home work...

taja vijiji/vitongoji vitano vya eneo unaloishi. kwa kuanza
1 - Nyang'olongo
2 - Nyamhongolo
3 - Nyang'homango
4 - Nyabulogoya
5 - Nyakurunduma
hivo vyote vinapatikana ndani ya jiji la mwanza aka rock city. . . . .

nyamatongo,
nyakahako,
mbaragane,
igalagalilo,
chamabanda,
kasomeko,
nyamlege,
nyamtelela,
nyamililo,
ibondo, etc.
 
Umewasahau na watu wa kwa chifu aliyekataa kukamatwa na wajerumani mitaa ya:

kalenga,
tosamaganga,
ipogoro,
makanyagio,
kihesa,
mtwivila,
kibwabwa,
kagliero,
ikonongo,
pawaga,
mkimbizi,
ilala,
frelimo, etc.
 
tanga kunani pale e e e!
- sahare
- tangamano
- chumbageni
- majani mapana
- barabara ya 1 mpaka ya 12!!!!!

dah hapa umenigusa...nimekaa sana pande za Majani mapana na Chumbageni...
Ngoja niongezee
Mwakizaro
Duga
Kisosora
Mabanda ya papa
Sahare
Raskazone
...............
...............
 
-nyasho
- nyegina
- buhare
- makoko
- bweri
hapa namsaidia M'Jr kutaja vitongoji vya huko kwao musoma
Haaaa we bora uhamie huku tu maana inaonekana unapajua saaaana tu, ila umesahau kule ninapoishi mimi "Makoko"
Hujambo lakini charminglady
 
Last edited by a moderator:
dah hapa umenigusa...nimekaa sana pande za Majani mapana na Chumbageni...
Ngoja niongezee
Mwakizaro
Duga
Kisosora
Mabanda ya papa
Sahare
Raskazone
...............
...............

Mikanjuni,Mwahako,Donge,Magaoni,Nguvumali,Kange,Kwa michi,Msambweni,Makorora,Kirare,Mabokweni...Tanga hiyo.
 
Haaaa we bora uhamie huku tu maana inaonekana unapajua saaaana tu, ila umesahau kule ninapoishi mimi "Makoko"
Hujambo lakini charminglady

naona ulicomment ukiwa na mning'inio wa usingz.makoko huioni nimeitaja ya pili M'Jr
 
Last edited by a moderator:
........area a, area c, area d, area e, makole, chimwaga, majengo, mkuhungu, mbwanga, manadani, bahi rodi, eapoti, chadulu, chinangali, chamwino, kisasa, zuzu, ipagala, kuu street, iringa rodi, uhindini, uzunguni, msalato, veyula, kikuyu, ................huko ni mitaa wapojidai wabunge .....
 
Back
Top Bottom