Home sweet home

pilau juzi mtaani......

Are you serious?...namiss sana pilau especially lile la wakati wa iddi hata unawe mikono vipi harufu mkoni haiishi na siyo unalila kwa kutumia kijiko oloo no...maana linafaa kwa kutumia mikono...i miss that so much.
 
Pilau la pale Butiama-Magomeni bado lipo? Sema nyama finyango 2 imetoka!

Au nyama choma za pale maryland karibu na kituo cha ITV....Sijui kama hii sehemu bado ipo...wana guest house nilimuona mshikaji mmoja anatoka humo ndani i was like whaaaat?-:)
 
Mzunguko......tuliopita madrasa ndio tunaweza......nyama ipo upande gani.......

attachment.php

Hapo mazee umenikumbusha mbali sana, yaani nakasikia kaharufu kwa mbaali!
 
Mzunguko......tuliopita madrasa ndio tunaweza......nyama ipo upande gani.......

attachment.php

...shaaabash! ...halafu 'high table' utakuta wametengewa wali mweupe, samaki wa kupaka, na mchicha wa nazi... kaaaaaaazi kweli kweli!

BTW, huyo mwan'dada ana mguu mzuri kweli hapo karibu na sahani nyeusi/nyekundu ...:D
 
Au nyama choma za pale maryland karibu na kituo cha ITV....Sijui kama hii sehemu bado ipo...wana guest house nilimuona mshikaji mmoja anatoka humo ndani i was like whaaaat?-:)

Jina limenitoka pia ila naifahamu hiyo sehemu kwa kupita tu.
Inawezekana huyo mshkaji alikuwa anatoka msalani au kumuona mtu ambaye kafikia hiyo guest house.huh!

Ila ukionekana unatoka gh halafu wewe ni mkazi wa dar watu wanashtuka :)
 
Back
Top Bottom