Home Work hii imenitoa jasho....msaada!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,701
Mtoto wa jirani (miaka 5 anasoma chekechea) kanijia asubuhi akaniambia eti nimtafutie CHAWA na KUNGUNI ajue jinsi walivyo. Anasema wamefundishwa ubaya wa hao wadudu na wameambiwa kila mmoja awatafute aone wanafanana vipi, alivyowauliza wazazi wake wakamwambia aje kwangu. Nimemwambia nitamletea kesho na kumuonyesha namna walivyo. Msaada namna ya kuwapata kwa urahisi hao wadudu.....
 
...sa si umuoneshe mtoto wa watu...kashaelekezwa kwako...!
najua kichwani huna ila kule kati pekua utapata walau sampo...
 
...sa si umuoneshe mtoto wa watu...kashaelekezwa kwako...!
najua kichwani huna ila kule kati pekua utapata walau sampo...

Nimevuruga kitanda na kupekua chaga za kitanda hakuna kitu. Makochi pia naishia kupishana na mende tu!
 
Tafuta walipo mbwa utapata na nenda machinjoni utapata umpelekee huyo mtt,wazaz wake wamekudhallsha
 
Mwambie asiwe anaoga wala kubadilisha nguo za ndani mpaka atakapo anza kuhisi miwasho
 
Looo!sasa inamaana we ndo mchafu sana au unawafuga?maana cja elewa maana ya kuambiwa aje achukue kwako.
 
...teheeee, kipo wanachokifahamu. Kama una watoto wadogo waulize.
 
Labda hao mende wanaofukuzana ndani ndo sababu ya wazazi wake waamini hata wadudu hao pia unawafuga, anza kutengeneza mazingira ya kuwapata mwambie mtoto aje baada wiki 1 utakuwa umezalisha.
 
ndio maana ukapewa home work...maana hao wake sana home...watafute mkuu..huwezi jus..huenda baba yao aliwaona kwako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom