matumain kwa watanzania hivyo naye kuwa ni mmoja wa wahanga waliodanganywa na waziri Mkulo.

Ukitaka kujua kama jamaa hawawezi kuizima nyota yke basi comment kwenye maswali yake ya leo katika sakata la mkataba mbovu wa kuendesha uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA, na majibu kutoka kwa waziri husika hata Mh. Mbowe kuomba mwongozo wa Spika na hivyo kuamriwa kupeleka ushahidi wa kimaandishi ili kuthibisha uongo wa waziri huska.Na pasina shaka ninaimani ataupeleka wakaukalie tena.

Mbowe na Lisu bado wanauwezo wao na ninategemea constructive michango kutoka kwao kama ilivyo ada yao.
 
Hakika, GEREZA ni mwanaharamu. Poleni sana Mh. Mbowe, nilidhani niuzushi sasa umetamka mwenyewe......kumbe umeathirika!
 
Honestly, I wonder why is Hon. Zitto left alone?

Look, his Kigoma brothers and sisters felt mercy on him and decided to hug him, but the CDM colleagues and especially the Northerners are all quiet? I repeat, the Northerners! Where is Godbless Lema?, Where are others?

My friend, when it comes to the money issue.........forget!

Asikuwambie mtu yale ni maneno tu ya siasa posho kila mtu anazitaka na ndio zinazowafanya wakimbilie huko. We angalia kuna matajiri wangapi wapo bungeni? wenye biashara kubwa kubwa za kuwaingizia kipato wanachopata bungeni bila kuwa wabunge? kwanini basi kama mnadhani wameenda pale kwa ajili yenu pesa wanazolipwa wasizielekeze kwenye jamii/wapiga kura majimboni mwao? hivi mnadhani wapo pale kwa maslahi yako? you are very wrong my friend. Anyway endelea kuuliza.........
 
Naungana na wewe kwani inaelekea ana uwezo mdogo sana ingawa cheo anakitaka.

Zito nyota yake inazidi kuwaka kiasi cha kumfunika Bosi wake Bungeni

Habari za Doha ? nimemiss sana madhar ya doha nilikuwa hapo mwezi jana na nilishukia Al liwan suits. Anywa twende kwenye point ukifikiria hivyo unakosea wakati ule mwalim alipo kuwa mwenyekiti haikuwa na maana hakukuwa na vijana wenye uwezo kumshinda yeye. Kumbuka kwenye vyama hata hivi tunavyoviita vya domokrasi hakuna hiyo demokrasi viongozi wa juu wanakuwa kama wanateuliwa kinamna so wanachama wanaweza kumtaka mr A lakini chama kikamweka mr B na wakamwambia mr A aseme kuwa yeye hayupo tayari kuchukua hayo madaraka lakini moyoni anayataka! kwa maana hiyo usipumbae mkuu hizi ndio sihasa zetu.
 
Mbowe mpeni haki yake. Alishazungumzia suala hilo na kumuunga mkono Zitto Kabwe. Kama mlitaka mengine basi myaweke wazi ila mlango mlioingilia si sahihi .....

Mbowe aliongelea kwenye viombo vya habari nadhani mleta mada alitaka aongelee kwenye bunge ili aonyeshe nia yake si unajua kuna kawaida ya wanasiasa kukana wanayoyasema kwenye media?
 
Back
Top Bottom