Hon. Freeman a. Mbowe (mp-hai constituency) you deserve congratulations

Mi siwaamini wote bana, we mtu kama zito unafikiri akipewa chance atakumbuka tena uzalendo? Hiyo kupewa tu kamati ya mashirika ya uma tayari amepagawa!!!!! Zito anadiriki kutumia ndege ya tanapa kumpeleka yeye toka dodoma kwenda kigoma na kisha kuja dar!!!! Huu ni uzalendo kweli? Au changa la macho tu.[/QUOTE

Grow up young man Nduka fake, the post commends the Hon. Freeman Mbowe, how come you mix up? Kama Mheshimiwa Zitto kapanda ndege ya Tanapa kutoka Dom kwenda Kigoma inahusu nini sasa, hivi hujui kuwa hicho kidege huwa kinakodishwa ili ku boost mapato ya Tanapa.
Fanya utafiti kabla hujaropoka.
 
Back
Top Bottom