Hon: Highness Kiwia Vs. Kibajaji A.K.A Livingstone Lusinde

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Highness Kiwia Vs. Kibajaji aka. Kudadadeki....Niseme niseme?

Member of Parliament CV

GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
1736.jpg

First Name:
Highness
Middle Name:
Samson
Last Name:
Kiwia
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Ilemela
Political Party:
CHADEMA
Office Location:
Box 1733, Mwanza
Office Phone:
+255 754 977070
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
hkiwia@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
8 October 1976
EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Kijenge Primary School
Primary Education
1988
1991
PRIMARY
Mbuyuni Primary School
Primary Education
1985
1988
PRIMARY
Lake Secondary School
Secondary Education
1992
1994
SECONDARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of Tanzania
Member - Ilemela Constituency
2010
2015
Private Businesses
Entrepreneur
1997
2010

-----------------------------------------------------------------
Member of Parliament CV

GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
1694.jpg

First Name:
Livingstone
Middle Name:
Joseph
Last Name:
Lusinde
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Mtera
Political Party:
CCM
Office Location:
Box 50, Dodoma
Office Phone:
+255 755 453327/+255 785 679927
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
llusinde@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
4 March 1972
EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Mbigili Primary School
Primary Education
1980
1987
PRIMARY
CCM College Ihemi
Certificate
2007
2008
CERTIFICATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of Tanzania
Member - Mtera Constituency
2010
2015
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary - Tarime District
2006
2010
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Assistant Secretary/Accountant
2006
2007
CHADEMA
Member - National Executive Board
1995
Civic United Front, CUF
Secretary - Kawe Constituency
1992
1995
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary
 
Lucinde kumbe alikuwa CUF, CHADEMA ndio akaishia CHADEMA?...safari ndefu.

Sina tatizo kabisa kama mtu kaishia STD. Shida na kwa wale wanaopambapamba ili waoenakane wamesoma wakati si kweli. Mtu aseme elimu yake, after all wapiga kura wanaangalia unawawakilishaje na sio elimu yako. Lakini ni vema watu wawe wakweli.
 
Hivi issue ni elimu au unaisaidiaje jamii iliyokutuma ukawasemee?

Mkuu huu sasa umekuwa kama utoto. Mtu anaingia website ya bunge bila sababu yoyote anachomoa CV ya mtu anaweka so what?. Mimi ninavyojua watu huwa hawaangalii CV ya mtu bila sababu. Mfano Mbunge amechangia utumbo bungeni then kuna kuwa na tashwishi ya kujua CV yake, ili tumuweke level gani (kati ya insanity and hypocrisy). Katika mfumo wa siasa Elimu inachukua nafasi ya mwisho kabisa katika baada ya Credibilities (Yaani wewe si mwizi, si mzinzi, si mshirikina, si mla rushwa, huna tamaa ya mali, unawakilisha hali halisi za contituent yako (yaani not out of touch)). Ukiwa na Qualities hizi kwenye bracket elimu yako inakuongezea uwezo wa kuchambua pros and cons of your actions kabla ya kuzichukua. Ukiangalia wabunge karibu 90% hawana hizi quality na elimu zao kuwa useless.

Philosophers believe that 'Education without application is useless'. Kuna maprofessor wangapi bungeni wakisimama kuongea wanaishia kujikomba na kujipendekeza kwa walio juu ili kulinda vyeo au kujiweka karibu na (godfathers) wagawa vyeo ili angalau next time afikiriwe?. Kuna wapuuzi wangapi badala ya kuonesha upevu wanaishia kujigamba na kujisifia mimi ni msomi daraja la kwanza, lakini impact zao katika kuweka program za kuendeleza nchi hazionekani?.

Mimi ninaamini kabisa kuwa mbunge yeyote yule mwenye kufuata priciples nilizoziweka kwenye bracket hapo juu ni kiongozi bora kuliko mwenye degree tano za kudesa au zisizokuwa na application katika maisha ya watanzania.
 
Bado sijapata mantiki ya kulinganisha hizi CV.

Mantiki ni kujua usahihi wa taarifa zao, sio kiasi cha elimu walio nayo. Ni kweli kuwa elimu si kitu cha msingi, ni utendaji na sifa nyingine kama ukweli, uwazi, upendo, kujali nk. Bill Gates (Microsoft), Mareheme Steve Jobs (Apple), Sir Richard Branson (Virgin) hawana degrees lakini wamefanikiwa sana. Hawasemi wana degree!!

Hapa ugomvi ni "misrepresentation" ya taarifa zinazowahusu!! Sasa Kiwia kasoma hule ya sekondary miaka 3!! Lusinde kasoma shule ya msingi miaka 8, yaani karudia/kakariri darasa. Kama taarifa hizi si sahihi basi zirekebishwe.

Ukweli wa mtu hupimwa kwa anavojisema yeye kulinganisha na uhalisia!!
 
Mkuu Hofstede,

Ninafurahi sana ninaposoma maoni ya watu wenye mawazo kama yako.
Watu wengi hawajui kuwa CV ni zaidi vyeti na madarasa aliyosoma mtu. Mawazo haya potofu ndiyo kiini hasa cha uozo na kukosekana kwa tija katika jamii yetu. Hali hii imesababisha wengi watafute vyeti vya kugushi, vyuo bandia n.k ili wajipatie sifa na vyeo.
Ili tuendelee yanahitajika mabadiliko ya fikra na jamii iache kutukuza vyeti bali umuhimu uwe kwenye matokeo chanya ya elimu au ujuzi aliopata mhusika.
 
Mkuu huu sasa umekuwa kama utoto. Mtu anaingia website ya bunge bila sababu yoyote anachomoa CV ya mtu anaweka so what?. Mimi ninavyojua watu huwa hawaangalii CV ya mtu bila sababu. Mfano Mbunge amechangia utumbo bungeni then kuna kuwa na tashwishi ya kujua CV yake, ili tumuweke level gani (kati ya insanity and hypocrisy). Katika mfumo wa siasa Elimu inachukua nafasi ya mwisho kabisa katika baada ya Credibilities (Yaani wewe si mwizi, si mzinzi, si mshirikina, si mla rushwa, huna tamaa ya mali, unawakilisha hali halisi za contituent yako (yaani not out of touch)). Ukiwa na Qualities hizi kwenye bracket elimu yako inakuongezea uwezo wa kuchambua pros and cons of your actions kabla ya kuzichukua. Ukiangalia wabunge karibu 90% hawana hizi quality na elimu zao kuwa useless.

Philosophers believe that 'Education without application is useless'. Kuna maprofessor wangapi bungeni wakisimama kuongea wanaishia kujikomba na kujipendekeza kwa walio juu ili kulinda vyeo au kujiweka karibu na (godfathers) wagawa vyeo ili angalau next time afikiriwe?. Kuna wapuuzi wangapi badala ya kuonesha upevu wanaishia kujigamba na kujisifia mimi ni msomi daraja la kwanza, lakini impact zao katika kuweka program za
kuendeleza nchi hazionekani?.

Mimi ninaamini kabisa kuwa mbunge yeyote yule mwenye kufuata priciples nilizoziweka kwenye bracket hapo juu ni kiongozi bora kuliko mwenye degree tano za kudesa au zisizokuwa na application katika maisha ya watanzania.

Ninafurahi sana ninaposoma maoni ya watu wenye mawazo kama yako.
Watu wengi hawajui kuwa CV ni zaidi vyeti na madarasa aliyosoma mtu. Mawazo haya potofu ndiyo kiini hasa cha uozo na kukosekana kwa tija katika jamii yetu. Hali hii imesababisha wengi watafute vyeti vya kugushi, vyuo bandia n.k ili wajipatie sifa na vyeo.
Ili tuendelee yanahitajika mabadiliko ya fikra na jamii iache kutukuza vyeti bali umuhimu uwe kwenye matokeo chanya ya elimu au ujuzi aliopata mhusika.
 
duh, hawa jamaa mbona vilaza hivi, no wonder hawatusaidii lolote kule bungeni...elimu ni muhimu sana hasa kwenye mihimili mikubwa kama hii...hapo hapaepukiki hakika.
 
Ninafurahi sana ninaposoma maoni ya watu wenye mawazo kama yako.
Watu wengi hawajui kuwa CV ni zaidi vyeti na madarasa aliyosoma mtu. Mawazo haya potofu ndiyo kiini hasa cha uozo na kukosekana kwa tija katika jamii yetu. Hali hii imesababisha wengi watafute vyeti vya kugushi, vyuo bandia n.k ili wajipatie sifa na vyeo.
Ili tuendelee yanahitajika mabadiliko ya fikra na jamii iache kutukuza vyeti bali umuhimu uwe kwenye matokeo chanya ya elimu au ujuzi aliopata mhusika.

Mkuu bado sijakuelewa kabisa ebu fafanua zaidi?. Kwenye red ni mawazo yangu gani unayozungumzia hasa yanayofanya watu waforge vyeti na kurudisha nyuma maendeleo?. Kwenye Blue nakubaliana na wewe (angalia maana chini) kuwa CV si elimu na vyeti tu bali pia kuna history ya utaalam na qalifications za kazi unazoweza kuomba, which means katika suala la siasa hakuna qualifications zaidi ya qualities of credibility nilizoweka kwenye post yangu ya awali. Otherwise naweza kulinganisha quotation yako na ule mchezo wa kuigiza wa mahakamani na wimbo wa 'Je itakuwaje judge!'

'CV curriculum vi·tae n. pl. curricula vitae Abbr. CV A summary of one's education, professional history, and job qualifications, as for a prospective employer'
 
Mkuu umenielewa vibaya, tupo pamoja kimtazamo. Watu wengine wengi wana mawazo potofu yanayotukuza vyeti tu hivyo wanatakiwa wabadilike kifikra. Hayo mawazo yao ndiyo potofu, siyo yako.
Ahsante!
 
Kwenye maoni yangu ambaYo jana tuliombwa ili yapelekwe kwenye tume ya katiba mimi nimependekeza MP aspirants wawe at least na first degree.

IF YOU THINK EDUCATION IS EXPENSIVE TRY IGNORANCE.
 
Mbona Cv zao hazifanani?Mmoja standard seven mwingine Form four au ulikuwa unataka katuambia nini?Jipambanue Plz
 
Hivi issue ni elimu au unaisaidiaje jamii iliyokutuma ukawasemee?
kama elimu sio issue basi ni bora shule za sekondari zikafungwa na bajet yake ikatumika kufanya shughuli zingine. Naona uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, ndio maana mkiitwa dhaifu mnajaa upepo, lakini mkikosea mnadai mmepotoshwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom