"Homosexuality is not sinful"

Homosexuality is not choice therefore no one can change the way he is, look, you claim sexuality is for procreation but this can't be true because if these were true why there are couples with disabilities to give birth?

Homosexuality is not choice because it is a demonic. So, when you are demon possesed, you have no other choice but to obay demons and that IT IS YOUR CHOICE.

You are dead wrong when you say no one can change the way he is. Mamia ya hao mashoga wanakuwa delivered na Yesu na wanaachana na hiyo dhambi ya USHOGA.

What kind of disabilities? Try to be more conspicuous.
 
Kamwe usihuku kama haujajua chanzo au hili swala ni lakujitakia au la?
)

Sentesi yako ya kwanza inapingana na hii uliyo bandika hapa. Kumbe ushoga sasa una chanzo? Uwe makini unapo andika vitu hapa.
 
Maana utafiti wa kisayansi unaonyesha kuwa kuna asilimia kubwa(bado tamko maalum halijatolewa/utafiti unaendelea) kuwa hii hali itakuwa sio ya kujitakia(choice)

Sasa sayansi inataka kuwa sawa. Hii hali ni ya kishetani. Hivyo basi, only Jesus Christ can help na sio sayansi na/au Muham-mad na/au Allah, et al.

ONLY JESUS CAN
 
Inawezekama we ndio ukawa na matatizo maana ye anataka kuwa huru na jinsi alivyo we unamshangaa sasa nani wa ajabu hapo?
Hii ni dunia ya ukweli na uwazi na mungu anawapenda wasema kweli, Itakushangaza lakini utaelewa tu lol,

When you are against nature. Hivyo yeye na wewe unaye tetea kuwa kinyume na nature ni watu wa ajabu.
 
Marytina, what is da point?
da point is:
South African Muhsin Hendricks is an Islamic cleric and a gay man.
He runs a foundation called
The Inner Circle, which helps Muslims, who are struggling to accept their sexuality. He has come to the Netherlands to spread a simple message: "It's okay to be Muslim and gay!"

When you are against nature. Hivyo yeye na wewe unaye tetea kuwa kinyume na nature ni watu wa ajabu.

Acha kufungwa na imani ya kidini ndugu MaxShimba, wewe inaquote bible, je vipi kwa wale wasio iamini?
Kama Mungu ni upendo pasi anatupenda wote na kamwe hana ubaguzi, vipo vifo vingi vya kujinyonga vimeripotiwa kwa sababu watu kuogopa au kutengwa na wengine kwa kitu wasichojitakia!
When talking about Homosexuality is not Good vs Bad na ukiegemea upande mmja kama wa kwako(dini) kamwe hutopata jibu.
Ni vema ufahamu kuwa sio binadamu tu wanaonyesha hii tabia ya homosexuality, zipo aina nyingi za wanyama zaidi ya 400 zinaonyesha tabia hii(nitakuwekea uthibitisho)
I insist again and again homosexuality is not a choice and nothing can change it, is just like the colours of our skins,, u born dark skinned you will remain with it, i am just appalled is like saying being albino is wrong!
You are wrong MaxShimba!
 
Gays & lesbian nao ni watu tuu na wana haki ya kuwa na uhusiano na wanaowapenda,mnakuja na dini zenu humu kulazimisha lifestyle yenu sio kila mtu anaamini huo ushuzi wenu wa dini,hamna tofauti na waliokuwa wanapinga marriage btn black & white coincidence walikuwa wanatumia hizo hizo dini to justify ushenzi wao...itachukua muda lakini at the end hawa watu watapata haki zao,babu zenu for hundreds of yrs waliuzwa kama kuku just for being BLACK
 
Homosexuality is not choice because it is a demonic. So, when you are demon possesed, you have no other choice but to obay demons and that IT IS YOUR CHOICE.

You are dead wrong when you say no one can change the way he is. Mamia ya hao mashoga wanakuwa delivered na Yesu na wanaachana na hiyo dhambi ya USHOGA.

What kind of disabilities? Try to be more conspicuous.

....hata wewe mwenyewe uliyeandika hapo juu huamini ulichoandika,unaanza kutafuta justification kwa kutumia yesu,mwanafunzi mzuri wa History anajua jinsi your good book/yesu ilivyotumika kuweka unjust laws katika society kwa hiyo usituletee BS zako,mungu wako ni huko huko sio kila mtu anaamini ushuzi wenu
 
<br />
<br />
Maxi shimba kakimbia ukumbi wa dini wanajua kule ningaliwapa majibu yao maana roho mtakatifu wake anayapenda haya mambo na ushahidi nimewahi kuwaletea mara nyingi kutoka kwenye biblia ileteni hii thread kwenye ukumbi wa dini
 
Acha kufungwa na imani ya kidini ndugu MaxShimba, wewe inaquote bible, je vipi kwa wale wasio iamini?
!

It is their problem. But that wont stop anything and wont stop the Bible to the ONLY true and impeccable book.
 
Kama Mungu ni upendo pasi anatupenda wote na kamwe hana ubaguzi, vipo vifo vingi vya kujinyonga vimeripotiwa kwa sababu watu kuogopa au kutengwa na wengine kwa kitu wasichojitakia!
!

God is Love. That is true. But God hates sin, hates homosexuality.
 
When talking about Homosexuality is not Good vs Bad na ukiegemea upande mmja kama wa kwako(dini) kamwe hutopata jibu.
!

Homosexuality is SIN. There is no comparison bro. Sin is SIN. You practice homosexuality, you are committing sin. Period. The wages of SIN is HELL.
 
Ni vema ufahamu kuwa sio binadamu tu wanaonyesha hii tabia ya homosexuality, zipo aina nyingi za wanyama zaidi ya 400 zinaonyesha tabia hii(nitakuwekea uthibitisho)

Haya lete uthibitisho kuwa SIMBA/CHUI/MBUZI etc ni mashoga. Please I need it.
 
<br />
<br />
Maxi shimba kakimbia ukumbi wa dini wanajua kule ningaliwapa majibu yao maana roho mtakatifu wake anayapenda haya mambo na ushahidi nimewahi kuwaletea mara nyingi kutoka kwenye biblia ileteni hii thread kwenye ukumbi wa dini

Hebu niambie moja tu zuri kwenye uislam!
 
I insist again and again homosexuality is not a choice and nothing can change it, is just like the colours of our skins,, u born dark skinned you will remain with it, i am just appalled is like saying being albino is wrong!
You are wrong MaxShimba!

You can't make such a comparison. Second, homosexuality is a choice. Read Romans Chapter One from Verse 20 to the end.
 
Back
Top Bottom