Home theatre nzuri

Mkuu,

Kama moyo wako umeridhika, wee endelea nayo tu.

Ukijiingiza kwenye kupenda quality kubwa kama mie hapa na pesa huna, utaishia kuumia tu moyo.

Kama inafanya kazi, wewe dunda nayo hadi ife na Mungu akijalia, utakuwa na pesa ya kununulia mashine ya MFANYAKAZI na siyo Mwanafunzi wa Chuo.
Mkuu Sikonge na hii vipi? Mie nilijipigapiga wakati nikiwa chuo nikainunua kwa pesa ya ngororo (boom). Mpaka leo bado ninayo, haijawahi kuniharibikia na wala sina mpango wa kui-replace.

Technics%20DVD%20Stereo%20System%20SC-DV170.png
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ninayo B & O, NATAKA USD 4,000.KAMA UKO serious nitafute,nashidwa kuitumia kila nikifungua majirani wanalalamika.
B & O si mchezo kaka hizo ni za ma tycoon kwa miye siiwezi,naitamani lakini mambo ya mufuko ndio shida
 
Mkuu,

Bose si watengenezaji wa HT. Wameingilia tu vitengo vya watu ambavyo haviwahusu.

Jamaa ni wazuri sana kwa Spika za kwenye maholi, Maduka makubwa, mashuleni, hospital nk kwa sababu sauti zao ziko very clear ila kwenye Cinema na miziki kama concert, siyo hicho kinatafutwa.

Tuseme kunatokea mlipuko, ile sauti ya mlipuko huwa siyo NZURI na inabidi ITISHE wakati huo BOSE yeye ana sauti NYOROROOOOOOOO.........

Utalipa Mamilioni kwa vitu ambavyo waweza kuvipata kwa watu wa bei za kawaida. BOSE unaunua zaidi JINA maana kila mjuvi wa bei ya BOSE atakunyenyulia mikono. Ila hawa watu hawana historia kama akina SONY, Panasonic etc kwenye mambo ya Cinema. Wameingia tu kwa sababu wanaweza kutengeneza Spika, lakini ndiyo eneo lao? mhhh!!! Ila kama kuna watu watanunua au wagonjwa wa vifaa vya BOSE, why not take their money?
Hakuna cha Sony, LG wala Samsung.....mambo yooooteeee Bose
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mkuu,

Bose si watengenezaji wa HT. Wameingilia tu vitengo vya watu ambavyo haviwahusu.

Jamaa ni wazuri sana kwa Spika za kwenye maholi, Maduka makubwa, mashuleni, hospital nk kwa sababu sauti zao ziko very clear ila kwenye Cinema na miziki kama concert, siyo hicho kinatafutwa.

Tuseme kunatokea mlipuko, ile sauti ya mlipuko huwa siyo NZURI na inabidi ITISHE wakati huo BOSE yeye ana sauti NYEROROOOOOOOO.........

Utalipa Mamilioni kwa vitu ambavyo waweza kuvipata kwa watu wa bei za kawaida. BOSE unaunua zaidi JINA maana kila mjuvi wa bei ya BOSE atakunyenyulia mikono. Ila hawa watu hawana historia kama akina SONY, Panasonic etc kwenye mambo ya Cinema. Wameingia tu kwa sababu wanaweza kutengeneza Spika, lakini ndiyo eneo lao? mhhh!!! Ila kama kuna watu watanunua au wagonjwa wa vifaa vya BOSE, why not take their money?

Once you go "Bose".......you ain't gonna look back! Nenda pale Best Buy kajaribu demo za home theatres za Bose, Sony, Panasonic, LG, Samsung etc, then utakuja kuniambia kama naifagilia Bose bure. Nenda Best Buy yoyote
 
Sony hometheatre mpango mzima, na hii feature yao ya USB recording wamenibamba vibaya, me nilinunua 450,000 watt 1000, speaker 5 ndogo ndogo DAV-DZ340K, sema HDMI cable walinizima.
 
Best buy ipi Mkuu? Mie nipo hapa Sikonge na hayo maduka sijui ndiyo yako wapi?

Anyway, inawezekana tunaongelea ANGA tofauti sana. Wewe endelea na BOSE wako kama unaona inakupa kile unakitafuta, basi poa tu. Just chop your money......

Kwenye dunia ya HT, kwa midude mikubwa ya nyumbani, wameshika sana akina ONKYO, Sony na wengine wachache wakiwa na Cheti kutoka kwa George Lukas (Star Wars) ambaye alidevelop system inaitwa THX ikiwa na maana ya THomlinson eXperience. Hapa jamaa yako BOSE hawezi hata kukaribishwa

Ukija kwenye Spika za kwenye majumba ya Cinema, huko BOSE ndiyo hajagusa hadi leo. Na huko sasa ndiyo utajua akina nani wakali wa mambo ya Spika na sauti. Hadi leo, watu kama Martin Audio na OHM ndiyo wakali huko. Nafikiri Waingereza kwa ujumla ni wazuri sana kwa mambo ya sauti za cinema, hasa ukichukulia ndiyo waliogundua DOLBY System ambayo ilitamba kwa miaka mingi.

Hata kwenye uwanja wa NFL/NBA wa Los Angeles, Staples Center, Bose waliondolewa baada ya kushindwa kazi na wakaletwa wazee wa kazi JBL. Ila kununua JBL for home use, nako ni kupoteza tu fedha, jamaa si wazuri sana na bei juu.

Hiyo habari inafichwa sana. Ila waweza kuisoma hapa: Staples Center ambao ni ukurasa wa JBL/Harman. Ila kwenye wikipedia (Bose) wamemwaga mambo hadharani... A large Bose system at the Staples Center sports arena in Los Angeles performed unsatisfactorily and was replaced by a JBL sound system.
Once you go "Bose".......you ain't gonna look back! Nenda pale Best Buy kajaribu demo za home theatres za Bose, Sony, Panasonic, LG, Samsung etc, then utakuja kuniambia kama naifagilia Bose bure. Nenda Best Buy yoyote
 
kwa home theatre SONY hana competitor,mambo ya specifications u better go to the shop!!si tunajua kutumia tu
 
Back
Top Bottom