Home theatre nzuri

kitu cha bose kinaweza kuwa na bei kubwa sana,lakini pia sio lazima upate home theatre yenye speaker tano(5.1),maana kama lengo ni mziki mzuri,nakushauri upate kitu cha philips SOUND BAR .ebana utakubali,hii kitu ni balaa,ina pray format zote hadi blu ray na 3d,pia haichukui nafasi na ukiwa na flat screen,basi umemaliza kazi

Nakubali Phillips ni nzuri pia. Natumia Phillips HTS3357 naona ni nzuri. Unaweza kutumia USB, MP3 na pia ina HDMI 1080i. Kwa matumizi ya nyumbani nadhani inatosha unless kama anahitaji kitu cha kupiga disco mtaani
 
Mkuu PakaJimmy, ni kweli nilikuwa nafuatilia sana haya mambo ila kwa sasa kidogo nimepunguza kwani najiweka zaidi kwenye mambo ya juu kidogo, zaidi ya kusikiliza na kuangalia tu.

Unaweza kununua BOSE au SONY ila ikafa siku ya pili na mwisho ukanunua sijui kampuni gani na ikadunda muda mrefu.

Cha muhimu kwanza angalia UZITO wa Spika. Pia angalia hii kitu wanaita Hz au Mawimbi. Unavyoshuka kwenye ZERO, unapata BASS nzuri sana na unavyokwenda kwenye 20,000Hz unapata zile waswahili tunaita Michanga au TREBLE.

Mara nyingi Spika kuzalisha TREBLE huwa siyo shida ila kuzalisha BASS huwa ni kasheshe na hapo ndipo BEI inapanda sana. Ndiyo maana inakuwa RAHISI kuwa na SUBWOOFER inayojitegemea ingawa nazenyewe ukipata inayoanzia 20Hz kwenda juu, bei yake ni chafu sana. Ila kwa kawaida kwa hometheatre hasa ndogo, ni kawaida sana kupata Subwoofer zenye kuanzia 20Hz. Ila ukiwakuta akina BOSE au huyu Mama yake sijui aitwaye JBL, lohhh!!! Labda wewe ni TOP CCM.

Mwisho, usinunue mzigo umefungwa. Njia nzuri ni kuwa nenda na DVD au CD yako na waambie jamaa wakupigie hapo dukani au kwa jamaa anayeuza. Ukiipenda sauti basi wewe nunua.

Mie ni MPENZI saana wa Hometheatre ya PANASONIC. Zina sauti nzuri sana na kubwa na yanadumu mno. Ila sema mara nyingi yanakuwa kwenye majumba mengi sana na watu huchukia kwa sababu hiyo.

SONY: Wana sauti nzuti sana nakubaliana na wewe Preta. Tatizo la SONY ni kudumu. Na ikianza kuporomoka, huwa ni kutupa tu usihangaike kupeleka kwa Fundi. Kama una hela yako na unaweza kununua nyingine basi FAIDI maisha na SONY maana kwa kweli vifaa vyao vizuri ingawa kwa sasa WAMEFUNIKWA na SAMSUNG.

Nilikuwa duka fulani nikaona TV ya Samsung wiki hii, nikabaki mdomo wazi maana ilikuwa kama unaangalia PICHA na siyo TV. Ila inapokuja kwenye mambo ya CAMERA na SAUTI, Samsungu inabidi wafanye kazi ya ziada.

Kila la kheri. Ngoja nirudi kwenye kishule changu hapa na nikiwa tayari, PakaJimmy ntakujulisha na kukutumia Product.
Kuna bwana mmoja anaitwa Sikonge ndiye angetoa maelezo ya kitaalam kabisa kuhusu kifaa chenye ubora ktk hizi electronics. Meanwhile endelea kutumia SEA-PIANO! Ni kabrand kazuri.
 
Last edited by a moderator:
sikonge bwana, umechunaaa kumbe unafuatilia madenti wako tunapeanaje shule, kweli ww mwalimu mzuri unakuwa nyuma ya madenti wanapiga paper mwishowe unatoa nondo ya marking scheme! kazi njema japo kuna lile swali la tofauti ya mziki wa radio kubwa na hometheter, umeliruka sir.
 
ka ni mziki wa chumbani mkuu,nakushauri ununue sound bar,ambayo inakuja na hdmi cable yako,waeza kufunga tv yako ukutani na sound bar pia ukaifunga ukutani,believe me,you will never regret,hata hivyo fanya survey,kuna duka moja pale kinondoni (kama upo dar) srudio,karibu na mataa kabisa kama unaelekea nbc pale manyanya,unaweza wavisit hao jamaa,bei zao si kubwa sana,lakini pia waweza angalia katika maduka mengine
Da kaka hata mimi nimechoka kuruka nyaya za hometheatre .Hizo sound bar ni za kampuni gani i.e Philips,Sony,Boss na zinauwezo gani ,mi napenda muziki wa kilo na sebule yangu ni kubwa na flat screen yangu ni Benq ,hao jamaa wanauza shs ngapi
 
Ninayo B & O, NATAKA USD 4,000.KAMA UKO serious nitafute,nashidwa kuitumia kila nikifungua majirani wanalalamika.
 
na je kuna utofauti gani wa utamu wa muziki utakao na radio kubwa let say sony mfano inayouzwa laki 5 na home theater ya bei hiyo hiyo...tusaidiane hapa watalaam.

Kama unapenda muziki, home theatre ni nzuri zaidi kwa kuangalia movies, kwenye muziki bado spika mbili zinatosha. Most likely kwa bei hiyo hiyo utapata mziki mzuri zaidi kwa radio kuliko home theatre.
 
Respect kwako pono, bt ningeshukuru endapo ungetoa specification zake, mfano uwezo (watt), # of speakers. thnx

Hakuna cha Sony, LG wala Samsung.....mambo yooooteeee Bose








Quantity: 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30





Yes, I want FREE Two-Day
Shipping
with Amazon Prime


Amazon Prime Free Trial
FREE Two-Day Shipping is available to Amazon Prime members. To join, select "Yes, I want FREE Two-Day Shipping with Amazon Prime" above the Add to Cart button and confirm your Amazon Prime free trial sign-up during checkout.

Amazon Prime members enjoy:

  • Unlimited Free Two-Day Shipping
  • One-Day Shipping for just $3.99/item
  • No Minimum Purchase for free or discounted shipping

Important: Your credit card will NOT be charged when you start your free trial or if you cancel during the trial period. If you're happy with Amazon Prime, do nothing. At the end of the free trial, your membership will automatically upgrade to a full year for $79.


or
Sign in to turn on 1-Click ordering.








More Buying Choices
Front Row ElectronicsAdd to Cart
$1,999.00 + Free Shipping
Electronics ExpoAdd to Cart
$1,999.00 + Free Shipping
Abt ElectronicsAdd to Cart
$1,999.00 + Free Shipping
28 used & new from $924.87

Have one to sell? Sell yours here



[h=1]Bose® Lifestyle® T20 home theater system--Black[/h]by Bose
4.3 out of 5 stars See all reviews (16 customer reviews) | Like 1350418953 false -1 25 25 24 (25)

Only 5 left in stock (more on the way).
Ships from and sold by Amazon.com.
Want it delivered Thursday, October 18? Order it in the next 23 hours and 19 minutes, and choose One-Day Shipping at checkout.
Details

16 new from $1,999.00 8 used from $924.87 4 refurbished from $1,245.99

Is this a gift? This item ships in its own packaging. To keep the contents concealed, select This will be a gift during checkout.

Price:$1,999.00 & this item ships for FREE with Super Saver Shipping. Details
Deal Price:
[TD]o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o o

[/TD]




[h=2]Product Features[/h]
  • 5-speaker surround sound system for movies and gaming
  • Guided setup and simplified use with easy-to-follow onscreen messages
  • HD connectivity for up to 6 sources, video upscaling to 1080p
  • Includes Direct/Reflecting® speakers
  • 3D compatibility ensures you'll see content as intended with 3D TVs, Blu-ray Disc players, gaming consoles and other 3D sources.

 
kitu cha bose kinaweza kuwa na bei kubwa sana,lakini pia sio lazima upate home theatre yenye speaker tano(5.1),maana kama lengo ni mziki mzuri,nakushauri upate kitu cha philips SOUND BAR .ebana utakubali,hii kitu ni balaa,ina pray format zote hadi blu ray na 3d,pia haichukui nafasi na ukiwa na flat screen,basi umemaliza kazi

Mkuu Pono,
Ninavyofahamu Sound bar ni basically speakers na inachoingiza (input) ni sauti hakuna video input, hivyo haina sehemu ya kuingiza dvd au kutoa video signal. Nakubaliana na wewe kuhusu sound clarity ya sound bar.
 
Samahani kwa ukimya.

Kwangu mie ningelinunua Hometheatre kwa sababu ntaweza kusikiliza mziki na kuitumia kwenye Cinema. Ukipiga mziki kwenye HT, sauti inatoka STEREO ikiwa na maana ni Spika mbili tu na Subwoofer zitafanya kazi. Nyingine zote hazifanyi kazi na labda ulazimishe zitoe sauti sawa ila hakutakuwa na Stereo hapo.

Radio kubwa, inategemea Radio yenyewe ikoje. Kwa sasa kuna choice nyingi sana na kuna kwa mfano Docking Speaker. Hizi unaunga kitu kama Iphone au Ipad au Ipod na kucheza mziki, kuangalia TV, Youtube, Radio nk.

Ni ndogo ila mziki wake kwa matumizi ya nyumbani kama una chumba kidogo, unatosha sana. Ukiweka mashine kubwa, utasumbuana siku zote na majirani zako.

JBL-OnBeat-iPad-Speaker-Dock-with-iphone-4.jpg
MCMB%20-%20132913.jpg

sikonge bwana, umechunaaa kumbe unafuatilia madenti wako tunapeanaje shule, kweli ww mwalimu mzuri unakuwa nyuma ya madenti wanapiga paper mwishowe unatoa nondo ya marking scheme! kazi njema japo kuna lile swali la tofauti ya mziki wa radio kubwa na hometheter, umeliruka sir.
 
Hakuna cha Sony, LG wala Samsung.....mambo yooooteeee Bose



Mkuu Sherrif Arpaio, Bose hakuna ubishi kuhusu ubora wake, ila kwa Bongo halipi. Kwanza si rahisi kuzipata DVD zilizo katika ubora wa kiwango cha juu. Hata hizo Blu Ray sidhani kama zinapatikana, so sioni sababu ya kuwekeza milioni zaidi ya tatu halafu usipate kitu kwa ubora wake, unless kwa mtu mwenye access ya kupata DVD kutoka majuu na si mpenzi wa movie za kibongo au kinigeria.

Huo ni mtazamo wangu.
 
Mkuu Sherrif Arpaio, Bose hakuna ubishi kuhusu ubora wake, ila kwa Bongo halipi. Kwanza si rahisi kuzipata DVD zilizo katika ubora wa kiwango cha juu. Hata hizo Blu Ray sidhani kama zinapatikana, so sioni sababu ya kuwekeza milioni zaidi ya tatu halafu usipate kitu kwa ubora wake, unless kwa mtu mwenye access ya kupata DVD kutoka majuu na si mpenzi wa movie za kibongo au kinigeria.

Huo ni mtazamo wangu.

Wacha kuishusha bongo kiasi hicho, yaani una maana hakuna Blue Ray DVD's hapo bongo? Ninavyojua kila kukicha naambiwa bongo tambarare na kila kitu kipo ni fweza yako tu
 
Wacha kuishusha bongo kiasi hicho, yaani una maana hakuna Blue Ray DVD's hapo bongo? Ninavyojua kila kukicha naambiwa bongo tambarare na kila kitu kipo ni fweza yako tu

Aliyekuambia hajakuambia ukweli, kama zipo Blu Ray basi ni sehemu chache sana, binafsi sijawahi kuziona pamoja na kutembelea maduka yote yanayoitwa makubwa bongo kwa vifaa vya elektroniki.
 
Mkuu Sikonge na hii vipi? Mie nilijipigapiga wakati nikiwa chuo nikainunua kwa pesa ya ngororo (boom). Mpaka leo bado ninayo, haijawahi kuniharibikia na wala sina mpango wa kui-replace.



Technics%20DVD%20Stereo%20System%20SC-DV170.png
 
Back
Top Bottom