Home work!

Mom

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
708
29
hivi ikitokea mtoto wako mdogo, lets say 4yrs ameingia chumbani kwako gafla wakati mkicheza mchezo wa baba na mama, anashituka na kuondoka. lakini later anaukuuliza baba ulikua unafanya nn ana mama? utaexplain vipi?:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:
 
hahaha Mom utapata majibu tu ya kumuelewesha mtoto ila kwa kuwa bado haijatokea sijui .
 
hivi ikitokea mtoto wako mdogo, lets say 4yrs ameingia chumbani kwako gafla wakati mkicheza mchezo wa baba na mama, anashituka na kuondoka. lakini later anaukuuliza baba ulikua unafanya nn ana mama? utaexplain vipi?:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:

Tulikuwa tukionyeshana upendo wa moyoni.
 
mko careless kiasi cha kuacha mlango wazi?au ndio kujisahau?:twitch:
 
hivi ikitokea mtoto wako mdogo, lets say 4yrs ameingia chumbani kwako gafla wakati mkicheza mchezo wa baba na mama, anashituka na kuondoka. lakini later anaukuuliza baba ulikua unafanya nn ana mama? utaexplain vipi?:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:

Si mama huwa anakuchapa mwanagu? Basi alitaka kunchapa na mie nikawa namzuia....!!!!

Mh! Wanitisha, Yamekukuta nini?
 
hivi ikitokea mtoto wako mdogo, lets say 4yrs ameingia chumbani kwako gafla wakati mkicheza mchezo wa baba na mama, anashituka na kuondoka. lakini later anaukuuliza baba ulikua unafanya nn ana mama? utaexplain vipi?:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:
Hapo kwenye RED tu inaaminsha keshajua nn kilikua kinaendelea.......la sivyo asingeondoka!! Watoto wa Dot.Com hao!!
 
Kwanza itategemea mlikuwa style gani na kuanzia hapo ndo utajenga majibu. Maana kuna stlye nyingine hata kuanza kumdanganya mtoto ulichokuwa unafanya inakuwa sooooooo.........................!!!!!!!!!!!!!!
 
mko careless kiasi cha kuacha mlango wazi?au ndio kujisahau?:twitch:

So kama kitu kimetokea bila kupangwa utaenda kufunga mlango ,dunia ina stress sometime ukikatisha na kwenda kufunga mlango unakumbuka madeni na inakuwa mwisho wa mchezo.
 
kweli mutu sanyingine kwa wenye ndoa ndio mmepata chance ya mchana kile kitendo cha kutoka na kwenda kufunga mlango kinatosha kupoteza hamu,
 
Back
Top Bottom